Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aisee wakorea karibu kila movie yao ni nzuri nimeona nyingi ila cjawahi kuona mbaya
 
Jamani mimi pamoja na ubobezi wangu uliotukuka ktk Korean series sijatokea kuipenda bridal mask kabisa.
Yani ktk series zangu kali ile haisogei hata kwenye 20 bora [emoji13]
Lee Kang Too na Shenji Kimura hawajakuvutia??
 
Kiduchu kwa zile martial arts skills basi.
Huwa siielewi kabisa ile drama.
Iangalie tu kama hujaanza bado my love, utaipenda tu.
Mwanzo haieleweki eleweki ila mbele inanoga sana.
Mapenzi, Visasi, Ubaguzi (Jap vs Joseon), etc ni moja ya vitu ambavyo utavikuta mule.
By the way natafuta series ingine yenye mkono, mishale au swords mwanzo mwisho ya kikorea, msaada basi wa list my dearest Baby Nifah .
Nimeangalia Man Called God, Jumong, Emperor of the Wind, Bridal Mask, so usiziweke
 
Halafuuuu,
Wapi nita download episodes zikiwa nzima nzima??
Maana naona Dramacool, DramaCrazy wanakata kata, eti wanaweka 1A, 1B, 1C na 1D una download weee mpaka unachoka
 
Iangalie tu kama hujaanza bado my love, utaipenda tu.
Mwanzo haieleweki eleweki ila mbele inanoga sana.
Mapenzi, Visasi, Ubaguzi (Jap vs Joseon), etc ni moja ya vitu ambavyo utavikuta mule.
By the way natafuta series ingine yenye mkono, ishale au swords mwanzo mwisho ya kikorea, msaada basi wa list my dearest Baby Nifah .
Nimeangalia Man Called God, Jumong, Emperor of the Wind, Bridal Mask, so usiziweke

Hiyo bridal mask na my girlfriend is gumiho sitokaa nipoteze muda kuziangalia kabisa.
Nilishazitoa akilini kitambo...zipo series kibao kwanini nishindane na moyo wangu?
Ney ney...[emoji113]

Angalia warrior baek dong soo...ni nzuri sana.
Humo wazee wawili wanaoneshana kazi ya ufundi & uhodari wa kucheza na swords achaaaaa,ni moto.
Na hata kisa chake kinasisimua sana.
Pia Princess Jamyung (hii mwanzo nililia sana),Queen Seondoek (Second)
Pia inspiring generation ni nzuri.
Ngoja nitafakari nyingine maana nimeangalia nyingi hadi nimesahau nyingine Wallah.
Inabidi niwe narekodi nilizokwisha kuziangalia.

cc johnsonmgaya Clkey sio mbaya ukacheki na hizo chache plus
-Fated to love you
-My love from the star
-The moon that embraces the sun
-The Heirs
-Personal taste
-Faith
-Frozen flower (hii ni noma [emoji85] )
-Spy girl (movie)
-My Young Wol The Spy
-Temptation of an angel
-Road number 1
-King 2 hearts
Etc etc
 
Hiyo bridal mask na my girlfriend is gumiho sitokaa nipoteze muda kuziangalia kabisa.
Nilishazitoa akilini kitambo...zipo series kibao kwanini nishindane na moyo wangu?
Ney ney...[emoji113]

Angalia warrior baek dong soo...ni nzuri sana.
Humo wazee wawili wanaoneshana kazi ya ufundi & uhodari wa kucheza na swords achaaaaa,ni moto.
Na hata kisa chake kinasisimua sana.
Pia Princess Jamyung (hii mwanzo nililia sana),Queen Seondoek (Second)
Pia inspiring generation ni nzuri.
Ngoja nitafakari nyingine maana nimeangalia nyingi hadi nimesahau nyingine Wallah.
Inabidi niwe narekodi nilizokwisha kuziangalia.

cc johnsonmgaya sio mbaya ukacheki na hizo chache plus
-Fated to love you
-My love from the star
-The moon that embraces the sun
-The Heirs
-Personal taste
-Faith
-Frozen flower (hii ni noma [emoji85] )
-Spy girl (movie)
-My Young Wol The Spy
-Temptation of an angel
-Road number 1
-King 2 hearts
Etc etc
Nimetamani kuangalia hiyo uliyoizibia uso
 
Ahsante Baby Nifah,
Ngoja nisubiri mida ya 10GB @ Tshs 1,500 Airtel nizi download
 
Halafu Nifah kumbe noona inatumika na wanaume kwa wadada? Aaaargh sasa mimi ni Unni siyo wewe, ok honey? Sina series mpya nimeamua kurudia fated to love you...si umeiona?
Noona Prishaz nipo naangalia fated to live you ni nomaaaa.
Thank you
 
Back
Top Bottom