Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

wakorea nao kila unayemuangalia anamshinda mwenzake kiuwezo, matokeo yake unabaki njia panda.kwangu mimi kwa siku ya leo ukiniuliza waimbaji bora kwa miondoko ya r&b and ballad nchini korea kwa wanaume.
  1. park hyo shin
  2. kim bum soo
  3. naul
  4. yim jae bum
  5. the one
  6. k will
  7. sung si kyung
  8. jo sung mo
  9. mc the max
  10. lee seung chul
  11. lim chang jung
aigoooo ila ukiniuliza kesho list hii itabadilika kwa sababu mafundi wapo teleeeeeeeeeeeeeee
 
ahsante sana, ahsante sana na ubarikiwe noona kwa taarifa nilikuwa sina habari kama legend park hyo shin ameimba wimbo mpya baada ya album yake ya the dreamer.
park hyo shin ni miongoni mwa waimbaji wanaoendelea kunifanya nisisikilize wala kufuatilia muziki wa kimagharibi kwa mwaka wa nne. nimeusikiliza huu wimbo amepita mule mule mwa kila siku. kwa waimbaji wa ballad hyo shin ndio muimbaji wangu bora wa kiume.
1.jpg
Yaani Damushin Acha Tuuh Ninamsikiliza Uyu Mkaka Mpaka Basi,Tangu Majuzi Nipo Nae Yaani Yupo Vizuri Sana Sana..Kpop Ni Ulevi Mwengine Yaani Usijaribu Coz Ahutaacha Kabisa
 
wakorea nao kila unayemuangalia anamshinda mwenzake kiuwezo, matokeo yake unabaki njia panda.kwangu mimi kwa siku ya leo ukiniuliza waimbaji bora kwa miondoko ya r&b and ballad nchini korea kwa wanaume.
  1. park hyo shin
  2. kim bum soo
  3. naul
  4. yim jae bum
  5. the one
  6. k will
  7. sung si kyung
  8. jo sung mo
  9. mc the max
  10. lee seung chul
  11. lim chang jung
aigoooo ila ukiniuliza kesho list hii itabadilika kwa sababu mafundi wapo teleeeeeeeeeeeeeee
Kati Ya Ao wote Wawili wa Mwanzo ndo Nimewasikiliza Ao wengine Bado.
Naongeza Na Lee Juck Apo.
 
hapana nilikuwa nazungumzia kbs drama awards ya kwamba nilitabiri nam goong min atashinda tunzo ya daesang lakini ikawa ni kinyume chake.tunzo ya daesang ameshinda mzee kim young chul na cheon hon jin, nam goong min alishinda tunzo ya top exellence actor.
Yeong-cheol_Kim-v1.jpg

Cheon_Ho-Jin-p02.jpg

wazee manseeee
Sawa chief
Wazee mansee
 
Kati Ya Ao wote Wawili wa Mwanzo ndo Nimewasikiliza Ao wengine Bado.
Naongeza Na Lee Juck Apo.
watafute na hao na wengineo hutajutia pia nakushauri anza na (THE ONE ) ambaye inasemekana ndiye vocal training wa mwanadada taeyeon wa girls generations. kwenye mashindano i am a singer 2015 alishika nafasi ya pili nchini korea na nafasi ya tatu nchini China.
theone1.jpg
 
Nami Nataka Awe Coach Wangu (joke) ila Napenda Jinsi WanavyoZipangilia Sauti Zao.
 
Aigooooo, DramaFire is Back.

Siku za nyuma kidogo hii site tuliyo kuwa tunaitumia wengi kwa kudownload Korea Drama ilipotea Ghafra. Baadhi ya wadau nikiwewo mm tulikosa amani na furaha kabisa maana hii site ilikuwa ndio kimbilio la wengi hasa ukizingatia kuwa Episode za kwenye hio site zilikuwa zinachukua MB ama GB ndogo mno. Kiukwel sikuweza Download Drama yoyote ile tangu hii site ilipo potea ghafra.

Kwahyo Habari nzuri ni kwamba site hii imerudi, ila imekuja kivingine kabisa. Nafikiri walikuwa wanaiboresha zaidi ili iwe rafk kwa watumiaji.
 
Je unaitumia kwa simu au Pc? Maana natumia dramania kwa simu.

Back
Top Bottom