Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hiyo ndiyo mimi naitaka, naiomba.

Hata usipate shida,
Nenda Youtube wanakupa full movie na subtittle juu.

NB: Maadili ni Ziro kbs,
Angalia peke yako au na mtu ambae huna tatizo nae.
 
wakuu mm huwa napenda kununua complete set kuanzia moja mpaka mwisho maswala ya kusubiria sipendi siku hizi.hebu nijuzeni kwa tanga ni wapi napata kama hivyo.
 
Hata usipate shida,
Nenda Youtube wanakupa full movie na subtittle juu.

NB: Maadili ni Ziro kbs,
Angalia peke yako au na mtu ambae huna tatizo nae.


Usijali, ndiyo maana nikaitaka.

Ni series!?
 
Jingbirok, a memoir of imjin war ni noma, sijawahi ona
Namkubali sana kamanda lishoshing wa joseon
 
Ebwna mie ndiyo naichek "Yong pal",ila pia nimebakiza ep 3 za mwisho kumalizia "The scholar walks the night".
 
Jamani nina series tatu.
East of eden
Iljumae
GU family book
Naomba mniambie nzuri kuliko zote hapo ili nianze kuiangalia.
 
Nahitaji kuona dae jo young but naipataje mpka ni download? Msaada
 
Back
Top Bottom