Police Reportedly Collect Evidence Of Park Yoochun’s Alleged Drug Use + Ban Him From Leaving The Country
dah! ukisikia utajiri wa mikosi na umasikini wa bahati unaotokana na matendo yako ndio huu unaomkumba
park yoo chun (actor na muimbaji).
huyu bwana siku za nyuma alijikuta akifikishwa kwa pilato kwa kosa la kuwafanyia vitendo vya kinyanyasaji wasichana lakini baada ya vita ya muda mrefu hatimaye mahakama ikatoa maamuzi ya kutokuwa na hatia kwa park yoo chun huku baadhi ya walalamikaji wakihukumiwa kifungo gerezani kwa madai ya uongo.
ishu iko hivi jamaa alikuwa na mahusiano na mwanadada anayeitwa
hwang ha na ambaye hivi karibuni alikutwa na hatia ya kutumia madawa aina ya Philopon (a form of methamphetamine) tokea mwaka 2015.
binti baada ya kufanyiwa mahojiano kituo cha polisi akadai ya kwamba rafiki yake wa karibu wa kiume ndiye aliyemshawishi na kumtishia kutumia dawa hizo za philopon., namnukuu bidada
hwang ha na
I wanted to stop using Philopon, but I continued to do so because ‘A’ pressured me into it .
ndipo polisi wakaanza kumtafuta huyo mr A ndio nani?
mnamo April 10 muheshimiwa
park yoo chun akafanya mkutano na waandishi wa habari kwa dhumuni la kukanusha madai ya aliyekuwa mchumba wake ya kwamba yeye ndio chanzo cha mwanadada kutumia madawa, alizungumza mambo mengi sana ya kujitetea na nakumbuka niliweka taarifa yake kwa muda lakini ilikuwa kwa lugha ya kiingereza.
baadhi ya maneno aliyoyazungumza bwana park
I have never used drugs let alone suggest it. I criticize myself every day as I endure pain and work hard to be able to act again and have activities. Therefore, I cannot even imagine that I would think of using drugs, which would make all of my efforts come to nothing. I will earnestly go to the police station and be investigated.”
sasa leo jeshi la polisi limefanikiwa kugundua ushahidi wenye kuonyesha jamaa alitumia madawa ambayo binafsi amekataa hajawahi kuyatumia na wameamua kuwasilisha ofisi ya muendesha mashtaka ushahidi huo ili kuzidi kufanya uchunguzi hii ni kwa mujibu wa MBC kupitia kipindi cha
Newsdesk.
kwa mujibu wa shirika la SBS ni kwamba leo hii polisi pia wameamua kumpiga marufuku park yoo chun asitoke nje ya nchi.
3 days
rooftop prince
i miss you
the girl who see smell
sungkyunwan scandal
miss ripley
wenzangu mumeona drama ngapi za jamaa kati ya hizo hapo juu?
binafsi nimeona
3 days drama si mnajua hatujibii mitihani hizi drama
View attachment 1069833