Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ChoikanchaJumong ndo yangu ya kwanza Ila nilioipenda sana ni gu family book
Iyo Hashtag Yako...omo omo omo nimeshajua sababu itakayokufanya uiangalie drama ya BLACK.
Tafadhali aminas nakuomba umuongeze SONG SEUNG HUN katika list ya bae wako.
![]()
[HASHTAG]#uchochezi[/HASHTAG]
Jomoniii[emoji7] [emoji7] [emoji7]22nd Busan International Film Festival - 12.10.2017.
song family
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahaa watu mtaanza kujua kikorea kama kiswahili vile. Hilo neno la pili tafsiri yake ' It has been a long time ' si ndio?Anyeong wadau. Oremaniya?
Hahaha. Yeah!Hahaa watu mtaanza kujua kikorea kama kiswahili vile. Hilo neno la pili tafsiri yake ' It has been a long time ' si ndio?
mama yao anaitwa Jung Seung Yeon ambaye ni judge wa Incheon District Court, sheria za korea zinawabana majudge kuonekana hadharani kwenye vyombo vya habari,ni ngumu sana kuona picha yake na hata kwenye show ya the return of superman alionekana mara moja tu na ilikuwa episode ya mwisho kwa song family kushiriki kwenye show.Damushin tuonyeshe hao watoto wakiwa na mama yao
sasa aminas hataki wewe umuongeze kwenye list yako lee seung gi, anataka amgande yeye tu kama kupe, halafu nimegundua yeye ni mshabiki mkubwa wa diamond na inapendeza zaidi shabiki aige kile anachofanya role model wake.diamond ana wengi hivyo basi na yeye anapaswa amuache lee seung gi awe na wengiMa oppa wote hawa tuanze kupigana ngumi kisa nini? Af kizuri kula na nduguyo
mama yao anaitwa Jung Seung Yeon ambaye ni judge wa Incheon District Court, sheria za korea zinawabana majudge kuonekana hadharani kwenye vyombo vya habari,ni ngumu sana kuona picha yake na hata kwenye show ya the return of superman alionekana mara moja tu na ilikuwa episode ya mwisho kwa song family kushiriki kwenye show.
siku moja song il kook alipoulizwa kuhusiana na mke wake alijibu
mke wangu si mrembo kama wanawake wengine lakini ni mcheshi sana.
mnamo 09/11/2015 television ya Tvn ilitoa list ya wanawake wenye mafanikio walioolewa na celebrity wa korea kusini mwanamama jung seong yeon alishika nafasi ya pili.
- mnamo mwaka 2000 alishika nafasi ya kwanza shuleni kwao
- baadae alichaguliwa kusoma Seoul National University’s Department of Justice na kufanikiwa kusoma Masters na phd.
- alipata alama za juu sana kwenye Judicial Research and Training Institute
- akiwa na miaka 33 alichaguliwa kuwa ni jaji kwenye mahakama ya Busan ambako leo zimefanyika sherehe za BIFF ( Busan District Court judge)
- Ana uwezo wa kuzungumza kwa ufasaha lugha ya korea,japan,kiingereza na kifaransa.
Hahahahahahahahahahahhaha!!! Daah Unajua Umenifanya Nicheke Mpaka Apa Nilipo Kuna Mtu Kanishangaa..sasa aminas hataki wewe umuongeze kwenye list yako lee seung gi, anataka amgande yeye tu kama kupe, halafu nimegundua yeye ni mshabiki mkubwa wa diamond na inapendeza zaidi shabiki aige kile anachofanya role model wake.diamond ana wengi hivyo basi na yeye anapaswa amuache lee seung gi awe na wengi
[HASHTAG]#uchochezi[/HASHTAG]
Hahaa wewe ni mchochezi wa kiwango cha PhD aisee ila ngoja nimuachie bwana mbona ninao wengi tu ila akijitia kuleta ujuaji tutabananasasa aminas hataki wewe umuongeze kwenye list yako lee seung gi, anataka amgande yeye tu kama kupe, halafu nimegundua yeye ni mshabiki mkubwa wa diamond na inapendeza zaidi shabiki aige kile anachofanya role model wake.diamond ana wengi hivyo basi na yeye anapaswa amuache lee seung gi awe na wengi
[HASHTAG]#uchochezi[/HASHTAG]