Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

www.dramacool.io link hii ina full episodes. Korean series.... Kuna Jackpot ya 2016....
Kuna characters kama
Baek Dae Gil
Sukjong
Yi in njhwa
Kim chae gun
Dam seo
 
Asante sana kwa supporting actress list nawakubali karibia wooote, namuongeza Kim mi Sook na Choi ran. Naomba uweke picha zao pls
 
Asante sana kwa supporting actress list nawakubali karibia wooote, namuongeza Kim mi Sook na Choi ran. Naomba uweke picha zao pls
Ahsante kwa kuwaongezea Prishaz niliwasahau ila nilipoziona picha zao nikakumbuka tamthilia ya HONG GIL DONG na CITY HUNTER.Hata Chae siraa(madam jami) nilimsahau kumweka kwenye listi.nitaifanyia tena edit.
 
Hii kitu ni nzuri? Nilifikiria kuianza nikasita
Nzuri sana yani hlf ina love story kali,
Mwanajeshi na daktari wanafall in love, ila majukumu yao yanawafanya washindwe kulinda penzi lao, maana wote wapo busy until they meet again na kujaribu tena..... Nisikumalizie uhondo, itafute na hutajuta.
 
Haya ndio mambo yangu mkuu...
Ngoja nitaitafuta [emoji4][emoji4][emoji4] asante.
 
Descendants of the sun,
Wow! That handsome man *SONG JOONG-KI*
leo asubuhi nimeanza kuiangalia nimependa chemistry yao kati ya song joong ki na song hye kyo.baada ya miezi kama sita ndio drama yangu ya kwanza leo nimeanza kuangalia ambayo ni ya mjini
images
 
Nzuri sana yani hlf ina love story kali,
Mwanajeshi na daktari wanafall in love, ila majukumu yao yanawafanya washindwe kulinda penzi lao, maana wote wapo busy until they meet again na kujaribu tena..... Nisikumalizie uhondo, itafute na hutajuta.
Thx rafiki nitaianza ASAP ninayo nilianza episode ya kwanza nikaiacha...huyu jamaa mwanajeshi nilimkubali sana kny drama ya Innocent man "Kang Maroo". Asante kwa recommendation
 
leo asubuhi nimeanza kuiangalia nimependa chemistry yao kati ya song joong ki na song hye kyo.baada ya miezi kama sita ndio drama yangu ya kwanza leo nimeanza kuangalia ambayo ni ya mjini
images
Chemistry imebamba,
Sura ya Song joong ki hua inanikosha sana, kila siku hua anaonekana katoto.
 
JANG YOUNG SIL.

angalia JANG YOUNG SIL.
1448052425_3555286277__12227016_10153744474383245_3473722084291087239_n.jpg

(song il kook na watoto wake mapacha daehan,minguk,manse ambao walitokezea kwenye episode ya 4 ya jang young sil)
baada ya kumaliza drama ya jang young sil, song appa anashiriki kwenye tamasha la music la "broadway 42 street yeye anacheza kama muhusika mkuu yaani "JULIAN MARSH"

images

View attachment 375368
Wooooow!
Asante mkuu,naicheki hii kabla ya zote.
 
Jumong iliwaweka wakorea sokon vyema
City hunter
Bad boy
Iris
Spy
Secret agent
Posaido
Arrows on the bowstrng
Injumae
Gu family
Duo
Scandal
Giant
Salar man
Fogitive plan B
etc
We mkuu mimi nataka series zenye zenye maudhui kama za iris city hunter,bridal mask nk za namna hyo plse emu naomben majina yao kwanza
 
A Man Called God- hii kitu ni mziki mwingine, utamuona Peter Pain anavyo wasumbua watu, ni kitu cha ukweli. Athena- hii ni muendelezo wa IRIS, hakika hii kitu mpaka sasa bado inabamba. Katika Korean drama nilizokwisha kuziona hizi mbili ni nzuri.
Hizo kitu hatari sana

Innocent man bado sijaiona pia waweza muangalia kwenye *Sungkyunkwan Scandal*
Nimeianza na nimeipenda sana just fell in love with song joong ki, super smart kazini, na romantic haswa. Nikimaliza nitatafuta hii uliyoniambia....halafu nimependa kikosi cha special force walivyo na umoja.
 
Back
Top Bottom