Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

kama kuna member yeyote aliyewahi kuangalia drama ya mwaka 2002 inayokwenda kwa jina la winter sonata namuomba anisifie, staring alikuwa bae yong joon na choi ji woo.inasemekana winter sonata ni miongoni mwa drama bora, nusu ya comment nilizosoma walioangalia drama hii walitokwa na machozi kutokana na hadithi ya kimapenzi hivyo basi nahitaji nijiandae na mapema, je napaswa niweke hakiba ya ndoo ngapi za machozi?
p1170779.jpg

feb74123f7ebfc4f80a8d1c1d0581a00.jpg

vile vile kama kuna member aliyewahi kuangalia drama ya autumn in my heart ya mwaka 2000 namuomba pia anisifie, staring alikuwa ni song seung hun, song hye kyo na won bin.
Autumn_in_My_Heart_Drama_00.jpg
 
Hiyo autumn in my heart nilipata kiherehere cha kupakua kwaajili ya bae na Mrs SJK ila nilijutia mb zangu...imechacha hatari (mtazamo wangu)
 
Hiyo autumn in my heart nilipata kiherehere cha kupakua kwaajili ya bae na Mrs SJK ila nilijutia mb zangu...imechacha hatari (mtazamo wangu)
Umeijutia kuitazama kwa sababu hadithi yake ni mbaya au kwa sababu ni ya zamani sana?
noona wewe ndiye wa kwanza kuona unaiponda hii drama
nimesoma comment kwenye tovuti ya asian wiki, youtube nilipokuwa naangalia ost mashabiki wote wameisifia.
ok nitasikiliza ushauri wako,
si unajua maarifa ya Khantwe ni bora zaidi kuliko maarifa ya wachangiaji wote wa asianwiki na youtube.
 
Mimi binafsi sijaipenda stori yake na hata wenyewe walioigiza wamepooza sana sio wale niliowazoea ila iangalie huwezi jua maana tunatofautiana
 
aigoooo hii kampeni ya me too nchini korea haitamuacha yeyote akiwa salama, naamini muda huu kuna baadhi ya celebrities wanatetemeka wakikumbuka matendo waliowahi kuyafanya kuliko wanavyotetemeka viongozi wa upinzani wenye tabia ya kuikosoa serikali.
kuna mtumiaji mmoja wa social network nchini korea amemtaja muigizaji sun woo jae duk ya kwamba aliwahi kumfanyia vitendo visivyo vya kiungwana wakati alipokuwa akifanya kazi kwenye drama ya crime and punishment ya mwaka 2003.
sun woo jae duk amekanusha habari hizo na amedhamiria kumfungulia mashitaka aliyevumisha taarifa hizo..
nikimkumbuka huyu mzee kwenye money flower alipambana sana na kang pil joo lakini nwisho wa siku alinyoosha mikono juu sasa sijui kwenye hii vita ngumu inayomkabili.
aminas noona popote ulipo na EMPTY dongsaeng baba yenu mdogo anadhalilika hivyo basi tumieni nguvu yenu mumshawishi harabuji amuokoe mtoto wake.
Sun-Woo-Jae-Duk.jpg
 
Sunbae,
Huogopi? Eehee ee mi simo.
 
Damushin Sunbae na EMPTY leo nimefikia mwisho wa drama ya The Immortal Yi Soon Shin drama inayoelezea maisha ya shujaa wa kikorea Admiral Yi Soon Shin. Mwanaume aliye pigana vita 23 bila kupoteza hata mara moja. Moja ya vita aliyo pata mafanikio makubwa na kuwaogopesha maadui ni Vita ya Myeongnyang. Alipigana akiwa na meli za kivita 13 pekee kati ya meli za kivita 133 na kufanikiwa kuziharibu meli za maadui zipatazo 32.

Licha ya mafanikio aliyo yapata Admiral Yi Soon Shin katika vita alizo pigana majini serikali yake ilikuwa haina imani naye ata mafanikio yake walio si kitu kabisa. Rafiki yake aliye kuwa katika serikali ndio alisimama na kumtetea pale walipo kuwa wakimpinga. Admiral Yi Soon Shin alifariki tarehe 16 mwezi Desemba mwaka 1598 baada ya kupigwa na risasi katika vita ya Noryang.

Mkuu UHURU JR sasa nitakuwa huru kutizama drama yako ya Misty soon nitaianza. Ila sito iangalia yote kama episodes 5 hiv kisha nahamia kwenye Drama ya Age Of
 
Wazee nataka kudownload kutoka kissassian.ch lakini kila ninapoweka option ya kudownload inanipeleka kwenye page mpya na inashindwa kupakua
 
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.

Tuambiane;

- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?

- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')

-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?

Pia:

- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?

- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?

- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?

- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)

*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!

Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!

=========

Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;

Be Strong Geum Soon

Princess Ja Myung Go

THREE DAYS (2014)

Swallow the Sun

Jumong

King Guenchoggo

=====

Links za ku-download drama za Kikorea;

- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net

======

Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread)
..

Kazi kwako.. Enjoy!
hivi kuna eng subtittle ya 'the iron empress'?
 
Back
Top Bottom