Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Series nlizoziangalia so far ni:
Jumong, Wind of the sea, The great queen (Damdeok), A man called God, IRIS, Gu family book, Time slip Dr. Jin

now naangalia slave hunter
 
Series nlizoziangalia so far ni:
Jumong, Wind of the sea, The great queen (Damdeok), A man called God, IRIS, Gu family book, Time slip Dr. Jin

now naangalia slave hunter
Ukimaliza cheki na gumiho
 
Shine_or_Go_Crazy-p1.jpg

Leo nimemaliza kuangalia tamthilia ya "Shine or go crazy"
wang so ambaye alikuwa mtoto wa mfalme wang gun ni prince wa goryeo(warithi wa goguryeo),ambaye amezaliwa na kuishi mpweke udogoni kwake kwa sababu ya watabiri kuwa ana kama laana (cursed fate).siku moja alikutana na princess wa mwisho katika taifa la Balhae (warithi wa goguryeo lililoanzishwa na dae jo young) alikuwa akiitwa shin yool (oh yeon soo) ambaye amezaliwa akiwa na asili ya kuling'arisha taifa jengine. NI stori nzuri na inavutia.
Mkuu yaelekea una series nyingi sana,, embu zitunze aisee ntakuja zichukua na mim
 
Habari
Najaribu kudownload korean series lakin zinahitaji mb nyingi mnoo
Naomben mnisaidie jinsi kudownload kwa mb ndogo tafadhali
 
wale wazee wa historical lipi pambano kali kati kati ya
damdeok vs sagal yeon in king gwaggaeto
damdeok vs murong xi
dae jo young vs li kaigu in dae joyoung
muhyool vs dojin in kingdom of the wind
hqdefault.jpg

iH_e.jpg

9.sagal-hyeon-cuttteeeee.jpg
hqdefault.jpg
Hapo muhyool na dojin
 
Back
Top Bottom