Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Si umesema mapenzi ya jinsia moja au mimi ndo sijaelewaUkameruni ndio nini, Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si umesema mapenzi ya jinsia moja au mimi ndo sijaelewaUkameruni ndio nini, Mkuu?
Hilo neno " ukameruni" ndio nilikuwa sijalielewa maana yake.Si umesema mapenzi ya jinsia moja au mimi ndo sijaelewa
Piatia hiyo link, Mkuu.Msaada: nimeangalia 3 days mpaka episode ya 11 nilikuwa na download kupitia dramafire, lakini kuanzia ya 12 imegoma kabisaaaa.... Nitapata wapi muendelezo kuanzia episode 12 na kuendelea... Nimekuwa addicted sana na hii drama.
Tumia Kissasian.Msaada: nimeangalia 3 days mpaka episode ya 11 nilikuwa na download kupitia dramafire, lakini kuanzia ya 12 imegoma kabisaaaa.... Nitapata wapi muendelezo kuanzia episode 12 na kuendelea... Nimekuwa addicted sana na hii drama.
Poa mkuu acha nicheki.Piatia hiyo link, Mkuu.
Download Links: KDramas, Movies, Series
Mkuu acha kabisa. Ina reflect kabisa struggle for power.Tumia Kissasian.
Hiyo drama tamu sana
Ila Damushin sunbae hapa umenikumbusha na mimi kuna moja amecheza my baby Seung Heon inaitwa When a man loves jamanii nilikuwa napatwa na hasira hadi leo yule dada simpendiii....anaitwa Shin Se Kyung simpendi kiasi hata sina hamu ya kuangalia drama nyingine aliyocheza. [emoji23] [emoji23] [emoji23] nioneni tu wa ajabu ila ndo hivyo jamani nilikuwa nachukia wakati mwingine naacha kuangalia kwa hasira then baadae narudi kuendelea
- zinakufanya kila wakati utamani kuendelea kuangalia ili upate kufahamu nani ataibuka mshindi.
- zinakufanya na wewe mtazamaji uone tukio la kutokupendwa au kupenda kama linakukuta kwenye maisha.
- na usiombe muigizaji unayempenda wewe awe ndio hapendwi na mwenzake awe mwanamke au mwanamme utalia na kusaga meno utafikiri ni maisha ya ukweli kumbe wakimaliza kurekodi wanakwenda kula pamoja kwenye mgahawa na unabaki wewe ukiwa na chuki pamoja na povu chafu kama la kufulia nguo za gerezani.
- wakati naangalia emperor of the sea ilifika wakati nikiona jang bogo na lady jang hwa wanazungumza basi nilikuwa napeleka mbele, hahahaaaaa povu si la nchi hii. pumbavu zao wakorea.
- kwenye boys over flower ndio usisemeee ilifika wakati sijui hata nimpende nani kati ya gu jun pyo na yoon ji hoo.
![]()
- kwenye fated to love you choi jin hyuk a.k.a daniel alimpenda sana kim mi young mwanzo mwisho kuliko jang hyuk a.k.a lee gon lakini mwanamke akawa hasikii la muadhini wala la mteka maji msikitini kwa kumpenda lee gun, na ile cheka cheka yake ndio kabisaa couple yao nikaichukia.
![]()
Duuh Iyo Mbali Twaiona Wote, Wakati Namaliza Kuangalia Episode 2 Nikawa Najaribu Kutafuta Engine Nieendelee Nikajikuta Najicheka Then Nikaanza Ifikiria Jmosi Ilivyo Mbali Lol! Nikawa Najipa Matumaini Uku Nikijifariji Tena Na Jumong Kwa Mara Ya Tatu...asante, wacha niisubiri japo kama mbali naona
Hii Khabari Nzuri Kwa Khantwe, Ila Ni Kweli Wamebreakup Now Au Ni Tangu Muda Ila Sa Ivi Ndo Wameamua Kuweka Wazi..taarifa kubwa leo hii inayozungumzwa kwenye vyombo vya habari vya nchini korea ni kuvunjika kwa uhusiano wa kimapenzi uliodumu kwa miaka 3 kati ya lee min ho na bae suzy.
JYP entertainment ambayo inamsimamia mwanadada bae suzy kazi zake imethibitisha taarifa za mteja wao kuachana na lee minho na vile vile MYM entertainment inayomsimamia lee min ho imethibitisha taarifa hizo.wawili hao taarifa za kuwa na mahusiano zilianza kufahamika mwezi March 2015.
![]()
Lee Min-ho, Suzy confirm breakup
Breaking: Lee Min Ho And Suzy Confirmed To Have Broken Up
Jamani hujui ni kiasi gani nimeumia utadhani mie ndo Suzy...kiukweli nahisi hata mimi nitampa kibuti nakuwa team Suzy sijapenda kwa kweliHii Khabari Nzuri Kwa Khantwe, Ila Ni Kweli Wamebreakup Now Au Ni Tangu Muda Ila Sa Ivi Ndo Wameamua Kuweka Wazi..
Au Ndo shida ni Ratiba Zao Tena!! Doooohh ila Nikajua Utakuwa Umetabasamu Jiko Waachiwa Mwenyewe Tena..Jamani hujui ni kiasi gani nimeumia utadhani mie ndo Suzy...kiukweli nahisi hata mimi nitampa kibuti nakuwa team Suzy sijapenda kwa kweli
Ratiba wapi bhana kwani wanaodumu hawana ratiba? Mimi nahisi huyu Min ho ana shida kwa nini hadumu kwenye mahusiano maana wakorea mimi sijawazoea hivi. Ila akiachika Mr Black nitakata hadi keki [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125]Au Ndo shida ni Ratiba Zao Tena!! Doooohh ila Nikajua Utakuwa Umetabasamu Jiko Waachiwa Mwenyewe Tena..
Daah! Apa tutakata Wote Mwayaa Tena Tutaenda Nunua Mkeki Mkubwaaaaa Tuule Vizurii.....(Japo Apa Nitakuwa Nimeeingia Kwenye Moto) Hahahahhaha....Ratiba wapi bhana kwani wanaodumu hawana ratiba? Mimi nahisi huyu Min ho ana shida kwa nini hadumu kwenye mahusiano maana wakorea mimi sijawazoea hivi. Ila akiachika Mr Black nitakata hadi keki [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125]
Kwaiyo Bby Ni Macho Manane..HahahahhahaRatiba wapi bhana kwani wanaodumu hawana ratiba? Mimi nahisi huyu Min ho ana shida kwa nini hadumu kwenye mahusiano maana wakorea mimi sijawazoea hivi. Ila akiachika Mr Black nitakata hadi keki [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125]
Hahaha usiogope mimi mbona mkemwenza mwema tuDaah! Apa tutakata Wote Mwayaa Tena Tutaenda Nunua Mkeki Mkubwaaaaa Tuule Vizurii.....(Japo Apa Nitakuwa Nimeeingia Kwenye Moto) Hahahahhaha....
Bebi anazingua aisee sijui ndo mambo ya kujiona handsomeKwaiyo Bby Ni Macho Manane..Hahahahhaha
Basi Tutakata Wote...InshaAllahHahaha usiogope mimi mbona mkemwenza mwema tu
Na Kila Akigeuka Anaota Watu Wanamlilia Basi KIchwa Kile Kinazidi...Bebi anazingua aisee sijui ndo mambo ya kujiona handsome