Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
annyeonghi jumuseyoDaemusin Historical Drama Bado Zinamuheshimu King Taejong Mpaka Wanaamua Kueka Mwisho Wa Namna Hii Kwenye My Country..
Kati Ya Izo Nimezimaliza My Country na Vaga Izo Zengine Ni Bado Na Kama Extra Nimeishia ya 14 Na Tale Ya 14 Camellia ya 2 Secret No Sijaangalia.annyeonghi jumuseyo
nimechukua likizo isiyokuwa na malipo
- when the camellia blooms drama = nimeimaliza
- extraordinary you drama = nimeimaliza
- vagabond drama = nimeimaliza
- the tale of nokdu drama = episode ya 16 sijaiangalia
- my country drama = episode ya 16 sijaiangalia
- secret boutique drama =episode ya 15 na 16 sijaziangalia
kwani taejong anasemaje?
nokdu wangu ametambuliwa na baba yake mfalme gwanghae?
utapata adhabu kwa kukosa kuiangalia camellia bila ya kuwa na sababu za msingi.Kati Ya Izo Nimezimaliza My Country na Vaga Izo Zengine Ni Bado Na Kama Extra Nimeishia ya 14 Na Tale Ya 14 Camellia ya 2 Secret No Sijaangalia.
Anhaa! Mzuka Tu Ulikosekana Ntaitafutautapata adhabu kwa kukosa kuiangalia camellia bila ya kuwa na sababu za msingi.
hakuna drama iliofikisha 23% tokea uanze mwaka 2019 ukiondoa family drama
Nimekua Mzito Sana Siku Izi Mambo Mengi Sijui.utapata adhabu kwa kukosa kuiangalia camellia bila ya kuwa na sababu za msingi.
hakuna drama iliofikisha 23% tokea uanze mwaka 2019 ukiondoa family drama
Nimekua Mzito Sana Siku Izi Mambo Mengi Sijui.
mapumziko muhimu japo wiki mbili kila baada ya mudaAnhaa! Mzuka Tu Ulikosekana Ntaitafuta
Iko Vizuri nimezimaliza Episode Izi Mbili za Mwanzo Inafaa Bando Langu.yule mzee wa empress ki yuko wapi?
usiku wa siku ya ijumaa chocolate drama ndio imeziba nafasi ya my country drama.
acha niiweke kiporo
The drama is the love story of Lee Kang, a cold and emotionally closed-off neurosurgeon (Yoon Kye Sang), and Moon Cha Young, a warm and compassionate chef (Ha Ji Won). After reuniting at a hospice, the two slowly begin to heal each other’s wounds through food.
View attachment 1276708
Ni Kweli Ila Mi Nimepitiliza, Nachofanya Naanza Drama Kwa Moto Then Naishia Njiani.mapumziko muhimu japo wiki mbili kila baada ya muda
Taejong Kammaliza Hwi Na Rafiki Yake.annyeonghi jumuseyo
nimechukua likizo isiyokuwa na malipo
- when the camellia blooms drama = nimeimaliza
- extraordinary you drama = nimeimaliza
- vagabond drama = nimeimaliza
- the tale of nokdu drama = episode ya 16 sijaiangalia
- my country drama = episode ya 16 sijaiangalia
- secret boutique drama =episode ya 15 na 16 sijaziangalia
kwani taejong anasemaje?
nokdu wangu ametambuliwa na baba yake mfalme gwanghae?
episode 16 nimeiangalia jana..........................Taejong Kammaliza Hwi Na Rafiki Yake.
Nilikua Najaribu Kumsoma Taejong Natamn kumjua Zaidi Ya Six Dragon Na My Country Kuna Drama Yeyote Inayomuelezea Zaidi Kiundani !?
Aisee kumbe ndio yuleSo sad,nakumbuka vituko vyake kwenye City Hunter kama binti wa rais
Alikuwa anajimwambafai tubado namtafuta yule mdau aliyewahi kuandika ya kwamba ameangalia drama zote za wakorea, huenda alikuwa amelewa ujinga. ikiwa mwaka huu wa 2019 kwa tamthilia zinazoonyeshwa siku mbili au moja kwa wiki zimeonyeshwa 92, unawezaje kuangalia drama 92 kwa mwaka mmoja tu.
na unawezaje kuangalia drama zote za wakorea tokea kuanza kwa karne ya 21?
2019 Korean dramas of KBS2
nimeangalia drama 4 kati ya 13 na pia nina malengo ya kuiangalia 9.9 Billion Woman drama itakapoanza mwezi huu
- My Lawyer, Mr. Joe 2: Crime and Punishment (January—premiere month)
- Liver Or Die (January)
- Doctor Prisoner (March)
- Mother Of Mine (March)
- My Fellow Citizens (April)
- Angel’s Last Mission: Love (May)
- Perfume (June)
- Justice (July)
- I Wanna Hear Your Song (August)
- When The Camellia Blooms (September)
- Beautiful Love, Wonderful Life (September)
- The Tale Of Nokdu (September)
- 9.9 Billion Woman (December)
- Doctor Prisoner
- Angel’s Last Mission: Love
- When The Camellia Blooms
- The Tale Of Nokdu
ni mpuuzi fulani aliyejifanya too much knowAlikuwa anajimwambafai tu