Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Sounds interesting! Japo sijibii mtihani ila nitaitazama.
gwenchana gwenchanah
wewe endelea na tabia yako ya kupenda kusoma sana na halafu shule yenyewe unazosoma ni private.
dramabus secodary school
kissassian secondary school
dramanice secondary school
viki secondary school
dramafever secondary
maxresdefault.jpg

duh!
daebak shule zote ulizopitia ni private unapaswa ujiandae kujilipia mwenyeo chuo kikuu kwa sababu mwenye nchi ameshasema ni chizi pekee ndiye atakayeamua kumpa mkopo mwanafunzi aliyesoma shule ya private.
kazi kwako
 
nimesikia kwa kutumia picha hii unaweza kuombea mkopo hata kama umesoma private school?
miaka 13 iliopita
mdogo wao ndio mkubwa wao
21479739_1678125165533111_110388300254019584_n.jpg
 
Hehehehee!! Yajayo yanafurahisha.
acha tuendelee kuwa na matumaini kama alivyokuwa yeom moon kwa jung hwa agassi

Pray let her stay by my side
Even if I can't have her heart
Until she sees the tears in my heart
Pray, let her look back once
So she can see me by her side
whenever that may be Give me
the patience to wait
So that my longing for her doesn't become a sin
Pray let her know someday that
my love was anything but small Answer my prayer

log out
 
Nilijua tu hakuna zawadi yeyote ndio maana nikapiga kimya.
Damushin sunbae, POLE!
Yaani Wewe Muone Vile Nakuona Tuu Unavyoongea Nyuma Yangu Macho Yale Kama Yako!

Basi Nitatoa Zawadi Nyengine Tena Baada Ya Ramdhani Kuisha Ambayo Itakuwa Karibu IDD. Apo Je!
 
inamaana dongsaeng ulishafahamu kitakachotokezea na bado ulishindwa kunitaarifu?
naisubiri ramadhani ifike nihudhurie futari itakayoandaliwa na iron lady.
gwenchanah gwenchanah
Wala Usijari Zawadi Ipo Pale Pale We Karibu Tu InshaAllah Usimsikilize Uyo. Kwa Vile Tuu Ajapatia Swali Ndomna
 
Hahahahhahha, Itakuwa Tuu, Atusindikize Jmosi Tukachukue Ubingwa Singida Kule.
kama timu ina ukata wa fedha unafikiri dongsaeng atatoa pesa yake mfukoni?
njia pekee ya dongsaeng kwwenda kuangalia mpira ni kupakiwa kwenye magari bure kama wanachama wa vyama vya siasa.
anamsubiri harabeoji afariki arithi kampuni ili baadae ainunue yanga
gwenchanah gwenchanah
mian hae
EMPTY dongsaeng
natania tu.
Ctv6AbvVMAAOfpH.jpg
 
kama timu ina ukata wa fedha unafikiri dongsaeng atatoa pesa yake mfukoni?
njia pekee ya dongsaeng kwwenda kuangalia mpira ni kupakiwa kwenye magari bure kama wanachama wa vyama vya siasa.
anamsubiri harabeoji afariki arithi kampuni ili baadae ainunue yanga
gwenchanah gwenchanah
mian hae
EMPTY dongsaeng
natania tu.
Ctv6AbvVMAAOfpH.jpg
Hahahah Unauchokozi Naye Eti.

Wasubiri Tuuh Miaka Minne Si Tulikuwa Tunapiga Deki Bahari..Wavumilie Tuu
 
Suzy And Lee Seung Gi In Talks To Reunite Through Upcoming SBS Drama
kwa mujibu wa taarifa mwanadada bae suzy na lee seung gi wamepata offer ya kushiriki kwenye spy action drama inayokwenda kwa jina la vagabond itakayoonyeshwa na kituo cha sbs.
kama wawili hao watakubali kushiriki kwenye drama hiyo basi itakuwa ni mara ya pili kuongoza drama wakiwa pamoja. mnamo mwaka 2013 wawili hao walishiriki kwenye drama inayoitwa gu family book na kilichotokezea kimeendelea kubaki ni historia yenye kuvutia.
Suzy-Lee-Seung-Gi.jpg



huyu the one sauti yake inaweza kumfanya black mamba apate usingizi wa ghafla.

Wanawarudisha Tena Pamoja Oyoooooo Safiii
 
Jang-Dong-Geun-2.jpg

Nimejikuta Namkubari Uyu Kijana Sijajua Kwa Nini, Au Sababu Ya Role Yake Jinsi Anavyomshushua Yule Mfanyakazi Wake Au Ni kwa Jinsi Anavyojiamini, Ila Nimempenda namfikilia kumjazia kwa list Now Ni Mwendo Wa Wazee tuuh Maana Vijana Ni Foleni.
 
Jang-Dong-Geun-2.jpg

Nimejikuta Namkubari Uyu Kijana Sijajua Kwa Nini, Au Sababu Ya Role Yake Jinsi Anavyomshushua Yule Mfanyakazi Wake Au Ni kwa Jinsi Anavyojiamini, Ila Nimempenda namfikilia kumjazia kwa list Now Ni Mwendo Wa Wazee tuuh Maana Vijana Ni Foleni.
jang dong gun ni ahjussi na si kijana tena.
ana miaka 46.
jang-dong-gun-and-go-so-young.jpg
 
Back
Top Bottom