Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

KBS
Short Series Awards kwa upande wa wanaume wameshinda Jang Dong Yoon na Yoon Park
1546262536395.png

kwa upande wa wanawake ameshinda Lee Seol ambaye jana pia alishinda tunzo kupitia MBC drama awards.
1546262950112.png
 
SBS DRAMA AWARDS
The Last Empress" couple Jang Na Ra na Choi Jin Hyuk a.k.a mchumba wa 5 wa mwanadada Khantwe ndio watakaomtangaza mshindi wa tunzo ya Best Couple.
1546263223688.png

Kam Woo Sung ahjussi na Kim Sun Ah ahjumma ndio washindi wa tunzo ya best couple kupitia drama inayoitwa should we kiss first?
1546263249210.png
 
SBS DRAMA AWARDS
The Last Empress" couple Jang Na Ra na Choi Jin Hyuk a.k.a mchumba wa 5 wa mwanadada Khantwe ndio watakaomtangaza mshindi wa tunzo ya Best Couple.
View attachment 982051
Kam Woo Sung ahjussi na Kim Sun Ah ahjumma ndio washindi wa tunzo ya best couple kupitia drama inayoitwa should we kiss first?
View attachment 982052
Nikajua Wale Wajuu Ndo Wameshinda Ila Awajawa Pamoja Bado..

Mwaka Wa Ma Ahjumma Na Ahjussi Tu Huu

Eeeh Hongera Zao
 
KBS
Excellence Award for Daily Drama
kwa wanaume washindi ni Kang Eun Tak (Mysterious Personal Shopper) na Park Yoon Jae (It's My Life)
1546263485696.png

wakorea speech zao hazibadiliki, wazee wa short speech au pengine aibu?
umkute mswahili anapokea tunzo usishangae akamtaja mpaka hawara wake.
 
Nikajua Wale Wajuu Ndo Wameshinda Ila Awajawa Pamoja Bado..

Mwaka Wa Ma Ahjumma Na Ahjussi Tu Huu

Eeeh Hongera Zao
amenifurahisha huyo ahjussi, aliposema mara ya mwisho aliposhinda tunzo ya best couple ni mwaka 2005 kwenye movie inayoitwa the king and the clown akiwa pamoja na lee joon gi.
kumbe jinsia moja munaweza kushinda best couple?
1546263868327.png
 
KBS
Female Excellence Award in Serial Drama Award ameshinda mwanamama Ha Hee Ra ambaye ni mke halali wa choi soo jung ahjussi.
choi soo jong ndiye muigizaji wa kiume anayeshikilia rekodi ya kubeba tunzo tatu za KBS daesang
1546264303012.png

  1. emperor wang gun = 2002
  2. emperor of the sea = 2004
  3. king dae jo young = 2006
1546264176439.png
enzi zileeeeeee za wahenga, ayo mavazi ya maharusi mhhhhhhhhh
1546264354556.png
 
KBS
Female Excellence Award in Serial Drama Award ameshinda mwanamama Ha Hee Ra ambaye ni mke halali wa choi soo jung ahjussi.
choi soo jong ndiye muigizaji wa kiume anayeshikilia rekodi ya kubeba tunzo tatu za KBS daesang
View attachment 982073
  1. emperor wang gun = 2002
  2. emperor of the sea = 2004
  3. king dae jo young = 2006
enzi zileeeeeee za wahenga, ayo mavazi ya maharusi mhhhhhhhhh
Kawa Mzee Sana Duuh!
 
Shera la Namna Yake Maua kaa Yote.
 
KBS
Male Excellence Award in Long Drama nominees
washindi ni Lee Sang Woo (Marry Me Now) na Lee Jang Woo (My Only One).
huyu Lee Jang Woo ndio project yake ya kwanza tokea arudi jeshini na inafanya vizuri sana kwa sasa.
My Only One inakimbiza mpaka kwenye tunzo.
1546264612592.png

1546264648471.png
 
Kawa Mzee Sana Duuh!
kazaliwa mwaka mmoja baada ya tanganyika kupata uhuru, mke wake amezaliwa 1969.
wamefunga ndoa 1993.
unapotaja couple yenye kuheshimika nchini korea basi lazima uwataje hao watu.
unapotaja husband role model basi lazima umtaje choi soo jong.
jamaa maisha yake mpaka leo anafanya kazi za ndani.
 
SBS
Best Child Actor ameshinda Park Si Eun, hivi neno actor linasimama kwa jinsia zote mbili?
hongera kwake bi mdogo
1546265214321.png
 
KBS awards
The Netizen Award winners washindi ni Kim Myung Min kupitia The Miracle We Met na Park Hyung Sik kupitia SUIT
1546265810485.png
 
Attachments

  • 1546265638516.png
    1546265638516.png
    92.3 KB · Views: 22
SBS DRAMA
Excellence in Acting (Daily and Weekend Drama) ameshinda Jung Woong In kupitia Ms. Ma, Revenge
1546265767508.png
 
Back
Top Bottom