Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

MBC Announces Daesang Nominees Of 2018 Drama Awards
  1. So Ji Sub = terius behind me drama (nilibahatika kuifuatilia)
  2. Kim Sun Ah = children of nobody drama (sijaiangalia)
  3. Shin Ha Kyun = less than evil drama (naendelea kuifuatilia)
  4. Lee Yoo Ri = hide and seek drama (sijaiangalia)
  5. Jung Jae Young = partners for justice drama (sijaiangalia)
  6. Chae Si Ra = good bye to good bye (sijaiangalia)
utoaji wa tunzo ni December 30.​
View attachment 973850
Hivi Hii Tunzo Umaanisha Nini!???
 
wewe ahjumma mtarajiwa unaleta utani muda huu?
unataka kuniambia ya kwamba umesahau kama kuna MBC drama awards kila mwaka?
MBC + SBS + KBS = mashirika ya umma.
nitanuna muda si mrefu kuanzia sasa.
Kweli Kabisaaaa Uninunieee! Lol! Usifanye Ivyo Utakuwa Ahjussi Mbaya.

Nimesema Sielewi Izo Tunzo za Daesang Zinamaanisha Nini Ahjussi.

Ila Izo Tunzo Za Mwisho Wa Mwaka Nazijua Mbona.
 
Hii kitu naona tu mnaipa promo sana humu ndani. Ngoja nivute mzigo nione kuna kipi kigeni humo ndani.
Last Empress Inazidi Kuvunja Rekodi Tu

Inastahili Kiukweli.

Wakorea Kona Nyengine Nayoipenda Ni Jinsi Wanavyowatrain Hawa Waigizaji Watoto.
Princess Ari Ni Chuma Chengine.
 
Yani napenda ongoing lakin sasa nlikaa two weeks sasa nikaanza kutizama comments kuanzia ilipoishia where stars land wamenikatisha moyo mweh... Naombeni zingine nishiharibu bundle. Nimemaliza bad Papa [emoji24]
ninazozifuatilia kila wiki
  1. sky castle :ndio drama yangu bora kwa sasa.
  2. less than evil: kama unapenda criminal basi itakufaa
  3. the last empress
  4. a pledge to god (the promise to the god): naingalia kwa sababu ya bae soo bin sunbaenim na han chae young noona.
  5. encounter
  6. top star yoo baek : ninapokuwa na hasira huvuta episode 1 ili nicheke kama kichaaa.
  7. memories of alhambra : kuanzia episode 7 huenda ikachangamka zaidi kwa sababu wanarudi korea baada ya kukaa spain kwa episode takribani 6.
  8. fates and furies
 
Back
Top Bottom