Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimetokea kuwa mpenzi wa Korean Drama mara baada ya kuangalia hii inaitwa The Heirs, daaah imeniteka akili aisee, ina kila kitu.

Wakuu kama kuna kali zaidi ya hii mniambie nikazitafute. Sipendi zinatawaliwa na mangumi au mauchawi, nadhani mnanielewa.

Asanteni.
 
A man from another star.
Stranger doctor.
City hunter.
Yong pal.
Healer.
 
City hunter na anaenivutia ni Le Min Ho "dr lee" na nyingine ni East of Eden hii ilinifanya nikalia sanaaa na kwikwi juu kuja kutahamaki kumbe nawatch movie
 
ec13b6b723f23fd53f763bc12e690a31.jpg
961122280c46f60b0f6f9b34001851e5.jpg
3e32ee1801b507b94f588aadb9a425a6.jpg
76f96a5c71a77e1f7a74452c086e4f46.jpg
aee8923d102620741fa1fe477c82b735.jpg
fbd74821b16f6a7921b0534780be78cb.jpg
 
Leo nimekumbuka descendant of the sun hasa kipengele flani kny episode ya 3 pale captain a.k.a big boss Yoo shin jin alipokuwa anamuomba msamaha Dr Kang ghafla akapiga saluti na askari wengine walipogeuka nao wakapiga saluti, Je ile saluti ilikuwa kumpa heshima Dr? Au ilikuwa na maana nyingine??? Nilipenda sana ile sehemu binafsi nilielewa kaptain aliamua kupiga saluti baada ya kuona Dr amegoma kukubali msamaha wake, lkn kilichonivutia zaidi ni pale wanajeshi wengine walipoona captain anasalute nao wakapiga of which Dr alionekana kutulia baada ya hapo.

Pia kipengele kingine kilichonivutia ni pale Dr alipoanza kujigonga kwa Big boss ilhali mwanzo alikuwa mkali. Ile saa captain aliyokuja kuchukuliwa na helcopter ndio Dr. Akaona hapa nimepata mtu mzito.....
descendant of the sun...one of the best drama i av ever seen...
best drama in 2016
 
Nimepita sehemu nikakuta mtu anaangalia Six flying Dragon...
Nimeanza kuipenda itabidi nianze kuitafuta
 
Nimetokea kuwa mpenzi wa Korean Drama mara baada ya kuangalia hii inaitwa The Heirs, daaah imeniteka akili aisee, ina kila kitu.

Wakuu kama kuna kali zaidi ya hii mniambie nikazitafute. Sipendi zinatawaliwa na mangumi au mauchawi, nadhani mnanielewa.

Asanteni.
e69f189a93be9c7ae078bc843a166945.jpg
Mkuu kaangalie Temptation
 
Back
Top Bottom