Aigooooo, mbona like nilikupa?
Sikuweza kujibu wakati ule maana ningejibu nini? Umenipa suggestions ilibidi niangalie kwanza ndio nije na feedback kama hivi.
Nilianza kuangalia ile ya yule Dr kupitia link ya drama cool uliyoiweka mwishoni mwa ile post ila ilikuwa balaa, nimekutana na matangazo ya ajabu sipati kusema.
Nikaachia kwenye ep ya 3.
Baadae nikaanza Yi San na Jing Bi Rock kwa pamoja, Jing Bi Rock ikanivutia zaidi ndio naimalizia kisha nikaendelee na Yi San ambayo ni ndefuuuu! Uwiiiiiiii ep 70 sijui nitamaliza nini.
Kilichonifurahisha kwa Yi San imekuwa directed na director ninayemkubali aliyedirect drama zangu pendwa The Great Jang Geum na Dong Yi.
Site za kuangalia hizi mambo zetu kwangu zinamata sana, kama sio Kiss Assian siwezi kabisa, napata taabu mnooo.
Hurray KissAsian [emoji119][emoji2535][emoji119][emoji2535][emoji1787][emoji1787]
Hivi huyu King Seonjo ambaye nimemsoma kama the best king huko Korea mbona kwenye hii drama naona tofauti? King gani hapambani yuko busy kuflee kila uchwao?
Seriously ananikera mnooo!
Au atabadilika baadae nini? Maana niko ep ya 29
Sent from my iPhone using Tapatalk