Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Unaanza Na Haya Maneno Yako Muone Vile ndo Nini Sasa!pindi utakapokuwa kwenye mateso na dhiki nitakuwa muokozi wako
pindi utakapokuwa na huzuni nitakuwa machozi yako
nyakati za usiku utakapoamua kutembea peke yako njiani, nitakuwa muangaza wako
utakapokuwa mpweke na mwenye mawazo yasio kwisha nitakuwa rafiki yako
nitakuwa kama mwanafamilia yako
nitakuwa zaidi ya rafiki kwako
nitakuwa kama wimbo kwako
nitakuwa sehemu ya furaha yako
bado nitazikumbuka siku tulizokuwa pamoja humu ndani
nakuomba usije ukanisahau rafiki
tafadhali
tafadhali
aigoooo bangi za mchana zenye mchanganyiko wa stress za mourinho na pogba.
upendo ndio jambo pekee linaloanza kwa kutokuelewana
good bye kwa muda mfupi my chingu
Kama Kweli Vile!!