DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
jang geun suk na han ye ri kwa pamoja wamethibitisha kushiriki kwenye drama inayokwenda kwa jina la "Switch – Change the World” ambayo itaonyeshwa kupitia kituo cha SBS.
han ye ri ataigiza uhusika wa Oh ha ra ambaye ni muendesha mashitaka na jang geun suk ataigiza uhusika wa mwanamme anayejighulisha na shughuli za utapeli baada ya kushindwa kufikia malengo ya kuwa muendesha mashitaka.
hii itakuwa ni drama yake ya kwanza kwa jang geun suk baada ya miaka miwili tokea ashiriki drama ya Jackpot.
huyu dada nilikuwa namuogopa kwenye six fly dragons upambanaji wake utafikiri kama namimi nilikuwepo kwenye ile drama, hahahahahahaaa lee bang ji na muhyul walikutana na balaaa,halafu ana sura halisi ya kikorea.