Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara Nyingi Huwa Natumia UC BROWSER Au BROWSER Na CHROME Mara Moja Moja.Unatumia browser gani, Mkuu?
Tumia DNS66, Mkuu. Bofya hiyo link kui-download.Mara Nyingi Huwa Natumia UC BROWSER Au BROWSER Na CHROME Mara Moja Moja.
Hihihihihi, KamsahmnidaPark Hyo Shin - Sound of Winter
Nimejikuta Naisikiliza tangu Naamka,Coz jana Kuna Mahala Nilisoma Kuwa Tangu Aitoe Inaongoza Tuuh Kwenye ChatiPark Hyo Shin - Sound of Winter
Wao wanaziita BalladsNyimbo za aina hii zinaenda genre ipi?
Mimi kwenye Hip Pop ndio nawaelewa zaidi.
Gamsamnida! Zile ambazo wanaimba BIG BANG ndio genre ipi kati ya hizo?Wao wanaziita Ballads
Miondoko Ya Taratibu
au Soul Nahisi
Ila Mi Huwa Nazichanganya Soul,Pop,Rock Na R&B
Mi Hip Pop Yao Nishawahi isikiliza Moja Ambayo Ni Ost Kwenye Moon Lovers Inaitwa Can You Hear My Heart Wameimba Epik High ft Lee Hi.Nyimbo za aina hii zinaenda genre ipi?
Mimi kwenye Hip Pop ndio nawaelewa zaidi.
Big Bang Sijawahi Wasikiliza Kiukweli Nawaonaga Tuuh.Gamsamnida! Zile ambazo wanaimba BIG BANG ndio genre ipi kati ya hizo?
hahahahaaaaaa naisubiria zawadi yangu ya bulgogi, tafadhali niletee na soju nimechoka kunywa juisi ya ndimuDamushin hahaha noona atakuchapa unajua, nimecheka sana make up inafanya watu wanakuwa njano kama unga wa dengu....Haya jiandae kupokea bulgogi yako ya mwaka mpya. Happy new year
hapana nilikuwa nazungumzia kbs drama awards ya kwamba nilitabiri nam goong min atashinda tunzo ya daesang lakini ikawa ni kinyume chake.tunzo ya daesang ameshinda mzee kim young chul na cheon hon jin, nam goong min alishinda tunzo ya top exellence actor.Series gani chief
ahsante sana, ahsante sana na ubarikiwe noona kwa taarifa nilikuwa sina habari kama legend park hyo shin ameimba wimbo mpya baada ya album yake ya the dreamer.SOUND OF WINTER BY PARK HYO SHIN Inaweza kuifanya Asubuhi yako Ieende Poa..