Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Habari zenu my fellow fans wa korean drama!!!!!!!!!! Yan huwez amin nimejoin jamii forums kwajil ya kupata updates za hot series zenu ili niztafute, Yan these people are so talentd wanaigiza utasema ndo maisha halisi, wananidrive crayz kwakwel wakati nipo chuo yan hata tukiwa kwenye UE siwez kujizuia kuangalia kila siku so after paper lazma nirud room kuchek japo episode mbil tatu; hadi sasa nimeangalia hizi hapa; JUMONG , A MAN CALLED GOD , 49 DAYS , STAIR WAY TO HEAVEN , THE HEIRS , PLAYFUL KISS , BOYS OVER FLOWER , LOVE RAIN , FLOWER BOYS NEXT DOOR, TO THE BEAUTFUL YOU , PERSONAL TASTE , ILJIMAE , GIANT , SHINE OR GO CRAYZ , ARROWS ON THE BOWSTRING , GU FAMILY BOOK , IRIS , CITY HUNTER , BRIDAL MASK , THE MOON THAT EMPRESSES THE SUN , COFFEE PRINCE , ROOFTOP PRINCE ,BRILIANT LEGACY ,,,,,,,

Hiyo arrows on the bowstring ni kali?.. ztafute the healer, the night watchman, fated to love you, empress ki, scholar who walks the night ni kali kinouma
 
Naona watu mmetaja taja lakin hamjaitaja hii love story...inaitwa I MISS YOU...

Itaften wakuu mjionee mambo
 
Naona watu mmetaja taja lakin hamjaitaja hii love story...inaitwa I MISS YOU...

Itaften wakuu mjionee mambo



Mm naomba kuulza kama zpo series za akshen znazofanana na hz Iris,city hunter,athena,bridal etc za namna hyo naomba majina yake hapa plse.
 
Hizi Korean series zimenchosha sasa...
Yaani kila series lazima ifanane na series zingine.
Hiki kitu kimefanya niziweke kando. Yaani wanarudia yaleyale kama wafilipino.
Nimeamua kuwaweka kapuni.
 
Wadau mwenye kujua movies za kikorea zenye contents za kisheria(legal/law contents) naomba anitupie majina yake apa!

NB:Love Story in Havard excluded!
 
Wanabodi,
Mtanisamehe kwa kuchanganya chuzi hapo juu. Nilikuwa nataka kuandika swala la IPTL na sio swala la ndege. Kumradhini...utu uzima tena.

I miss you niliipenda walivyokuwa watoto,baada ya kuwa watu wazima sikuipenda sana.
 
Tokea hekaheka za kampeni zianze sijaangalia series hata moja ya Kikorea.
Uchaguzi ukiisha tu ndio nitaanza tena,hadi nimeanza kusahau kikorea!
 
Tokea hekaheka za kampeni zianze sijaangalia series hata moja ya Kikorea.
Uchaguzi ukiisha tu ndio nitaanza tena,hadi nimeanza kusahau kikorea!

nifah mimi nimeangalia walau kupumzisha kichwa kuna hii love with Prime minister umeiona? Pia niliamua kurudia flames of ambition naipenda sana. Pumzisha kichwa once in a while siasa zina stress sana
 
Last edited by a moderator:
Jamani kama kuna aliyeiona kill me or heal me...aniambie ni nzuri
 
JUMONG ndo drama yangu ya kwanza kuiona na nilimuelewa sana YOUNG PO naisi ndo aliyenogesha series akisaidiwa na MO-PAI-MO huyu mzee naye alinibamba! nyingine ninayoikubali sana ni ile ya THE WARRIOR BAEK DON SOO

hii BAEK DON SOO hata me naikubal mby
 
Back
Top Bottom