Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Duh! Nalitamani hilo file lako nilipate....niambie Mary stayed out ni nzuri? Ili niianze nikimalizana na Gu fam'

Ukiangalia drama flani ikakuvutia,
Wewe nenda zako 4shared type jina la drama hlf andika OST, mf. Faith ost,
Watakuletea list ya nyimbo zote za hiyo drama then sikiliza utakazozipenda una download.
 
Ukiangalia drama flani ikakuvutia,
Wewe nenda zako 4shared type jina la drama hlf andika OST, mf. Faith ost,
Watakuletea list ya nyimbo zote za hiyo drama then sikiliza utakazozipenda una download.
Thanks wangu itabidi nifanye hivyo nyimbo zao nazipenda sana...
 
"Historical dramas" zote huwa zina mapambano makali kati ya wahusika wakuu, kama hao uliowataja. Ila zinatofautiana maudhui. "Age of Empires" na "King Geunchongo" zina simulizi na mapambano makali. Utazipata kwenye "website: http://koreanhistoricaldramas.hostingsitefree.com".

Uzuri wa " Korean historical dramas" ni mafunzo yaliyomo kuhusu utawala wa dola na jinsi watu maskini wanavyopambana na dola dhalimu.
Unajitahidi.
 
hahahaha ahsante mkuu, kuna jamaa anaitwa kim bum soo ni shida kama umeangalia emperor of the sea nyimbo kama mbili kaimba yeye,kuna you went away,i miss you(bogo shipta) the promise,only you n.k na kuna kundi la kina dada linaitwa girls generation muna mdada anaitwa taeyon jaribu kuangalia athena,hong gil dong,gu family,utasikia sauti yake

Aiseee umetishaaa,
Hong gil dong niliipenda sana ila mwisho wake uliniumiza.
 
Lee byun hun ametisha...nilisikitika sana alivyokufa kwenye Iris, Kim so hyun dogo nae yuko vizuri..
 
hahahaha ahsante mkuu, kuna jamaa anaitwa kim bum soo ni shida kama umeangalia emperor of the sea nyimbo kama mbili kaimba yeye,kuna you went away,i miss you(bogo shipta) the promise,only you n.k na kuna kundi la kina dada linaitwa girls generation muna mdada anaitwa taeyon jaribu kuangalia athena,hong gil dong,gu family,utasikia sauti yake
Kama kuna mwenye video za hizo nyimbo ambazo zipo translated aseme plz, nahitaji kinomaaa!
 
hata mimi nililia na season 2 vile vile jamaa anakufa ila mwendelezo wa story inaendelea kwenye Athena goddess of war.watu wengi wanashindwa kutofutisha kati ya muigizaji hodari na yule mwenye nzuri.kwangu mimi kim so hyun ni zaidi ya lee minho kwa under ground korean celebrities
Dah! Athena niliikubali mnoooo nikipata muda nitairudia...naungana na wewe Kim kwangu ni zaidi ya Lee sema tu lee nadhani amekuwa na mashabiki wengi sana. Kwa upande wa wanawake nani analipwa zaidi?
 
Aisee Lile la damdoek na murong xi ni balaaa! Lile la muhyool na dojin ni la kawaida coz dojin hakuwa matched na muhyool! Angalia slave hunter pambano la Song taeha na Wang!
Sasa lile la slave hunter ndio hatari zaidi ya yote
 
Nimeanza kuangalia Tree with deep roots,
Baada ya kumaliza Mary stayed out all night,

Lakini wapenzi mwenye full drama ya GOD OF TRADE plz anisaidie
Maana nimeishia kati wakati ndio inanoga.
Tree with deep roots ni nzuri sana....yani mtu unaemuamini sana kumbe ndio adui
 
Ila ktk slave hunter yule adui aliwasumbua majamaa balaaaa!
 
Hahahahahahaaaa garion anajifanya kuuza butcher kumbe yeye ndio jeon gi joon mkuu wa MILBON. Au kwa jina jengine wanamwita BONWON.
tree-with-deep-roots-ep-23-avi_003157524.jpg
Muhyul mnyama wa kingdom of the wind muv imechanganya tangu ep ya 5 dah ni bonge moja ya series ilifanya nikeshe cku 3 mfululizo... Hiv mkuu wap ntaipata slight shot ilikua inaomeshwa ITV
 
1.kingdom of the wind
2.tree with deep roots
3.bridal mask(kang tae mzee wa bingo)
4.iris
5.a man called god
6.faith
7.bad guy. Nilikua nampenda san yule dada Secretary
.8.gu family book
9. Innocent man
10.city hunter
 
Hivi nani anazo series za kikorea kwenye external hard drive?, kama kuna mtu anazo aniambie hata kwa kununua ntanunua
 
Back
Top Bottom