Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe! TZ tukiwa na lawyers mfano wa hawa hakika itapendeza.![]()
Main Cast Kutoka Suits.
Naisubili ya Tano Apa Naona aifiki etiHehehe! TZ tukiwa na lawyers mfano wa hawa hakika itapendeza.
Nipo ep ya 4 nasonga.
Huyu atakuwa katika wale watu wasiojulikana.![]()
Atakayemtambua Uyu Nina Zawadi Yake.
ingependeza zaidi kama ungeliweka hadharani aina ya zawadi utakayompa mshindi,naogopa nisije nikazawadiwa zawadi ya nyoka aina ya koboko (black mamba).![]()
Atakayemtambua Uyu Nina Zawadi Yake.
Hahahahahahah,Utapata Zawadi Ya Ftari InshaAllahingependeza zaidi kama ungeliweka hadharani aina ya zawadi utakayompa mshindi,naogopa nisije nikazawadiwa zawadi ya nyoka aina ya koboko (black mamba).
natania tu.
hahahahaaaaa wiki nzima nimekuwa nikiifuatilia thread yenye kuzungumzia simulizi za nyoka huyu, huwezi amini kuna watu wanafahamu maisha ya nyoka utafikiri wanaishi nao nyumba moja, na cha kushangaza thread yake inakwenda kwa kasi ya 4G kuliko thread ya toa like pata likes.
aigoooooo ndio maana najikuta nashindwa kuacha kuitembelea JF kwa sababu nitajinyima mambo mengi sana kuyafahamu katika ulimwengu huu wenye raha na karaha.
Yoon Shi Yoon a.k.a grand prince hwi
![]()
inamaana dongsaeng ulishafahamu kitakachotokezea na bado ulishindwa kunitaarifu?Nilijua tu hakuna zawadi yeyote ndio maana nikapiga kimya.
Damushin sunbae, POLE!
hehehe! Muulize kwanza kama anajua kupika.inamaana dongsaeng ulishafahamu kitakachotokezea na bado ulishindwa kunitaarifu?
naisubiri ramadhani ifike nihudhurie futari itakayoandaliwa na iron lady.
gwenchanah gwenchanah
Suzy And Lee Seung Gi In Talks To Reunite Through Upcoming SBS Drama
kwa mujibu wa taarifa mwanadada bae suzy na lee seung gi wamepata offer ya kushiriki kwenye spy action drama inayokwenda kwa jina la vagabond itakayoonyeshwa na kituo cha sbs.
kama wawili hao watakubali kushiriki kwenye drama hiyo basi itakuwa ni mara ya pili kuongoza drama wakiwa pamoja. mnamo mwaka 2013 wawili hao walishiriki kwenye drama inayoitwa gu family book na kilichotokezea kimeendelea kubaki ni historia yenye kuvutia.
![]()
huyu the one sauti yake inaweza kumfanya black mamba apate usingizi wa ghafla.
mwanadada moon chae won amethibitisha kushiriki kwenye drama inayoitwa Tale of Gyeryong Fairy, ni drama ambayo hadithi yake inatokana na webtoon na inatazamiwa kuonyeshwa kwenye kituo cha tvN.Tale of Gyeryong Fairy
inazungumzia hadithi ya old fairy aliyeishi kuanzia utawala wa goryeo hadi joseon dynasty lakini katika maisha ya karne hii ya 21 anafanya kazi ya barista (mtoa huduma kwenye mghahawa unaouza kinywaji cha kahawa) na hatimaye baada ya miaka 699 anafanikiwa kukutana na wanaume wawili ambao anawafananisha na mume wake wa zamani ambaye amezaliwa katika nafsi mpya lakini cha kushangaza katika wanaume hao wawili hamjui ni yupi aliyekuwa mume wake.
![]()
Sun Ok-Nam ni mwanadada ambaye ni fairy ambaye ametoka mbinguni na kujikuta akiwa kwenye utawala wa goryeo.
siku moja aliamua kwenda kukoga kwenye maporomoko ya maji kwenye milima ya gyeryong,wakati akiendelea kukoga alitokezea mtafuta mbao na kuamua kuzichukua nguo zake na kuzificha jambo lilimpelekea ashindwe kuziona nguo zake na pia kupelekea kushindwa kurudi peponi alikotokea.
baadae akakubali kufunga ndoa na mtafuta mbao na kufanikiwa kupata watoto wawili lakini kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho mume wake akafariki dunia baada ya kuanguka kwenye maporomoko ya milima.
sun ok nam aliendelea kuhangaika kuzitafuta nguo zake lakini bado hakufanikiwa kuziona na pia aliendelea kusubiri karne na karne kurudi kwa mume wake japo kwa njia ya kuzaliwa upya (reincarneted).
NB:starring
moon chae woon = criminal mind, good doctor, innocent man.
yoon hyun min =tunnel, beautiful mind
seo ji hoon = prison play book, misty
hawa wakorea sasa wamezidi na hadithi zao za time travel lakini cha kufurahisha hazichoshi kuziangalia japokuwa unafahamu fika ni fixed.
- my love from the star
- legend of the blue sea
- black knight
- dr jin
- goblin
- ........................
hii drama ya good doctor joo won alijua kunifanya nidondoshe machozi kama namenya vitunguu vya maandalizi ya futari.
jamaa anajua kuigiza na ana sauti nzuri sana anapoimba.
uzuri wa drama ni kwamba hulazimiki kuzifuatilia zote kwa sababu hujibii mtihani wa form 4 wala form 6 kwa ajili ya uhakiki.Damn! Love Triangle zishaanza kunichosha. Sujui nichukue likizo?
Hehhehee!! Aigoooo.uzuri wa drama ni kwamba hulazimiki kuzifuatilia zote kwa sababu hujibii mtihani wa form 4 wala form 6 kwa ajili ya uhakiki.
unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako.
![]()
Sounds interesting! Japo sijibii mtihani ila nitaitazama.Yoon Shi Yoon May Star As Identical Twins In New SBS Drama
baada ya kumalizika drama ya grand prince hatimaye kwa mara nyengine tena muigizaji yoon shi yoon amepata ofa ya kuigiza kwenye drama inayoitwa DEAR JUDGE itakayoonyeshwa na kituo cha SBS.
ni drama inayozungumzia hadithi ya mapacha wawili wanaofanana kwa sura ambao ni Han Soo Ho na Han Kang Ho lakini wanatofautiana kitabia na mfumo mzima wa maisha wanayoishi.
Han Soo Ho ni judge anayeheshimika sana kwenye jamii na Han Kang Ho ni mtuhumiwa wa kihalifu na ni mwenye kurudia kufanya makosa mara kwa mara.
ghafla Han Soo Ho anapata dharura na kutokomea ghafla bila ya kujulikana wapi amekwenda na hatimaye mdogo wake ambaye ni mkorofi anamua kubeba uhusika wa han soo ho na kuigiza kama ni jaji.
![]()