Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh te! Rejesha hela ya bando, chingu.Ila Ina Nini!???
Tuseme Ivi Kuna Stori Nyuma Ya Maisha ya Jin Yang Ambayo Hii Drama Aijatupa, Sababu ya Kumfanya Akaishi Nje Ya Palace na Peke yake Kwa Muda Mrefu.
Siku Zote Mama Huwa Amtumpi Mwanaye Hata iweje Na Inavyoonekana Kuna Sababu ya Queen Dowager Kutojishuhulisha Na Jin yang.
Na Kama Umeanza Angalia Tangu Mwanzo Hii drama Utaona Ni jinsi gani Whi Alimpenda kaka yake na Akaamua kuziba Maskio na Macho ili asitenganishe Undugu na Broo Wake.
Jin yang Alimuu kijakazi wa whi Makusudi Tuuh kutokan na Tamaa Yake Na Whi Akampotezea Akaja Kumpenda Binti Ambaye Whi alishaanza Kumpenda Apo ndipo whi Aliposhindwa Kuvumilia
Tukija kwa Siasa Whi Hakutaka Kabisaa kujihusisha Na Ayo Mambo Ila Dowager kukomboa Ufalme wao Ikabidi Amuungize Uko Ndipo kaka Mtu akaamua kuunda hila za kusudi Tuuh kutoa uhai Wa Ndugu yake.
Mpka Apo Jin yang Anaonewa au Tuuh Unamtetea eti.?
Bado upo Korea tu?njoo tuandamane bana huku.Hahahaa hii Waikiki we acha tu, kumbe nilikosa uhondo namna hii.!!! Hahahaa ngoja kwanza nije huko wanako toa MB kibao kisha nishushe mzigo wote
Tuko pamoja.Hehehe! Nilidhani mzee wa Subscene ni mimi tu.
Inatia moyo kuona siko peke yangu.
Uchambuzi mzuri, sunbae.![]()
- ukiiangalia hii stori ya grand prince inajaribu kutuonyesha matukio yaliowahi kutokezea kuanzia mtawala wa tatu wa joseon hadi mtawala wa saba wa joseon japokuwa wahusika wakuu wawili wa hii drama ni wa kinadharia na hawana ukweli wowote, kwa hili muandishi wa hii drama na timu nzima wanastahili pongezi na si dhihaka.
- kwangu mimi siiangalii hii drama kiupande mmoja tu wa kimaigizo bali pia naiangalia kwa kuangalia maisha yetu halisi tunayoishi ndio maana najikuta baadhi ya wakati nampenda zaidi jin yang kuliko eun seong.
- aminas noona akili yangu mimi inanifanya niamini ya kwamba kitendo cha kuzaliwa kwenye royal family basi katika maisha yako yote ufahamu ya kwamba umezaliwa kwa ajili ya kuwaongoza watu, kitendo cha kuzaliwa kwenye familia ya kitajiri pia unatakiwa ufahamu ya kwamba unatakiwa ujitofautishe na wale wa kipato cha chini, nimetumia neno kujitofautisha na si kujitenga na watu.
- prince eun seong anaumizwa sana na umasikini walionao wananchi wa joseon, anaumizwa sana na dhiki inayowakumba wananchi inayosababishwa na vita dhidi ya watu wa jurchen, lakini cha kushangaza bado hahitaji kuwa kiongozi ili aweze kutatua kero za wananchi na kuwafanya waishi wakiwa na amani na furaha kama anavyotaka yeye, ni sawa sawa na mtu aliyezaliwa katika familia ya mzee mengi, dewji, bakhressa halafu akawa anachukia wananchi wanavyoteseka na umasikini na kushindwa kupata mlo kamili kwa siku halafu akashindwa kuchukua hatua yoyote ya kuwasaidia wananchi angalau akatoa sadaka ya mali aliyokuwa nayo
- mimi siamini kama grand prince eun seong hahitaji kuwa kiongozi ila nahisi nafasi ya yeye kuwa kiongozi ni ngumu sana kwa sababu ili awe kiongozi inabidi waondoke madarakani kaka zake wawili pamoja na mpwa wake ndio maana anajifanya hahitaji kutawala.
- hivi unafikiri makongoro nyerere, fatma karume, ridhiwani kikwete, yussuf makamba, nape nauye na wengineo ambao ni royal family hawahitaji madaraka? kwa kuwa wote wanatokea kwenye royal family basi tufahamu ya kwamba wanalelewa ili waje watutawale, ni sawa sawa na mtoto wa kitajiri analelewa ili aje awatawale watoto wa kiamsikini na isiwe kinyume chake.ukizaliwa kwenye royal family kuna nguvu kubwa itakayojitokeza kukushawishi ili uwanie madaraka, na ndio maana ukiziangalia hizi drama za kikorea utagundua ya kwamba watoto wote wa familia za kifalme wanafunga ndoa na watu kutoka kwenye koo zenye nguvu na ushawishi ili iwe rahisi kwao wao kuingia madarakani na kuzuia vuguvugu la mapinduzi, ndio maana mfalme wang guhn wa goryeo alikuwa na wake zaidi ya 20 kutoka koo mbali mbali na wote alioa kwa ajili ya siasa.
- grand prince jin yang simuoni kama ni dikteta ila namchukulia kama ni mtu mgumu ambaye hupenda kuyatimiza yale aliyoyadhamiria kuyafanya, na hilo alilifanya kwenye episode ya 16 baada ya kukataa kuwatimizia ahadi wajurchen ya kuwapa eneo la ardhi aliowaahidi baada ya kutekeleza mission ya kumuua mdogo wake, kinyume na prince eun seong ambaye ndoto zake zote ni kuona anaishi maisha yake yote na msichana anayempenda kwa moyo wake wote bila ya kujishughulisha na mambo ya nchi.
- namfananisha jin yang na mfalme yi bang won ambaye alithubutu kuwaua ndugu zake wawili na viongozi wengine waandamizi kama jang do jeon (sambong) ili aweze kutimiza kila ambacho anakiona ni sahihi kwake japokuwa dunia inamchukulia kama ni katili na mshenzi aliyevuka mipaka.
- pia grand prince lee kang anafanana sana na simulizi ya mfalme sejo, mfalme sejo alikuwa na kaka yake anaitwa munjong ambaye ndiye mtoto mkubwa wa mfalme sejong, baada ya kifo chake aliacha madaraka kwa mtoto wake aliyekuwa na miaka 12 ambaye ni danjong aliyetawala kwa miaka mitatu, baadae sejo akawa waziri mkuu kama hadithi ya grand prince inavyotuonyesha ndipo baadae akamuondoa madarakani mpwa wake na kumpeleka mbali ya jumba la kifalme.
- moja kati ya sababu iliyomfanya sejo amuondoe madarakani danjong ni kama inavyoonekana kwenye drama ya grand prince ni kwamba kwa kuwa mfalme alikuwa ni mdogo aliendeshwa kama mdoli na baadhi ya familia,baadhi ya viongozi kama kim jongseo walitumia udhaifu wa mfalme danjong kwa ajili ya kushikilia nguvu kubwa ndani ya royal family
- moja kati ya sababu kubwa iliopelekea taifa la goryeo kuangushwa ni kwamba ukoo wa WANG ambao ndio royal family ulipoteza nguvu zake na kupelekea ukoo kuendeshwa na koo nyengine zenye nguvu.
- baadae kukajitokeza kikundi kilichotaka kumrudisha tena madarakani mfalme danjong ndipo sejo akagundua mpango huo na kuwaua wale wote waliokuwa nyuma ya mpango huo.
- namchukia jin yang kwa kitendo chake cha kutaka kuchukua kila kinachomuhusu ndugu yake na upande wa pili namchukia eun seong kwa kitendo chake cha kutokupenda siasa japo kuwa anafahamu dhiki kubwa sana zinazowakumba wananchi, hivyo basi kwenye hii drama hawa wote ni washindi ila mshindi zaidi ni jin yang licha ya kuwa amebeba tabia za yi bang won na sejo.
- baada ya mfalme sejo kuondoka madarakani mtoto wake ambaye ni yejong ndiye alitawazwa kuwa mtawala wa nane wa joseon lakini hakudumu muda mrefu madarakani kutokana na kifo kilichosababishwa na ugonjwa, na alipewa cheo cha crown prince baada ya kifo cha kaka yake Crown Prince Uigyeong wakati huo alikuwa na miaka 8, ngoja tuone hii drama itaishia kimuelekeo gani na kama itaangazia zaidi kihistoria basi jin yang hatapinduliwa.
- kama itakuwa nimetumia sentensi yenye kukera naomba radhi
![]()
Bado upo Korea tu?njoo tuandamane bana huku.
tatizo ni simu au tovuti zinasumbua, nimemaliza kuiangalia muda huu na ipo vizuri kwa wale wapenda sheria na ambaye hajaangalia series ya suits ya marekani, bila ya kusahau episode mbili za mwanzo super star wa korea kwa wakati huu lee yi kyung (jun ki) ameshiriki.Nataka Anza Angalia Suits Sema download Imekuwa Mtihani Kwangu Yaani.
tatizo ni simu au tovuti zinasumbua, nimemaliza kuiangalia muda huu na ipo vizuri kwa wale wapenda sheria na ambaye hajaangalia series ya suits ya marekani, bila ya kusahau episode mbili za mwanzo super star wa korea kwa wakati lee yi kyung (jun ki) ameshiriki.
omo omo omo baada ya kumaliza episode mbili za mwanzo nimejifunza maneno ya kisheria yafuatayo.
- pro bono : it is service that uses the specific skills of professionals to provide services to those who are unable to afford them.
- paralegal: A person qualified by education, training or work experience who is employed or retained by a lawyer, law office, corporation, governmental agency or other entity and who performs specifically delegated substantive legal work for which a lawyer is responsible.
- injection: an official order given by a law court, usually to stop someone from doing something
- status quo: generally refers to the existing state of affairs or circumstances.
![]()
Kwanini?Hizi za namna hii acha zipite kushoto
![]()
aminas noona bado unasherehekea ushindi wa simba mpaka muda huu?
una habari ya kwamba mfalme wa ballad songs mr park hyo shin amerudi tena kwa speed 4g siku ya leo.
amaeachia wimbo wake mpya unaoitwa the other day saa saba mchana kwa saa za afrika mashariki kama sijakosea na ilipofika saa tisa umeshika nafasi ya kwanza kwa chart zote za nchini korea.
nisiulizwe kwa saa za korea ilikuwa ni wakati gani.
acha niihifadhi kwenye pc yangu ya first generation.
You are my star
This song is for you.
To walk the road without a light
It's a long night,
I'm looking for meaning.
I'm running here with your arms wide open.
The eyes that kissed me,
I'm waiting for you
If it was me, I'd be back there someday.
If the sky I was looking at you was me
Be my star again
I hold my hand in my pocket
Laughing at my poor words
It seems like nothing happened at night
I'm calling.
I'm running here with your arms wide open.
The eyes that kissed me,
I'm waiting for you
If it was me, I'd be back there someday.
If the sky I was looking at you was me
I'll be your night.
One nice day to sing to you
Tovuti Ya Myasian Mara nyingi ndo naitumia Baada ya drmafire kufwa Na Huwa Natumia Uc Browser Sasa Sijuhi Zimezoeana Sana Najikuta Myasian Aifanyi kazi Ndani ya Uc tena Hasa kwa Kudownload Sa Naona Zinanipa Uvivu ata wa kuangalia tena drama.tatizo ni simu au tovuti zinasumbua, nimemaliza kuiangalia muda huu na ipo vizuri kwa wale wapenda sheria na ambaye hajaangalia series ya suits ya marekani, bila ya kusahau episode mbili za mwanzo super star wa korea kwa wakati huu lee yi kyung (jun ki) ameshiriki.
omo omo omo baada ya kumaliza episode mbili za mwanzo nimejifunza maneno ya kisheria yafuatayo.
- pro bono : it is service that uses the specific skills of professionals to provide services to those who are unable to afford them.
- paralegal: A person qualified by education, training or work experience who is employed or retained by a lawyer, law office, corporation, governmental agency or other entity and who performs specifically delegated substantive legal work for which a lawyer is responsible.
- injection: an official order given by a law court, usually to stop someone from doing something
- status quo: generally refers to the existing state of affairs or circumstances.
![]()
Four man naisubiri kwa hamu naona wanachelewa tu.![]()
heri ya kuzaliwa iwe kwako park hae jin
01/05/1983 hadi 01/05/2018 ni miaka 35.
aigooo umenipita kwa miaka 12 lakini mimi naonekana ni harabuji mbele yako.
hivi nyinyi wala tambi na kimchi munatumia uchawi gani?
drama
four man
man 2 man.
cheese in the trap
my love from another star
doctor stranger
east of eaden