Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Duh niliipenda hii
Katika drama nilijutia kupoteza bundle langu basi ni hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika drama nilijutia kupoteza bundle langu basi ni hii
Tuanze na ya J4 kwanza!hahahahahaaaaaaaaa nialike siku watakayokuja TP MAZEMBE
siku ya J4 haitowezekana, nialike siku mutakayocheza na yangaTuanze na ya J4 kwanza!
InshaAllah.siku ya J4 haitowezekana, nialike siku mutakayocheza na yanga
sipendi kuulizwa maswali ya kijinga jinga hivyo basi haitowezekana kuja naye uwanjani.InshaAllah.
Uje Nae.
Kirahisi Ivyo! Kwani ndo inavyokua!?sipendi kuulizwa maswali ya kijinga jinga hivyo basi haitowezekana kuja naye uwanjani.
yeye: hivi hao waliovaa nguo nyekundu ndio nani?
mimi : simba sports club
yeye : imewezekana vipi simba akawa mwanadamu
mimi: shika adabu yako
yeye: naomba tuachane
mimi:chukua boti uondoke
yes waume wengine kuvunja mahusiano ni rahisi zaidi kuliko kumchinja kuku.Kirahisi Ivyo! Kwani ndo inavyokua!?
Hmmm!! ndo ufanyavyo..yes waume wengine kuvunja mahusiano ni rahisi zaidi kuliko kumchinja kuku.
si unamuona asali ya warembo anavyotembeza kipigo kila anapokwenda kama stering wa kihindiHmmm!! ndo ufanyavyo..
Katika drama nilijutia kupoteza bundle langu basi ni hii
Gu Family Book kiukweli inategemea na mtazamo wa mtu binafsi kama vile usemavyo ule usemi wa "Beauty is in the eye of the beholder" kwa maana ya kwamba kila mtazamaji anaweza ama asiweze kuuona uzuri wa hiyo Drama machoni pake.Duh niliipenda hii
Umefanya analysis nzuriGu Family Book kiukweli inategemea na mtazamo wa mtu binafsi kama vile usemavyo ule usemi wa "Beauty is in the eye of the beholder" kwa maana ya kwamba kila mtazamaji anaweza ama asiweze kuuona uzuri wa hiyo Drama machoni pake.
Ila kwa upande wangu nili-Experience hali zote; Kuichukia na pia kuipenda.
Nadhani wengi wasiyoipenda ni pengine kwa sababu ya maudhui yake ya kutisha na kukosa uhalisia. Yaani uongo uongo mwingi kama uchaguzi wa nchi fulani hivi (jina silitaji).
Na wanaoipenda, nafikiri ni kutokana na washiriki katika Drama hiyo, kuanzia Lee Sung-gi mwenyewe na pia mwanadada Bae Suzy. Hiyo Chemistry haikuwa mbaya na mashabiki wao waliipenda kwa namna jinsi walivyoweza kuuvaa uhusika.
Kwa upande wangu naipa 5/10
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂eti sura mbayahapana, hapana, hapana sina uhusiano wowote na ID ya franc the great.
siku utakayofanikiwa kuiona ID ya roy kim humu ndani au pengine popote basi ndio utakuwa umeiona sura nyengine mbaya ya daemusin iliojaa chunusi na vipele vingi kama mkate wa ufuta.
Shikamoo Master.utofauti mkubwa niliouona kupitia hiyo drama ya emperor wang guhn kati ya waigizaji wakuu ni kwamba bwana wang guhn alizungukwa zaidi na wanadamu ambao walikuwa na fikra hai zilizomfanya wang guhn afanikishe malengo yake kwa urahisi zaidi,
jaribu kufikiria takribani asilimia kubwa ya magwiji wa elimu tofauti walikuwa upande wa bwana wang guhn ukimlinganisha na mfalme kyuhyun.
choi ung = aliingia serikalini akiwa na miaka 14 ya kuzaliwa nyakati za utawala wa gong yae, alikuwa ni zaidi ya genius aliyefanikiwa kusoma machapisho mbali mbali ya kielimu akiwa na umri mdogo sana, alikuwa ni nguzo kubwa sana ya fikra na ushauri kwa bwana gong yae hadi kwa bwana wang guhn. Choi ung alifariki akiwa na miaka 35 na kifo chake kilimwachia maumivu makubwa sana bwana wang guhn kwa sababu aliondokewa na kipenzi chake haliyakuwa bado hawajafanikisha ndoto yao ya kuziunganisha three kingdom.
choi jimong = huyu bwana mdogo nayeye alikuwa ni zaidi ya genius kwenye elimu ya nyota hadi nimebaki najiuliza hivi wanadamu kama hawa wapo kweli nyakati hizi au wamebaki wale wale jamii ya sheikh yahya husseni.
hakuna ndoto hata moja au utabiri aliowahi kuufanyia tafsiri ikawa kinyume chake, kuna vita fulani kuanzia episode za 150 alimtabiria bwana wang guhn atakutana na dhoruba kali sana hatimaye ikawa ni kweli ndipo wang guhn akaanza kuufanyia kazi ushauri wake,
kuna vita nyengine bwana wang guhn alipigwa na jeshi la baekje pona yake aliamua kutafuta nguo za wanajeshi wa baekje ili apate kukimbia na hatimaye mavazi yake ya kifalme akavalishwa rafiki yake wa karibu waliekula pamoja kiapo cha undugu (jina namuhifadhi kwa sasa).
kilichotokezea wanajeshi wa baekje wakamkata hyung nim wakidhani kuwa ndiye wang guhn, hasira zake bwana kyuhyun aliamua kumkata kichwa hadharani kwa hasira na kuitupa maiti yake.
bwana wang guhn alipofanikiwa kuiona maiti ya ndugu yake aliporudi mji mkuu alitoa amri ya kuchinjwa kila mwananchi mwenye asili ya makabila yaliovunja uaminifu kwake pamoja na koo zinazotokea taifa la baekje.
tukio hilo ndio pekee lililorikodiwa kwenye vitabu vya kihistoria katika tawala yake kuwa ni tukio la mauaji ya kinyama kulifanya bwana wang guhn
bila ya kumsahau millitary advisor bwana tae pil nayeye pia alikuwa ni zaidi ya genius, kuna vita fulani nayo pia ilirekodiwa kwenye vitabu vya kihistoria inasemekana jamaa alitabiri ndani ya siku saba zijazo upepo utabadili muelekeo baharini hivyo basi goryeo wasianzishe kampeni ya vita kwa siku saba mfululizo kufnaya hivyo wataipa faida baekje kwa sababu upepo kwa siku saba hizi kwa jinsi unavyovuma kimuelekeo itakuwa ni faida kubwa sana kwa baekje endapo watakaposhambuliwa.
ebwana weee alipofariki tae pil bwana wang guhn alimwaga chozi kuliko bwana yule lia lia anayekimbilia kanisani kuombewa baada ya kuanzisha vita asiyokuwa na uwezo wa kushinda
Huyu Mshikaji wako mara ya kwanza nilimuona kwenye Time Between Dog and Wolf, Princess Jamyunggo na Heartless City.Jung Kyung Ho In Talks For New Medical Drama By “Reply” Series PD Shin Won Ho
On August 2, a source from tvN stated, “There were conversations about Jung Kyung Ho appearing in ‘Doctor Playbook,’ but at the moment he is focusing on another project so it’s hard to say that he’s confirmed [for the drama].”
Doctor Playbook,” which is set to be directed by “Reply” series and “Prison Playbook” PD Shin Won Ho, is a humanistic medical drama that tells the stories of doctors and patients in an emergency room. The drama will reportedly feature four male leads and one female lead, and currently Jo Jung Suk and Yoo Yeon Suk are also in talks to star.
Jung Kyung Ho starred in tvN’s “Prison Playbook” in 2017, and is currently appearing in tvN’s Wednesday-Thursday drama “When the Devil Calls Your Name.”
View attachment 1171648
Time between Dog and wolf. Drama bora kabisa ya wakati wote...sijasema kuliko zote maana Daemusin ataanza kunipopoaHuyu Mshikaji wako mara ya kwanza nilimuona kwenye Time Between Dog and Wolf, Princess Jamyunggo na Heartless City.
Yupo Vizuri kinoma.
Bila shaka ni drama nzuri. Drama za mjini za kipindi kile zilikuwa hazichoshi kama za siku hizi.Time between Dog and wolf. Drama bora kabisa ya wakati wote...sijasema kuliko zote maana Daemusin ataanza kunipopoa
Hahaha eti timu ya kurithishwa[emoji23][emoji23]Bila shaka ni drama nzuri. Drama za mjini za kipindi kile zilikuwa hazichoshi kama za siku hizi.
Achana nae huyo Daemushin anashabikia timu za kurithishwa( Thimba na Yanga) toka kwa babu yake.
Ila bwana hii title sikuielewa kabisa naomba unifafanulie kama hutojaliBila shaka ni drama nzuri. Drama za mjini za kipindi kile zilikuwa hazichoshi kama za siku hizi.
Achana nae huyo Daemushin anashabikia timu za kurithishwa( Thimba na Yanga) toka kwa babu yake.
Loo! Sasa hivi Network imekuwa shughuli kidogo ni mwendo 2G hata kuingia humu ndani ni vigumu.Ila bwana hii title sikuielewa kabisa naomba unifafanulie kama hutojali