Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ha h a ha! Yaani kirahisi rahisi tu wanikabe?
Sio bure ningejua JF tayari washani-snitch!
Hahahaha! Naangalia APA black knight nairudia MRA ya 3 hii episode ya 9..
Najua Ushaiacha!
 
Hahahaha! Naangalia APA black knight nairudia MRA ya 3 hii episode ya 9..
Najua Ushaiacha!
Kwenye Black Knight, ep niliyoipenda ni ile walipokuwa Slovenia tu.
Huko mbeleni naona stori yake hainisisimui kabisa.

Maana kuna dramas unaweza kuziangalia hata masaa 48 na usilale.
Black Knight inanichosha kuiangalia!
BTW, nimejikaza hadi nimefika ep ya 8.
 
Hahahahahaha!
Jikaze uimalizie ya 9..Ivyo Ivyo Hahaha!!
 
Ha h a ha! Dramas zimenifanya niijue sheria hivyo hata ukifanikisha hilo basi na-plead the Fifth.

Hapo sasa ndio kazi ilipo!
Mi Nitaplead Fourth Hahahaha!
Unkuwa Kama Rae Won uyu kaka Ndomna Ahoi Maana Mke unaweza Ikimbia Nyumba Bila Kupenda.
 
Dramafire haifunvuki kabisaa server yake inagoma, hizo zingine nikijaribu ku download nazo hazitaki na nyingine hiyo drama haipo kabisa.
Yah! Nikwel haifunguki ukitumia server ya mwanzo. Lakin si kwamba haipo, ipo sema imekuja kivingine na imeboreshwa zaid. Mm naitumia toka Juzi mpaka leo naona haizingui tena iko poa sana. DramaFire
 
Yah! Nikwel haifunguki ukitumia server ya mwanzo. Lakin si kwamba haipo, ipo sema imekuja kivingine na imeboreshwa zaid. Mm naitumia toka Juzi mpaka leo naona haizingui tena iko poa sana. DramaFire
Mkuu,
Tupia screenshots na sisi tufaidike sote!
 
Mkuu,
Tupia screenshots na sisi tufaidike sote!
Mkuu, Ndio naiona hii reply yako saiz. Basi sawa kama ni hivyo sio mbaya, Japo kuna nilie mwelekeza lakin Naona bado Hajaelew. Saiz kuna Mahala naelekea, tufanye jioni ndio huwa napata mda. Basi muwepo wote ili tujifunze kwa pamoja In Shaa Allah.
 
Pamoja mkuu.

Ngoja niwaite waje kuwahi seat.
aminas chingu
Afande Nyati
 
e162a365921a2074623520fe36118999.png

43d730fd7c5e39df11a947eb44d91a51.png

DSs8-u_V4AACFXv.jpg

0c4fc5cd6d8fee3a8ba9ef27ffca2294.png

Kama Uiangalia Hii Drama Kuna Vitu Unakosa, A K A Kuna Radha Unakosa Kabisaa.
Daebak! What Love!!
 
Back
Top Bottom