Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

oh my god
nitachoka kutoa rambi rambi kama bwana yule
huu mwaka ni ubora umalize tena
natamani taarifa ya uchunguzi isema hakujitoa uhai wake kama wengineo.
nilimpenda sana uhusika wake kwenye the banker, alikuwa ni double agent

yaani hapa nimekusudia niiangalie Love with Flaws drama ndio nakutana na habari mbaya kama hii
========================================

Actor Cha In Ha Passes Away + Agency Releases Official Statement
The police stated that the actor was found dead at his home on December 3, and the cause of death is currently being investigated

Born in 1992, Cha In Ha debuted in 2017 through the short film “You, Deep Inside of Me” and was a member of Fantagio’s second actor group SURPRISE U. He starred in the web drama “Miss Independent Jieun 2” and television dramas including “Degree of Love,”Wok of Love,” “Are You Human, Too?,” “Clean with Passion for Now,” and “The Banker.” His newest drama “Love with Flaws” premiered on November 27.
1575366080204.png
 
Eeeh Mungu,

Kwenye Love with Flaw Kacheza Kama ni Muhudumu Wa Bar ya Magay, Eeh Mungu Lol!
 
Wakati Wa Msiba wa Goo Hara Kuna Page Niliipitia Ikawa Inasema Tuombee Isitokee Msiba Mwengine Wa Msanii Kwani Anahisi Bado Kuna Vifo Kabla ya Mwaka Kuisha.
Lol! Huyu Kaniuma.
 
Jun Ji Hyun To Appear In “Kingdom” Season 2 + Netflix Addresses Potential Season 3

Jun Ji Hyun’s appearance in “Kingdom” season two was kept a secret even within Netflix’s production team. Jun Ji Hyun’s parts were reportedly filmed separately after the completion of the other cast members’ scenes.

According to Sports Chosun, Jun Ji Hyun will appear in the finale of season two and then as a key character in the rumored third season of “Kingdom.”

A source from Netflix also shared, “The production of ‘Kingdom’ season three has not been confirmed yet.”
“Kingdom” will be Jun Ji Hyun’s first drama appearance in four years and her first attempt at a sageuk drama.

View attachment 1277191
Namkubalia sana huyu dada.
 
oh my god
nitachoka kutoa rambi rambi kama bwana yule
huu mwaka ni ubora umalize tena
natamani taarifa ya uchunguzi isema hakujitoa uhai wake kama wengineo.
nilimpenda sana uhusika wake kwenye the banker, alikuwa ni double agent

yaani hapa nimekusudia niiangalie Love with Flaws drama ndio nakutana na habari mbaya kama hii
========================================

Actor Cha In Ha Passes Away + Agency Releases Official Statement
The police stated that the actor was found dead at his home on December 3, and the cause of death is currently being investigated

Born in 1992, Cha In Ha debuted in 2017 through the short film “You, Deep Inside of Me” and was a member of Fantagio’s second actor group SURPRISE U. He starred in the web drama “Miss Independent Jieun 2” and television dramas including “Degree of Love,”Wok of Love,” “Are You Human, Too?,” “Clean with Passion for Now,” and “The Banker.” His newest drama “Love with Flaws” premiered on November 27.
Dah!

My Deepest Condolences kwa wadau wote wa Tasnia ya Burudani nchini Korea Kusini na Ulimwenguni kwa ujumla.

Sina la kusema zaidi.
 
Yuko vizuri katika viwango vya kimataifa. Hahaha!

Alifanya vizuri sana katika My Love From the Star pamoja na The Legend of the Blue Sea bila kusahau Movie moja hivi aliyoigiza kama mapacha ijulikanayo kama Assassination.
movies za kikorea zinanishinda kuziangalia labda kwa kuwa nimeshazoea kuangalia mtiririko drama usiokwisha kwa masaa mawili
 
Yah! Mara nyingi Movies za Kikorea zinakuwa na watazamaji wachache kutokana na wengi ku-Base katika Drama.

Ila zipo Movies ambazo kwa kiasi kikubwa ni nzuri na zenye ubora mzuri ukizitazama. Mara moja moja si mbaya!
 
itabidi nianzishe kampeni ya kuangalia movies kwa lazima.
nataka nianze na hii siku yoyote

Parasite had its world premiere at the 2019 Cannes Film Festival on 21 May 2019, where it became the first Korean film to win the Palme d'Or, and the first film to do so with a unanimous vote since 2013's Blue Is the Warmest Colour. It was selected as the South Korean entry for Best International Feature Film at the 92nd Academy Awards, Bong's second selection after 2009's Mother.

The film was released in South Korea by CJ Entertainment on 30 May 2019, and in the rest of the world by Neon in late-2019. It received widespread critical praise and has grossed $123 million worldwide, becoming Bong's highest-grossing release; it is currently the nineteenth highest-grossing domestic film in South Korea history.It was chosen by Time magazine as one of the ten best films of the year.

1575405206891.png
 
cha kusikitisha serikali kuu inaendelea kukaa kimya.
nina wasiwasi hawa wasanii wanateseka sana na ishu za kimaslahi yao binafsi na hawana sehemu ya kulalamika.

hivi unajitoaje uhai bila ya msingi wakati muda wote unaonekana unatabasamu?
Yawezekana kuna mengi yaliyojificha.

Iwe ni masuala ya Cyberbulling or what lakini kuna mengi.

Aisee! Mtu ana-Post mtandaoni "Good night" alafu kesho yake ghafla hayupo tena duniani.

Inafikirisha na kushangaza sana.
 
itabidi nianzishe kampeni ya kuangalia movies kwa lazima.
nataka nianze na hii siku yoyote

Parasite had its world premiere at the 2019 Cannes Film Festival on 21 May 2019, where it became the first Korean film to win the Palme d'Or, and the first film to do so with a unanimous vote since 2013's Blue Is the Warmest Colour. It was selected as the South Korean entry for Best International Feature Film at the 92nd Academy Awards, Bong's second selection after 2009's Mother.

The film was released in South Korea by CJ Entertainment on 30 May 2019, and in the rest of the world by Neon in late-2019. It received widespread critical praise and has grossed $123 million worldwide, becoming Bong's highest-grossing release; it is currently the nineteenth highest-grossing domestic film in South Korea history.It was chosen by Time magazine as one of the ten best films of the year.

Inaonekana ni nzuri kutokana na Recommendations mbalimbali huko mitandaoni.

Nikipata muda nami nitaitazama.
 
Yuko vizuri katika viwango vya kimataifa. Hahaha!

Alifanya vizuri sana katika My Love From the Star pamoja na The Legend of the Blue Sea bila kusahau Movie moja hivi aliyoigiza kama mapacha ijulikanayo kama Assassination.

Huwa anafurahisha sana ana vituko sema hapati sana nafasi sijui kwanini,halafu hiyo movie Assasination umenikumbusha nilikuwa nataka kuichek nilishasahau.
 
“Vagabond” Staff Addresses Possibility Of Season 2

Nov 24, 2019

by U. Kim

The producers of SBS’s “Vagabond” have responded to questions about a second season.

“Vagabond” is an espionage thriller that stars Lee Seung Gi, Suzy, Shin Sung Rok, and many more. The drama set a new personal viewership record for itself with its finale on November 23.

On November 24, a source from Celltrion Entertainment, the production company behind the drama, shared during an interview with OSEN, “The production period was very long, so everyone’s feeling both relieved and sad. The production process took 11 months, and if you count the planning period, it’s a lot longer than that.”

“Vagabond” came to a close with an open ending and made viewers hope for a second season. The source revealed, “It was planned and produced with a second season in mind. However, season two has not been confirmed, and it’s currently being reviewed. We are reviewing the schedules of the actors, writers, and directors.”

The source also shared their gratitude for the actors and staff. They said, “The lead actors were tied to the project for 11 months. During the 40 days or so spent filming overseas, they all stayed together well. It was fun because no one was unsociable and everyone filmed harmoniously. I’m thankful to all of the staff members and actors.”

Are you looking forward to seeing a second season of “Vagabond”?

Source (1
 
Back
Top Bottom