Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,501
- 4,226
Full episode nazipataje?Karibu sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Full episode nazipataje?Karibu sana!
Full Episodes. Pitia 'Link' hapo chini!Full episode nazipataje?
What Happens To My Family?Nzur sana sasa hivi nafatilia What's happen to my family?
Asante sanaFull Episodes. Pitia 'Link' hapo chini!
View attachment 1171364
![]()
Watch full episode of The Flower in Prison | Korean Drama | Dramacool
Watch full episode of The Flower in Prison Korean drama | Dramacoolwww2.dramacool.video
Ooh kama sina sasa
uyo bwana haji manara bin wivu kwa mashabiki wa yanga lia lia ndiye aliyekufanya ujipotezeshe kwangu namna hiyo?Ahsante Chinguya..
Uko Poa!?
😣😣.uyo bwana haji manara bin wivu kwa mashabiki wa yanga lia lia ndiye aliyekufanya ujipotezeshe kwangu namna hiyo?
tafadhali usiniambie ya kwamba mimi ndiye niliyeanza kukufukuza ndipo ukaamua utafute mwengine wa kukupozea machungu.
omo omo omo, utanifanya nijinyonge nikiwa mtupu kama nilivyozaliwa kwenye mkarafuu uliojaa siafu bichwa aina ya Maricopa harvester ant kwa kuipoteza nafasi adhimu ya kuwa na mahusiano ya kirafiki lakini na beautifully ahjummaa from kolomijee wanakotokea wasafi watupu wasiovaa nguo zenye kutoa harufu mbaya siku ya mkutano wa SADC.
nimekumisi mjinga wewe mpaka nimejikuta nayakumbuka mashairi ya gwiji wa muziki wa taarabu asilia marehemu maulid machaprala, Mungu amlaze pema peponi kupitia wimbo wake unaoitwa wacha waseme aliouimba kupitia kikundi cha Ikhwani Safaa Musical Club .
wacha waseme sina budi nawe , sikhofu lawama sababu ya wewe
ungekuwa nyoka niradhi uniuwe , seuze ndege tausi wache walalame
ungekua nyoka(haijalishi black mamba), sumu yako dawa, damu husafika maradhi hupoa,
uzuri hakika wewe umepewa , siwezi kwepuka liwe litokuwa
nimefunga nia katu sibadili, hapana khatia (makosa) kupenda jamani
hiyo ni tabia, pasiwe na suali, nimeridhia na nimekubali
jumamosi njema jamani najihisi kama nimetoka kifungoni baada ya takribani wiki mbili za kibabe.
daresalama vipi sisi wengine tunaovaa nguo siku 7 kama mama aliyejifungua tunaweza kuja huko?
utofauti mkubwa niliouona kupitia hiyo drama ya emperor wang guhn kati ya waigizaji wakuu ni kwamba bwana wang guhn alizungukwa zaidi na wanadamu ambao walikuwa na fikra hai zilizomfanya wang guhn afanikishe malengo yake kwa urahisi zaidi,Hahaha Drama ya Jeong Do Jeon na Great King Sejong
zilikuwa zinaendana na maandiko ya kihistoria.
Mh! Wacha niendelee na Wang Guhn.
upo sahihi gharama za mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii bila ya kukata tamaa haijalishi umefanikiwa au kinyume chake.😣😣.
Yaani Najihisi Hata Kutoa Chozi!
Thanks Chinguya Wangu, Nimekumisi Nami Sana Sana Tu......Mambo Tu Ya Dunia Yakiwa Mengi na Magumu Inabidi Ugande Kwa Muda.
Ila Una Maneno Sana....
Shuklani Sana.
hapana, hapana, hapana sina uhusiano wowote na ID ya franc the great.Halaf unajua nini mkuu
Wewe na Daemusin ni mtu mmoja ID mbili tofauti
Ni mawazo yangu tu wala usimind
Ndomana Hua Unaipiga Vita Simba Kumbe We Yanga Hongera Na Jezi Zenu Nzuri Sana.upo sahihi gharama za mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii bila ya kukata tamaa haijalishi umefanikiwa au kinyume chake.
endelea kupambana mpaka uifikie njia inayoitwa mafanikio uliojiwekea kuipita siku za mbeleni ukiwa na usafiri wa gharama zaidi ya lamborghini.
hivi nimemzidi haji manara kwa maneno ya ovyo dhidi ya timu inayopendwa na baba yangu kipenzi yanga afrikans.
nashabikia mtibwa sugar tokea nyakati za mshambuliaji machachari abdalla jumaNdomana Hua Unaipiga Vita Simba Kumbe We Yanga Hongera Na Jezi Zenu Nzuri Sana.
Ndio Maneno yako yanafanana Nayake.
Muongo! We Mshabiki wa Yanga Ndomna Vijembe Vyako Hua Vingi! Nalipia Bot na Pakulala J4 Njoo Ukione Kikosi Cha Dunia.nashabikia mtibwa sugar tokea nyakati za mshambuliaji machachari abdalla juma
hahahahahaaaaaaaaa nialike siku watakayokuja TP MAZEMBEMuongo! We Mshabiki wa Yanga Ndomna Vijembe Vyako Hua Vingi! Nalipia Bot na Pakulala J4 Njoo Ukione Kikosi Cha Dunia.
Katika drama nilijutia kupoteza bundle langu basi ni hiiGu family book nzuri sana hutajutia kupoteza muda wako