Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Wamependeza Sana Sana Yaani...Mi Izo Coat Zao Tuuh..Uyo Wa Miwani Mbona Bae!22nd Busan International Film Festival - 12.10.2017.
song family
![]()
![]()
![]()
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamependeza Sana Sana Yaani...Mi Izo Coat Zao Tuuh..Uyo Wa Miwani Mbona Bae!22nd Busan International Film Festival - 12.10.2017.
song family
![]()
![]()
![]()
![]()
Nikimnukuu Song il kook anasema alikutana kwa mara ya kwanza na mwanadada jung seong yeon kwa msaada wa muandishi wa habari na alipokutana naye siku hiyo alimpenda na akagundua ya kwamba anafaa kuwa mke wake.Daebak...ametisha sana nipo najiuliza huyu Song alianzaje kumuimbisha
hahahaaaaaa umeninukuu vibaya,lee seung gi ndio anapaswa awe na wengi.Kwaiyo Nimfate Ninaemshabikia Niwe Nao Wengi?? Hahahahah Kumbeee Ndo Zakoo, Nishakujuaa.
Nikimnukuu Song il kook anasema alikutana kwa mara ya kwanza na mwanadada jung seong yeon kwa msaada wa muandishi wa habari na alipokutana naye siku hiyo alimpenda na akagundua ya kwamba anafaa kuwa mke wake.
kimbembe wakati wa kumchumbia
song il kook ni mwanadamu mwenye aibu sana, anasema aliamua kuchagua eneo maarufu la Namsan Tower kwa ajili ya kumchumbia mke wake na ilikuwa ni christmas eve na alifanya maandalizi yote lakini alishindwa kufanya hivyo kwa sababu kipindi hicho alikuwa ndiye muigizaji mkuu wa drama ya jumong ambayo iliangaliwa na 50% ya watu wote wa korea.
hahahaaaaaaa matokeo yake akamchumbia mwanadada jung seong yeon kwenye gari.
matokeo yake kwenye return of superman episode ya 89 kama sikosei akaamua kuwachukua watoto wake na kwenda kumchumbia mke wake kwenye Namsan Tower.
uyo mwenye miwani anaitwa daehan (republic= jamhuri)Wamependeza Sana Sana Yaani...Mi Izo Coat Zao Tuuh..Uyo Wa Miwani Mbona Bae!
hahahaaaa apo mwenye balaaa uyo wa mwisho song manse, yaani kama utamchukua kwako nusu saa tu utamrudisha kwaoHawa watoto jamaniiii.. Why are they soooo cute?? Nimecheka jamani eti wanamsaidia baba yao kupropose kale kamoja kanasema 'than you for marrying me' macho na mawazo yote yako kwenye pipi...eti can I eat it now?
Mtundu eeh? Daah jamani watu wengine wana bahatiihahahaaaa apo mwenye balaaa uyo wa mwisho song manse, yaani kama utamchukua kwako nusu saa tu utamrudisha kwao
![]()
Mtundu eeh? Daah jamani watu wengine wana bahatii
Mkuu damushini nipe ripoti za strongest deliveryman
Daah leo nimeshinda na hawa watoto kuanzia kwenye page ya baba yao insta, page za mashabiki YouTube huko yaani acha tuuyo mwenye miwani anaitwa daehan (republic= jamhuri)
- ndiye wa mwanzo
- handsome na mrefu kama baba yake
- ni mwajibikaji tokea akiwa tumboni kwa sababu yeye alikuwa chini na ndugu zake wawili walikuwa juu ndio maana amepewa heshima ya kaka
![]()
- ni mwenye aibu kama baba yake
- ana weak eye sight hivyo basi atavaa miwani kwa maisha yake yote
![]()
- mashabiki wengi duniani wameshindwa kumtabiri daehan akiwa mkubwa atakuwa anapenda nini, kwa sababu ana umbile zuri la kuwa muigizaji,mwanamitindo, daktari au msomi wa sheria kama mama yake.
![]()
![]()
duh ningezaliwa Korea tu ata kama after life kama inaexist![]()
![]()
Si Mtu Wa Mikucha Uyu Binti..
Lakini sababu ni kwamba moon lovers ilioneshwa kwenye channel ya kulipia na moon light drawn by cloud ilioneshwa television ya taifa tena Siku na muda mmojakwa ambaye hajaona LOVE IN THE MOONLIGHT... hii ni kali iliifanya hadi moonlovers isipate watazamaji wengi kama walivyodhania nawashauri muichek
Huelewi uigizaji wao ila umeelewa kuwa wakorea wanaiga...hii nayo kaliNimechunguza wakorea wanaiga sana movie za wajapan,hawa wajapan huwa wana story nzuri ila mie huigizaji wao huwa siuelewi kabisa.
Mfano nilitaka kujaribu kuiangalia "Liar Game" ya wenyewe wajapan ila imenishinda.