Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mimi pia huwa nalia Sana mpaka Kuna kipindi nilisema nitaacha kuziangalia, ila nilishindwa kuacha. Na hizo OST wakati mwingine ndio zinachochea emotion hasa Kama Ni kipengele cha huzuni. Nawapenda sana
Sasa tukiangalia wote si utakuwa msiba?
Jamani mimi huwa naliaaaaa.

Yes...OST zinachochea sana.
Na vipengele vyote ambavyo huwa nalia utakuta OST imetafsiriwa kabisa,wahusika wanalia uwiiiiii!
Hadi huwa napose kabisa!
 
Nimecheka sana kweli tukiangalia wote itakuwa msiba nimeimagine unavyoweka pose kabisa haha mimi kila drama kama sitalia sana ni kuwa sitakosa kipengele cha kulengwa lengwa machozi halafu historical series ndizo zinakuwa na emotion scene nyingi zaidi kwa upande wangu. Niambie comrade umeiona jana nilitaka niianze nikasita.
 
nimemaliza kuangalia gu family mie napenda za mazingira ya bush za kimjini sipendi so nipeni list wadau
 
Historical Series ndio habari ya mjini.....They are my favorite!
Zile za kikorea za maisha ya siku Hizi(kimjini mjini) hazinipagi mzuka kivile...
 
Wasalaam!

Kwenye filamu ya 'Emperor of the Sea (Sea God) Choi Soo-Jong (ameigiza Emperor Wang Gun; Dae Jo Yeong; The King's Dream; nk) anachuna vikali na Song Il-gook (mwigizaji wa Jumong; Jang Yeong-sil; nk).

Kati ya hao wawili, ni nani mkali wa "Korean Historical Drama"?
M

imi binafsi najisikia fahari kuwashuhudia hawa waigizaji wawili CHOI SOO JANG na SONG IL KOOK, kwa kweli hawa jamaa wana vipaji vikubwa sana katika fani ya uigizaji.

a9c1a67dd0cb2014414dff51d06b93df.jpg

tufahamu kuwa CHOI SOO JANG ni mkubwa kwa miaka 8 zaidi ya SONG IL KOOK kwa hivyo CHOI SOO JANG alianza kuigiza mwanzo na kuwa maarufu . SONG IL KOOK alianza kujifunza kuigiza 1998 akiwa na miaka 27 baada ya kushauriwa na YOO DONG GEON ambaye alikuwa akifanya kazi ya uigizaji pamoja na mama yake song il kook pia alikuwa ni mwanafunzi wa mama yake, amecheza drama nyingi kama YEON GAE SOMUN,ATHENA,JEONG DO JEON na GU FAMILY BOOK baada ya kumuona kuwa na umbile zuri la kuwa muigizaji,

korea_22_dong-geun-yoo_my-kids-give-me-a-headache.jpg

kwa hivyo kwa mtu ambaye hakuwa na ndoto wala kipaji cha kuigiza anahitajika kuwa na jitihada kubwa sana ili kufuzu katika majaribio.

Wakati CHOI SOO JANG anacheza historical drama ya EMPEROR WAN GUN mwaka 2002 ambayo ilimpa mafanikio makubwa na tunzo mbali mbali na kuzidi kumpa umaarufu nchini korea SONG IL KOOK bado alikuwa ni muigizaji wa kawaida tu.

Baada ya kumaliza drama ya emperor wan gun CHOI SOO JANG ndipo alipopata ofa nyengine ya kuigiza historical drama ya EMPEROR OF THE SEA (haeshin) mwaka 2004 akiwa na miaka 42 na akiwa ndio muigizaji mkuu (goong bok baadae jang bogo).

Baada ya kuonesha uwezo mkubwa katika tamthilia ya TERMS OF ENDEARMENT ndipo SONG IL KOOK alipata ofa ya kuigiza emperor of the sea akicheza kama (yum mun / yum jang)ambaye alikuwa ni mpinzani wa jang bogo, tufahamu kuwa kabla ya song il kook hajapata nafasi ya kuigiza kwenye haeshin tayari nafasi ya yum mun alikwisha chaguliwa muigizaji mwengine ambaye ni HAN JAE SUK ambaye amecheza drama kama LOBBYST na tayari walikwisha kuanza kushoot ila baadae jamaa akaamua kuacha na kuamua kuchagua ofa nyengine,

Han_Jae-Seok-p2.jpg

kivyovyote song il kook hakuwa na uzoefu katika historical drama (sageuk) kwa sababu ilikuwa ni historical drama ya kwanza kushiriki ila naamini 50% ya mafanikio ya emperor of the sea yametokana na performance ya song il kook aliyoionyesha.

Nimeona baadhi ya watu waliotoa maoni yao wamesema choi soo jang ni bora zaidi ya song il kook kwa sababu choi soo jang ni mkali katika mapigano (martial arts): nakubaliana na hoja yao kwa sababu tayari nisahamuona kwenye DAEJO YOUNG, HAESHIN, EMPEROR WAN GUN japo sijaimalizia na hata kwenye THE GREAT KINGS DREAM.

1959613871_small_1.jpg

Lakini mimi siamini kama uwezo wa muigizaji unapimwa kwa mapigano (martial arts) kwa sababu naamini wanaopanga mapigano ni team ya madirector kwa hivyo kivyovyote muigizaji anafuata ushauri wa director.Na hata wakati alipohojiwa director wa drama ya emperor of the sea alisema waliamua kuweka mapigano mengi ili kuonesha jinsi gani jang bogo alivyopambana sana na wateka nyara wa baharini wakati wa uhai wake,na pia waliamua kumfanya jang bogo ni mpiganaji bora zaidi ya master wake na yum mun ,na pia waliamua kumfanya yum mun ni bora zaidi ya yeon wanapopambana .kwa mfano ukiangalia drama kama WARRIOR BAEK DONG SOO utagundua kuwa director alimfanya Baek Song Soo kuwa ni zaidi ya Sky Lord lakini kiuhalisia sky lord alikuwa ni hatari kama sword saints.

images

Maumbile yao na Uwezo wa kucheza nafasi tofauti : kwa mtazamo wangu choi soo jang ni hodari zaidi anapocheza kama mtu wa chini kimaisha na baadae akaibuka kuwa ni shujaa kwa mfano kwenye emperor of the sea alianza kama mtumwa na baadae mpiganaji mwisho akawa ni mfanya biashara mkubwa sana,pia kwenye Daejo young alikuwa ni mtu wa chini sana mpaka akawa general mkubwa mpaka akafanikiwa kuanzisha taifa la BALHAE,kiukweli sijavutiwa na uwezo wake kwenye dream of emperor ambapo alicheza kama ni member wa royal family (prince chunchu) huwa nampenda choi soo jang anaposimama kama ni mpigania haki aliyepitia maisha ya shida kwa sababu sura yake inaonekana kama ni mtu ambaye muda mwingi anakumbana na matatizo .kitu chengine nilichokigundua kwa choi soo jang ni kuwa umbile lake halimpendezi anapocheza kama mfalme.

2a2b4c459358b73d7bd624a94ad2ca64.jpg

kingsdream1.jpg

kingsdream_13.jpg

Kwa mtazamo wangu mimi ukimwondoa JANG HYUK ambaye ameigiza drama kama SLAVE HUNTER, DEEP ROOT TREE, ,SHINE OR GO CRAZY yeye ndie pekee ambaye naweza kumlinganisha na song il kook linapokuja suala la kucheza nafasi mbali mbali kutokana na umbile lake.
jang-hyuk.jpg

Mimi binafsi nashindwa kufahamu ya kwamba song il kook ana sura ngapi kwa sababu anabadilika kutokana na uhusika anao uvaa tofauti na choi soo jang.ukimwangalia kwenye emperor of the sea sura yake,umbile lake na uzungumzaji wake ni tofauti kabisa na kwenye PRINCE OF THE LEGEND wakati alipokuwa ni prince wa buyeo ni tofauti na alipokuwa ni general wa kikosi cha DAE MUL ARMY na pia ni tofauti na alipokuwa mfalme unaweza kusema ni watu wa tatu tofauti, hata kwenye KINGDOM OF THE WIND na JANG YOUNG SIL ameonesha uhusika tofauti. Pia umbile lake anavutia anapokuwa mfalme na hata anapokuwa general.

jumong-imbc420%20(3).jpg
10730_1184370082462_1024549756_3059.jpg

2388c2f195df3f688904a0f18e979b3e.jpg
kotw6.jpg

Love chemistry (Couples): nampa song il kook 80% dhidi ya choi soo jang 20% naamini hata team choi soo jang mutakubali kuwa song il kook ni zaidi katika sekta ya mahusiano. kwa mfano ukiangalia emperor of the sea CHOI SOO JANG alipata nafasi nyingi sana za kukutana na LADY YUHWA (soo ae) kuliko song il kook lakini uzungumzaji wake na uwasilishaji wa hisia zake ulikuwa hauvutii .hata kwenye DAE JO YOUNG alipokuwa akikutana na lady chullin au princess sukyoung alikuwa anaboa sana, naweza kusema choi soo jang na waigizaji wengine wa korea watasubiri sana kufikia uwezo wa song il kook linapokuja suala la love chemistry.

photo4325.jpg
422f0e1273029273cd82bb28a5b3ee63.jpg

Naamini kila aliyeangalia emperor of the sea hata kama ulikuwa ni Team Choi soo jang (jang bogo) ulikuwa unatamani kila episode wakutane song il kook (yum mun) na soo ae (lady yuhwa) naweza kusema ilikuwa burudani sana wakizungumza japo kuwa soo ae alikuwa slow sana akizungumza ila song il kook alimfutia sana makosa yake. Mpaka leo nazikumbuka baadhi ya nukuu (quote) pindi walipokuwa wakizungumza.
eots.jpg

Kwa mfano katka episode ya 22 baada ya jang bogo kukamatwa katika kambi ya YISADO ilibidi lady yuhwa atumie udhaifu wa kupenda aliokuwa nao yum mun na kumuahidi kuwa yupo tayari amtumikie kama mume wake ila amwachie jang bogo, na nilipenda majibu ya yum mun (song il kook) nakumbuka alimwambia

“tafadhali simama, ni mara ngapi nimekuomba uwe mwanamke wangu lakini hutaki, leo hii unasema upo tayari uwe mke wangu, labda unafikiri nitajisikia furaha,hali ya kuwa mimi sipo ndani ya moyo wako, si unasema utakuwa mke wangu basi sawa hata kama nitashindwa kuuteka moyo katu sitakubali kuupoteza mwili wako “

Katika episode ya 24 wakati yum mun anamwaga LADY YUHWA kwa ajili ya kwenda vitani na kumuomba aondoke arudi YANGZHOU lakini YUHWA akakataa na akamwambia yum munnitakusubiri naamini utarudi salama vitani”.

Yum mun alitabasamu na baadae akamjibu

“laiti kama maneno hayo ningeliyasikia tulipokuwa Mujinju ningelijiona ni mwanamme mwenye bahati sana na ningeliachana na ukorofi wote nilionao,lakini wewe moyoni mwako yupo jang bogo tu,mama yangu alikuwa mtumwa na alifariki kwenye jahazi ndipo master yi akaamua kunilea yeye ni kama baba yangu,mwanzo niliwahi kukwambia kuwa niliwahi kukuona ulipokuwa mdogo maeneo ya Chunghae, urembo wako,tabasamu lako niliamini vingeliniondolea upweke na huzuni nilionao kwa kukosa mapenzi na malezi ya mama ila nimeshindwa kumuondoa jang bogo ndani ya moyo wako kwa hivyo tafadhali nakuomba uondoke uwende kwa jang bogo kwani yeye ndie pekee unayemuona atakupa furaha”

Halafu chakuvutia zaidi ilikuwa yum mun na yuhwa wakizungumza inatumika Korean ost aliyoimba Lee hyun sup inayoitwa prayer (gido) beti ya kwanza.

Pray let her stay by my side, Even if I can't have her heart Until she sees the tears in my heart . pray let her look back once, So she can see me by her side whenever that may be Give me the patience to wait, So that my longing for her doesn't become a sin, Pray let her know someday that my love was anything but small Answer my prayer....

Kupitia drama hii ya HAESHIN song il kook alishinda tunzo tatu(best couples,excellency actor,popular actor) na choi soo jang alishinda tunzo moja. (best actor) hata kwenye tamthilia ya PRINCE OF THE LEGEND love chemistry kati ya soseono(han hye jin)na jumong(song il kook) ilikuwa ni ya kuvutia na pia love chemistry kati ya jumong na yesoya(song ji hyo) ilikuwa inavutia.song il kook alishinda tena tunzo tatu kupitia tamthilia ya jumong.

200702130020.jpg
tumblr_n10qu2IX611srl8l6o1_500.jpg

pia kwenye kingdom of the wind licha ya mwanadada yeon (choi jung won) kuonesha uwezo mdogo sana wa kuigiza jambo ambalo lilisababisha katika tunzo za mwaka 2008 mashabiki wengi kuhisi alipendelewa baada ya choi ji won kushinda tunzo mbili akimpiku mwanadada SUNG YURI ambaye alicheza kwenye HONG GIL DONG kama YINOK ambaye alitegemewa atabeba yeye tunzo.
kiukweli song il kook akicheza kama prince muhyool (king damushin muhyool) alimbeba sana choi jung won na song il kook alishinda tena tunzo tatu mfululizo kupitia historical drama zote tatu.
17471_0.jpg
tebu.png

Kwa mtazamo wangu mimi song il kook ndie “king of historical drama’”.
 
Safi sana mkuu, ila kwa upande wangu naona choi so jong ktk emperor of the sea hususani love scenes jamaa alizitendea haki, coz kwa upande wangu alikuwa anaongea utasema haigizi kwa jinsi alivyotumia hisia Kali!
 
Team Song Il Gook oyeeeee?
Damushinmuhyool nimekupendaje kwa maelezo yako?
Nimepata burudani kubwa sana asubuhi hii...ubarikiwe.
Nimependa ulipoigusia Baek Dong Soo...ile kitu ni shida!
Panga linalotembea kule sio la kitoto.
Napenda pale yule mnafiki alipokatwa kidole na Geumwa (Jina alilotumia mhusika ktk Jumong)
Hii historical drama ni ya ukweli sana,maadui wanafanyiana fair kama akizidiwa anamuachia mwenzie akaonane na 'le mbebez'...lol

Wazee wameonesha uwezo mkubwa sana wa martial arts.Chaulevi (Sky Lord)nae sio haba.
Nilisikitika yule master wa wale (akina Baek Dong Soo)watoto alipouawa walipovamiwa usiku!
Dah...
Hii drama niliicheki 2013,nikipata muda nitairudia tena.

Ila tujipange hapa team Choi Soo Jang akina juan moses wakija patawakaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kinachoigizwa msanii ni kwa jinsi ya maudhui ya igizo lenyewe. Hivyo mwaandaaji huchagua mwigizaji anayeweza kuivaa sehemu husika ya igizo kiuhalisia.

Fafanuzi ya Damuahinmuhyoo kuhusu Choi Soo Janf na Song Il Kook, ni sahihi kabisa kwa jinsi wanavyotendea haki nafasi zao za kuigiza . Wakati CHOI SOO JANG ni hodari katika mapigano na jinsi ya kupanga mashambulizi, SONG IL KOOK ni mwigizaji mzuri wa mapenzi. Ukitizama maigizo yao, miili na matendo yao huwakilisha vilivyo sehemu husika kwa hisia kali sana.

Ni budi pia kuwapongeza watayarishaji wa Korea wanavyoandaa sehemu zote za igizo (senema/tamthilia) kuonekana kiuhasilia.
 
Mwanangu umenikosea sana! Umenishawishi niangalie K2 kumbe haijaisha imeishia 7!!! Sasa watatoa lin mwendelezo??
Pole sana . Hiyo kitu ni latest ndo maana wana upload kwa mapozi mkuu.
Kuwa na subira
 
ANAANZA SONG IL GOOK ANAFATA LE DAEGIL(JANG HYUK) ANAMALIZIA SWORD SAINT

ACHENI KUMFANANISHA JUMONG NA VITU VYA KIPUMBAVU

****TEAM SIPENDAGI UJINGA MIMI***
 
Back
Top Bottom