thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Tatizo ni kwamba browser imefanya automatic update halafu IDM haukuupadate hivyo IDM inakuwa haifanyi kutokea ile iconNatumia IDM na huwa naplay kama ulivyonielekeza tatizo nyingi huwa nyingi naambiwa not available in ur region! Kwa hiyo hata icon ya play unakuta haitokei!
Solutions.
1. Unaweza download player moja inaitwa eagleget downloaded inafanya kazi kama IDM ila si kiivyo Sana japo hii ni free na unaweza Ku update Mara kwa Mara.
2. Download latest version ya IDM kabla haujainstall hakikisha umeitoa kwanza ile ya zamani, halafu usisahau kufanya uchakachuzi, ikigoma fuata njia ifuatayo
3. Kama unapenda IDM itoe hiyo browser unayotumia pamoja na IDM, halafu weka lower version ya hiyo browser halafu re install IDM ile uliyokuwa na kufuata zile procedure za kucrack, basi baada ya hapo itaendelea kufanya kazi kama kawaida.