DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
Excellence Awards for Serial Dramas
Lee Kyu Han na Park Joon Geum ndio washindi wa tunzo hii.
Park Joon Geum ahjumma ameanza kuigiza tokea alipokuwa na miaka 21 na mpaka sasa amefikisha miaka 31 akiwa kwenye sekta ya uigizaji. Ameishukuru crew nzima ya My Healing Love pamoja na watu wake wote wa karibu.
Lee Kyu Han ametimiza miaka 20 kwenye sekta ya uigizaji na mwaka huu ndio mara yake ya kwanza kushinda tunzo ya uigizaji.
hongera kwao.