Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jumong mwisho bhana hua nina series kibao za kikorea ka 19 hv HDD ikijaaa nazifuta nying ila jumong siifuti pia Queen of sedeouk nayo ni sheeedah
unajua ktk series moja ya kikorea unapata kila kitu haswa zile za zamani
mapenzi, siasa, dhulma, uchawi , figisu figusu, sience ya kila kitu
Hata plan b iko vizuriNiliipenda IRIS sijawahi kuona mfano wake
Kama unataka historical nakushauri uiangalie binafsi niliipenda naamini nawe utaifurahia. Hapo utakutana na Kim Soo-hyun alikuwa ndio anachipukia, Kim Yoo- Jung na wakali wengine. Go for itNimemaliza The flower in the Prison..........nimeipenda sana. Sasa naisaka The Moon That Embraces the sun. Kwa mlioiona niendelee nayo au mnanishauri niangalie ipi ambayo itaniteka kama The flower in the prison ilivyoniteka??
c.c: Damushinmuhyool Prishaz Nifah
Asante..........za namna hii ndio nazipenda. Ngoja niicheki hii.Kama unataka historical nakushauri uiangalie binafsi niliipenda naamini nawe utaifurahia. Hapo utakutana na Kim Soo-hyun alikuwa ndio anachipukia, Kim Yoo- Jung na wakali wengine. Go for it
Asante sana mkuu.!bahati nzuri umeshajibiwa na prishaz.the moon ni miongoni mwa drama zilizofanya vizuri sana mwaka 2012 hadi rate yake nchini korea kwa kuangaliwa kila wiki ilifikia 40%.
Terms of endearment nayo ni series? Inahusu nini?bila ya kumsahau mwanadada han ga in. nilimpenda sana kwenye terms of endearment akiwa pamoja na ji sung na song il kook
![]()
Wee hicho kitu acha kabisa utakuja kunisimulia.Nimemaliza The flower in the Prison..........nimeipenda sana. Sasa naisaka The Moon That Embraces the sun. Kwa mlioiona niendelee nayo au mnanishauri niangalie ipi ambayo itaniteka kama The flower in the prison ilivyoniteka??
c.c: Damushinmuhyool Prishaz Nifah
Daah mlimpenda huyu dada. Anaonekana hata kwenye real life mpole sana. Mtazamo wangu lakini[emoji85] [emoji85]bila ya kumsahau mwanadada han ga in. nilimpenda sana kwenye terms of endearment akiwa pamoja na ji sung na song il kook
![]()
Nimeiona yote aisee imetulia sana.Wee hicho kitu acha kabisa utakuja kunisimulia.
Umeimaliza yote mara hii We noma.. inaonekana huu ndo ulevi wakoNimeiona yote aisee imetulia sana.
hahahaaah mkuu krismasi nimekesha nayo. Nimelala saa 9 usiku wa boxing day, baada ya kurehjea saa 2 usiku nikaiangalia kuja kushtuka saa 9. Jana kwa kuwa nimeshinda home nikaimalizia,,,,,,,,,ni kali sana.....!Umeimaliza yote mara hii We noma.. inaonekana huu ndo ulevi wako
Umetishahahahaaah mkuu krismasi nimekesha nayo. Nimelala saa 9 usiku wa boxing day, baada ya kurehjea saa 2 usiku nikaiangalia kuja kushtuka saa 9. Jana kwa kuwa nimeshinda home nikaimalizia,,,,,,,,,ni kali sana.....!
Asante mkuu kwa hii taarifa. NitaitafutaView attachment 450971View attachment 450972![]()
itafute drama inayoitwa jejungwon, inazungumzia maisha ya kijana mmoja anayeitwa hwang jeong ambaye alikuwa na ndoto ya kuwa daktari mashuhuri katika tawala ya joseon,baadae akafanikiwa kufanya kazi katika hospitali ya jejungwon,historia inasema jejungwon ndio hospitali ya kwanza nchini korea kufanya matibabu kwa kutumia dawa za magharibi (ulaya) na imeanzishwa mwaka 1885.
starring
han hye jin (soseono kwenye jumong)
yeon jeong hun (vampire prosecutor,east of Eden)jamaa ndie mume wa han ga in wa kwenye the moon that embrace the sun
View attachment 450975View attachment 450976
park yong woo (terms of endearment drama)