DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
💯✌️🙌👐👏Misaeng
Incomplete life drama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💯✌️🙌👐👏Misaeng
Hapa Dae Jo Yeong na King Geunchogo nshaziona .. naweka kwenye list hizo bakia..Taejong yi bang won: king of tears
Jing bi rok : the memoir of imjin war.
Age of warriors.
Dae jo yeong
Admiral yi sun shin
King geunchogo.
Comrades drama - vita ya korea.
Nilipoichukua basi waliivunja S1 and 2Arthdal umeona zote 2? Season si bado haijatoka.
Age of warriors, ukikutana na handsome boy humu ndani nitakulipa.Hapa Dae Jo Yeong na King Geunchogo nshaziona .. naweka kwenye list hizo bakia..
NaamHuyu ni Krystal eeh?
NaamHuyu ni Krystal eeh?
Humo majitu ni makatili balaa.Age of warriors, ukikutana na handsome boy humu ndani nitakulipa.
ni mwendo wa kutuonyesha mtiririko wa matukio yote ya kidikteta yaliofanywa na wanajeshi walioamua kuvua gwanda na hatimaye kujiingiza katika ulimwengu wa siasa.
Kundi fulani la wanajeshi wanampindua mfalme 18 wa Goryeo na kuondoa civillian government baadae wanamweka mdogo wake ili wasionekane wamefanya tendo hilo kwa nia chafu kwa amri ya queen dowager.
yi uibang: huyo mzee aliyeigiza uhusika wa yi uibang utamuona kwenye emperor wang guhn ambapo ameigiza uhusika wa mfalme kyu hyun from later baekje. Madaraka yanamtia upofu kiasi ambacho alifikia hatua ya kuwasambaratisha marafiki zake wawili muhimu ambao kwa muda mrefu walikuwa na ndoto kwa pamoja ya kuinyoosha goryeo iliokwisha poteza muelekeo. kuanzia mwaka 1170 hadi mwaka 1174 jamaa ndiye aliyekuwa ameshikilia mpini wa maamuzi ndani ya goryeo,
karma is bitch bwana yi ui bang alikufa kifo cha aibu sana. Aliyemuua ni mtoto wa jeong jung bu.
jeong jung bu: kifo cha bwana yi ui bang kilipelekea kubadilika kwa upepo hatari wenye uwezo wa kuvunja ghrofa za burji khalifa, ukoo wa yi ulipoteza nguvu na hatimaye ukoo wa choe ukashikilia nguvu ya kuiendesha royal family. Huyu mzee kwa kushirikiana na mwanawe walitenda matendo zaidi ya yale aliyoyatekeleza yi ui bang. Karma is bitch baadae alijitokeza bwana mdogo ambaye inasemekana alikuwa na miaka 26 tu ya kuzaliwa na jina lake aliitwa gyeong dae sung, huyu general ndiye aliyeongoza kampeni ya kumuondoa madarakani jeong jung bu na koo yake nzima. hatimaye jeong jung bu, mwanawe, mkwe wake na kizazi chote kinachotokea koo ya choe walikutana na mkono wa kifo. jeong jong bu alishika madaraka kuanzia mwaka 1174 hadi mwaka 1179.
gyeong dae sung: alichukiwa mnooo na mfalme, vitabu vya kihistoria vya joseon havikumrekodi vibaya huyu jamaa. hakuwa na uchu wa madaraka na alijaribu kurudisha mfumo wa serikali kama ilivyokuwa mwanzoni (civillian govenrment) lakini alikutana na upinzani mkali sana kutoka kwa wanajeshii na hata mfalme mwenyewe, jamaa inasemekana alifariki kwa ugonjwa. alitawala kuanzia mwaka 1179 hadi 1183.
yi ui min: huyu muhuni ndiye aliyemuua mfalme wa mwanzo kwa amri ya bwana yi ui bang, cha kuchekesha zaidi amri ya kifo ilitoka moja kwa moja kwenye royal family ndani ya chumba cha queen dowager (yaani queen dowager alitoa amri ya kuuliwa mwanawe wa kumzaa kwa mujibu wa drama), huyu fala na yeye aliyatumia madaraka yake vibaya sana pamoja na watoto wake wawili wakorofi kiasi ambacho hakuona tabu kuwanyanyasa kingono watumishi wa royal family, kudhulumu mali za walala hoi, Yi ui min maisha yake yaliishia mikononi mwa jamaa mmoja anaitwa choe chung heon. Yi ui min alitawala kuanzia mwaka 1183 hadi mwaka 1196.
choe chung heon: baada ya kufanikiwa kumsambaratisha bwana yi ui min hatimaye jamaa akawa ndiye bosi mkuu wa goryeo, huyu jamaa pamoja na ukoo wake waliitawala goryeo kwa muda mrefu sana kwa njia ya kurithishana madaraka (baadae walitawala watoto wake choi woo, choi hae, choi ui).Madaraka yalimtia upofu na woga kiasi ya kufikia hatua ya kumsambaratisha ndugu yake.
Kwenye drama hii utawala wa kijeshi uliishia hapa, ila kiuhalisia ulikwenda mbele zaidi.
Kumbe hadi sasa ulikuwa hujaangalia season 1 dah ulipishanaga sanaHaya 2GB za kudownload my airtel tupunguze machungu
Now watching
Tale of the Nine tailed 1938
Imenivutia, nimepata mzuka wa kushusha hiyo s1 yake
Kumbe hadi sasa ulikuwa hujaangalia season 1 dah ulipishanaga sana
Mimi nasubiri iishe ndio nitazame, inaonekana Kim bum kaupiga mwingi sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nashangaa ujue
Na naikumbuka wakati inatoka
Huyu lee dong wook sikumbuki kumtazamaga labda ndo sabab ya kuipotezea
Yah yupo vyema ila round hii nafurahi amekissMimi nasubiri iishe ndio nitazame, inaonekana Kim bum kaupiga mwingi sana
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] vipi yule mtoto wake yupo na huku? Nilimpenda sanaYah yupo vyema ila round hii nafurahi amekiss
No,Lee Rang nyuma alikuwa cold hearted juu ya chuki kwa Bro wake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] vipi yule mtoto wake yupo na huku? Nilimpenda sana
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Ok. Nilikuwa namaanisha yule mtoto waliyekuwa wamemchukua kwa kwa baba yake wa kambo aliyekuwa anamtesa...kwenye previous life inaonesha alikuwa mbwa wake aliyekuwa anampenda sana. Anyways kama wamerudi nyuma hawezi kuwepo kweliNo,Lee Rang nyuma alikuwa cold hearted juu ya chuki kwa Bro wake.
But Lee Yeon kurudi nyuma hadi 1938 kama kuna historia yawezekana imebadilika,Rang hakuwahi kuwa na mwanamke ila now kakutana na Mermaid wapo in love but najiuliza vitu vingi sana nangoja hadi mwisho isije kuwa fate yake ni ileile
Bure?Nina series zifuatazo,in English subtitles
Doctor lawyer
Troyyel
Treasure thief
Taxi driver 1& 2
Unbreakable bond
Na zingne nyingi kwa waliopo Moro town,zina quality ya 480
Ni nani huyu?Nashangaaga sana watu wanaosema Wakorea wanafanana eti wanashindwa kuwatofautisha,wakongwe huwa tunalipinga hilo but watu pekee ambao waliwahi kunipiga chenga ni hawa mapacha. View attachment 2641023View attachment 2641024
Ryu Hwa Young & Ryu Hyo Young