Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Hiyo mimi sijawahi kuiona mdogo wanguJang Youngsul nataman nipate iliyotafisiriwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo mimi sijawahi kuiona mdogo wanguJang Youngsul nataman nipate iliyotafisiriwa
Hiyo mimi sijawahi kuiona mdogo wangu
Nikikumbuka sehemu hiyo dah ilinichekesha sana[emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka eti Misaeng ana watoto wengine hawajui hata majina yao
Kwa kuwa ni wewe mkuu umeongea hivyo wacha niendelee kuiangaliaHiyo Empress Ki ni moja ya Drama nzuri sana. Nimei-Recommend kwa watu wengi tu na wameipenda sana. Nakushauri, iendeleze mpaka mwisho mkuu.
Huyo Tangqishi pamoja na ndunguze bila kusahau dada yake wote ni ma 'kauzu' na baba yao ndiyo usiseme. Ila hawakujua kuwa kuna 'kauzu' zaidi yao.
Nimedokeza tu kidogo, ila hiyo Drama imesheheni vitu vingi sana vyenye kila aina ya burudani ndani yake.
Itakuwa queen seondeokNikikumbuka sehemu hiyo dah ilinichekesha sana
Alinikosha alipocheza kwenye " King Gwanggaeto The Great Conqueror " alikuwa anaitwa Teoli Pisu alikuwa anapiga mawe huyo!Huko kwenye Empress Ki kuna jamaa mmoja anachukiwa sana na Sung nyang anajulikana kama Tangqishi.
Huyo jamaa aliyecheza hiyo nafasi alikuwepo pia katika Queen Seon Deok. Alikuwa "mwoga mwoga" ila huko kwenye Empress Ki anajifanya 'kauzu' zaidi ya dagaa. Hahaha! Msalimie sana.
Queen Seondeok pia mfalme alikuwa kilaza sana
Hahaha! Misaeng alikuwa na 'vituko' sana. Mara awacheke wenzake kwamba hawajui kuendesha farasi wakati hata yeye mwenyewe hajui.
Ile siku alitia fora sana, familia nzima ilimshangaa na kumcheka.
[emoji23][emoji23][emoji23] Muno alikuwa kiboko yao ila tu aliniudhi alivyokuwa anamtreat Bidam[emoji23][emoji23] Kina Mishil Dawa yao ilikuwa Gukson Munno. Walikuwa wanamuogopa, na aliwashinda tabia.
YapItakuwa queen seondeok
Nilikuwa nampenda sana na yule mwanafunzi wake mtoto wa Mishil[emoji23][emoji23] Kina Mishil Dawa yao ilikuwa Gukson Munno. Walikuwa wanamuogopa, na aliwashinda tabia.
pia hapa https://www.dramacool9.co/ pasi na shaka utazipata.habari waheshimiwa Mimi natumia simu kudownload series za kikorea na tumia app ya dramania ila siku hizi haukubal kudownload episodes tatizo ni nini et?
Munno aliwekeza vitu vingi sana kwa Bidam ili baadaye aje awe Mfalme kwa kumuoa Deokman ili kuutimiza ule 'utabiri' wa kuanguka kwa Mishil pamoja na mpango wa kuyaunganisha mataifa matatu.[emoji23][emoji23][emoji23] Muno alikuwa kiboko yao ila tu aliniudhi alivyokuwa anamtreat Bidam
Ni Bidam huyo.Nilikuwa nampenda sana na yule mwanafunzi wake mtoto wa Mishil
Yap huyo huyo mkuuNi Bidam huyo.
Ni kazi nzuri sana walifanya hasa kusimama katika nafasi zao na kuubeba uhusika vilivyo ili kuhakikisha kazi inakuwa bora sana machoni pa watazamaji (yaani sisi).Kwenye drama ya Queen Seondeok majembe wangu walikuwa no hawa hapa
View attachment 1178006View attachment 1178007View attachment 1178008View attachment 1178009
Ama kweli kwangu mimi hata chronicles haingii kwa hapaNi kazi nzuri sana walifanya hasa kusimama katika nafasi zao na kuubeba uhusika vilivyo ili kuhakikisha kazi inakuwa bora sana machoni pa watazamaji (yaani sisi).
Bila kuwasahau pia walioigiza katika Characters wengine kama vile;
Na wengine wengi waliohusika bila kusahau Character kubwa kabisa iliyobeba Drama na Storyline kwa ujumla, Deokman kuanzia utoto hadi 'utu uzima'.
- Misaeng
- Mishil (Seju)
- Jukbang (The Mighty)
- Godo
- Alcheon
- Kim Seohyeon (Baba yake Kim Yusin)
- Sejong
- Princess Cheonmyeong
- Hajong
- Bojong
Bidam naye alikuwa Jangiri[emoji23][emoji23][emoji23] Muno alikuwa kiboko yao ila tu aliniudhi alivyokuwa anamtreat Bidam
Ni kweli lilikuwa tukio baya sana lakini mimi naona zilikuwa akili za utoto tu na kama alivyofanikiwa kumshape katika mengine angeweza kumuelimisha na hilo pia na kwa vile alikuwa bado mdogo angerekebika tuMunno aliwekeza vitu vingi sana kwa Bidam ili baadaye aje awe Mfalme kwa kumuoa Deokman ili kuutimiza ule 'utabiri' wa kuanguka kwa Mishil pamoja na mpango wa kuyaunganisha mataifa matatu.
Lakini baada ya lile tukio la mauaji la Bidam kule kwenye mapango lilimdhoofisha sana na kumvunja moyo Munno kiasi cha kuanza kumbadilikia Bidam na hata kubadili mpango wake na kutafuta mtu mwingine (Kim Yusin) kuchukua nafasi ya Bidam.
Ni kweli naweza kusema kuwa pamoja na mabaya ya Bidam aliyoyafanya sidhani kama ilikuwa sahihi sana kwa Munno kumchukia kupita kiasi na kumshambulia kwa maneno Bidam kutokana na kosa la utotoni.
Ila ni ngumu sana kwakweli katika hali ya kibinadamu kwa mtoto mdogo kuwaua watu wote wale tena kwa kudhamiria, inatisha sana na kuna funzo kubwa sana hapo ukizingatia kwamba Munno naye alikuwa binadamu pia.
Lakini yote kwa yote Munno alikuja kujirudi kwa Bidam nyakati za mwisho wakati anakufa na akamwambia kuwa daima yeye (Bidam) atabaki kuwa mwanafunzi wake na pia akampatia fursa ya kujiunga na Hwarang.