EMPTY
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 979
- 1,195
Sitaki sunbae usinirudishe nyuma
Kazi unayo mana kuna "Money Flower" pia ndio imeanza kutoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki sunbae usinirudishe nyuma
siku nitakayopika chakula hicho si nitaonekana nimechanganyikiwa,wazanzibari tumeshazoea kula wali na maharage na asubuhi kibakuli cha urojo na mikate.Unajua kupika hii kitu? Naomba unielekeze please
aigooo pumzika kuangalia drama lakini ningependa niendelee kusoma comment zako.Sitaki sunbae usinirudishe nyuma
aigooo pumzika kuangalia drama lakini ningependa niendelee kusoma comment zako.
Ohhh eotteoke?!
Karibu ukumbini, Mkuu.True say
hahahahaaaa nimejaribu kuweka hisia zangu hadharani, unajua ninapenda sana kusoma comment za wachangiaji hata kama tunatofautiana kimtazamo, ninafurahi sana ninapooona wachangiaji wanaongezeka kwenye thread na kinyume chake nina chukia ninapoona wachangiaji wanapungua.Hahaahaahahaaa!! Sunbae hapo mwisho umeuwaaa.
ahsante sana dongsaeng.Kweli sunbae-nim lakini usijali. Roho zikiendelea kuwepo tutakuwa bega kwa bega hadi Mungu atakapopenda.
Damushin sunbae,
Huyo mzee kwenye avatar yako ndio nani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila wewe. Nikiendelea kutembelea kama hivi mnakuwa mnanitamanisha si unajua tena ilivyo kazi kuacha ulevi sasa mbaya zaidi ni pale unataka kuacha af kila siku unajipitisha karibu na bar unawaona walevi wenzio wanagonga cheers...inataka uvumilivu kushinda hiyo vita. Nitaendelea kupita mpaka drama hizi mbili zitakapoisha ndo ntajaribu kupunguza spidi...vilevile kuna zingine ninazo kwenye flash nitaendelea kuangalia hizo laptop yangu ikitengamaaaigooo pumzika kuangalia drama lakini ningependa niendelee kusoma comment zako.
Ohhh eotteoke?!
Tena huyo oppa ndo nashawishika kumuangalia hatari ila nitajikaza mmmh sijui nitaweza??Kazi unayo mana kuna "Money Flower" pia ndio imeanza kutoka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha eti utaonekana umechanganikiwa. Huko siwezi kuelewa maana nahisi nitatajiwa recipe ambazo sujawahi hata kuzionasiku nitakayopika chakula hicho si nitaonekana nimechanganyikiwa,wazanzibari tumeshazoea kula wali na maharage na asubuhi kibakuli cha urojo na mikate.
kama unavutiwa na mapishi ya kikorea jaribu kupitia tovuti mbali mbali kama
https://www.maangchi.com/
ahsante sana dongsaeng.
hahahaaaa unataka kumkera Khantwe, si mzee ni mtoto wa tatu wa song il kook anaitwa song manse.siku hiyo walikwenda kutembelea film location drama ya jang yeong sil inayozungumzia maisha ya mwanadamu aliyezaliwa katika utumwa lakini akajaaliwa vipaji teleeeeeeeee kwenye utawala wa joseon chini ya mfalme sejong mpaka badhi ya viongozi wakamwekea bifu.
alikuwa ni astronomy wa kwanza nchini korea, alitengeneza saa tofauti kwa mfano inayotumia maji,aligundua silaha nyingi sana za kivita zilizotumiwa na jeshi la joseon.
![]()
Hahaahaaahaaa !! Wewe ukisusa wenzako twala.Tena huyo oppa ndo nashawishika kumuangalia hatari ila nitajikaza mmmh sijui nitaweza??
Witch court naona kama inafanana na suspicious partner,nimeangalia episode moja tu.tokea nianze kufuatilia korean drama haijawahi kutokezea kuangalia zaidi ya drama 3 kwa wakati mmoja lakini wakati huu nimepitiliza.naomba muniombee na mimi kama munavyomuombea mzaliwa wa chato.
- black drama - song seung hun
- joseon gun man drama - lee joon gi
- kings dream drama - choi soo jong
- goblin drama - gong yoo
- because this is my first life - lee min ki
- money flower - jang hyuk
- romantic doctor teacher kim - yoo yeon seok
- witch court - jung ryeo won
- temperature of love drama - yang se jong
- rebel thief who stole the people drama - yoon gyun sang
Nimeishia ep 2. (si shabiki wa same-sex relationships).Witch court naona kama inafanana na suspicious partner,nimeangalia episode moja tu.
Usijari Nishaagiza La Asubuhi Subuh Na Nishamaliza sasa Wananidai Nimewaambia Kuwa Kuna Mtu Anatoka Seoul Anakuja Kulipa....Naona Wananitolea Vyombo Niwasaidie Kuosha Wakati Tayri Nishawadekiahahahahaa umenifanya nicheke kama zuzu, tafadhali agiza bakuli la urojo nitalipa.
uyo gream reaper bishoo ananimaliza sana tabia zake.
mwolago?
Mtumie namba yako akutumie hela,Usijari Nishaagiza La Asubuhi Subuh Na Nishamaliza sasa Wananidai Nimewaambia Kuwa Kuna Mtu Anatoka Seoul Anakuja Kulipa....Naona Wananitolea Vyombo Niwasaidie Kuosha Wakati Tayri Nishawadekia
Damushin Izi Mambo Zako Siyo Kabisaa..
Zinavutiaje??hahahahaaaa zinavutia sana drama zenye kuzungumzia love triangle.