Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Baada ya hapo utashuka chini na kuanza kutafuta Drama uitakayo. Ukipata Drama unayo itajia utaiclick, mfano mm nimechukulia drama ya Jugglers.
2581daeda01a51bf92d340ddba4dbbd2.jpg
 
Wakuu mkifikia hatua hiyo hapo unakuwa uko karibu kudownload Drama yako uitakayo. Ukiwa kwenye hatua hiyo shuka chini utakutana na section mbili. Section ya kwanza imeandikwa Watch Jugglers Online na section ya pili imeandikwa Download Jugglers Episode. wakuu achaneni na hiyo section imeandikwa Download Jugglers Episode iendee Hiyo nyingine kama nilivyo ionyeshea kwa mstari wa pink.
dd02d4c31e63cbb446544cb4b6b55dfa.jpg
 
Aya chagua episode uitakayo kisha ibonyeze itakupeleka moja kwa moja kwenye kipengele cha tutizama video. Hapo kuna machaguo kama ifuatavyo, lipo chaguo la 360p hili ni chaguo la chini, pia kuna chaguo la 480p hili ni la kati na mwisho kuna chaguo la 720p hili ni chaguo la juu. Hayo machaguo yanatofautiana katika ubora wa video na MB ama GB. Mm Huwa natumia chaguo la 360p maana linatumia MB chache na video yake iko poa tu japo huwez ilinganisha na hayo machaguo mawili. Aya wakuu mkichagua ubora mnao utaka bonyeza kwenye kile kitufe cha mplay subili izunguke Baadae itakuletea kidude cha kudownload.
6b89fa640f12f6f046a4c6e434998166.jpg
 
Wakuu natumai kufikia hapo nimefikisha kile nilicho jaariwa kufahamu Japo kwa uchache nisameheni kwa pale nilipo kosea hakika ya mm sijakamilika.

Wakuu Angalizo pale kwenye section ya Download (drama uitakayo) Episodes unaweza itumia lakin inakula MB ama GB nyingi sana. Nimewaelekeza hivyo maana tunatofautiana uwezo aigooooo.

Cc: Numbisa, EMPTY, Afande Nyati aminas na wengineo wote.

Aigooooo ngoja nilale Usiku mwema wapendwa.
 
Shukran sana mkuu,nikifanikiwa nitaleta mrejesho maana mwanzon nilikua naenda ile option ya download. Saivi nimeelewa asante. Be blessed

Ile option ya Download inakula sana MB aisee mm naiogopa balaa wala hata siigusi kabisa. OK shukrani sana kwa kushukuru Ubarikiwe pia.
 
Kilichonishinda kwenye ile option ya kudownload ni kipengele cha kujisajili sijui wapi vile ndo niipate video
Ile option ya Download inakula sana MB aisee mm naiogopa balaa wala hata siigusi kabisa. OK shukrani sana kwa kushukuru Ubarikiwe pia.
 
Wakuu natumai kufikia hapo nimefikisha kile nilicho jaariwa kufahamu Japo kwa uchache nisameheni kwa pale nilipo kosea hakika ya mm sijakamilika.

Wakuu Angalizo pale kwenye section ya Download (drama uitakayo) Episodes unaweza itumia lakin inakula MB ama GB nyingi sana. Nimewaelekeza hivyo maana tunatofautiana uwezo aigooooo.

Cc: Numbisa, EMPTY, Afande Nyati aminas na wengineo wote.

Aigooooo ngoja nilale Usiku mwema wapendwa.
Komawo And JAL JA Chingu.
 
Kilichonishinda kwenye ile option ya kudownload ni kipengele cha kujisajili sijui wapi vile ndo niipate video
Mkuu huko ulikwenda ambako siko, hebu jaribu kufuata mlolongo kama nilivyo elekeza hapo awali. Kila la kheri.
 
Wakuu leo nahitajia kuanza kuangalia Drama yenye jina la HATE TO LOVE YOU. Kama kuna mwenye amewahi kuicheki naomba anipe feedback ya Drama hiyo aisee. Ngoja nijiliwaze na hii Drama.
4ba9312766fb10ea8e1260cf4208526f.jpg
 
Shukran mkuu,nimefanikiwa kudownload movie dramafire zipo vizuri. Na uzuri inakuja episode nzima sio vipande vipande
Wakuu natumai kufikia hapo nimefikisha kile nilicho jaariwa kufahamu Japo kwa uchache nisameheni kwa pale nilipo kosea hakika ya mm sijakamilika.

Wakuu Angalizo pale kwenye section ya Download (drama uitakayo) Episodes unaweza itumia lakin inakula MB ama GB nyingi sana. Nimewaelekeza hivyo maana tunatofautiana uwezo aigooooo.

Cc: Numbisa, EMPTY, Afande Nyati aminas na wengineo wote.

Aigooooo ngoja nilale Usiku mwema wapendwa.
 
Wakuu mkifikia hatua hiyo hapo unakuwa uko karibu kudownload Drama yako uitakayo. Ukiwa kwenye hatua hiyo shuka chini utakutana na section mbili. Section ya kwanza imeandikwa Watch Jugglers Online na section ya pili imeandikwa Download Jugglers Episode. wakuu achaneni na hiyo section imeandikwa Download Jugglers Episode iendee Hiyo nyingine kama nilivyo ionyeshea kwa mstari wa pink.
dd02d4c31e63cbb446544cb4b6b55dfa.jpg
Screenshot_20180106-121231.png
mimi hapo nimekwama sioni kabisa hizo option.
 
Kati ya LEE HI NA TAEYON Damushin Nani Yupo Vizuri!?? Kwa unavyowasikiliza!
ninavutiwa zaidi na taeyeon, kiupande mwengine lee hi nimemsikiliza naye yupo vizuri sana na bado ni mdogo sana kiumri na kimuziki ukilinganisha na taeyeon na hapa nilipo naangalia nyimbo zake kwa ajili yako (usininukuu vibaya). thanks noona kwa kuniongezea list ya kpop singer.baadhi ya nyimbo zake nilizozisikiliza mpaka naandika comment hii muda huu
hold my hand,
rose
my love
star
fool
breath
its over
dream

ameniomba niushike mkono wake hivyo basi kwa uswahili wangu nimemkumbatia, sijui atachukua maamuzi gani ila hata kama atanipa adhabu ya kufagia chumba chake sitakataa.
aigoooooo lee hi sauti yake imenifanya nisamehe chakula muda huu, sitaki ujinga nitakula saa nne za usiku.
thanks tena noona naomba unitafutie muimbaji mwengine wa kpop.
taeyeon-23.jpg

lee-hi.jpg
 
Back
Top Bottom