Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

vp mkuu inaweza izidi empress ki?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
Ni nzuri Sana ila usiifananishe kabisa na series yangu bora kabisa ya miaka yote nikuikosea heshima THE EMPRESS KI. Hadi sasa hiv sijaona series kali mno ukiiondoa INNOCENT DEFENDENT ambayo inaifikia THE EMPRESS KI.
 
Guys nimedowload vagabond dramanice lakini kuna episode 4 zinakataa kabisa kudownload bado ep2, 3,5 na 8 hizi zinakataa sijui kwanini naomba mwenye site engine ya kudownload hii series nikashushe nianze leo kutazama.
 
Koltai & Tal tal
Screenshot_2018-07-28-08-58-08.jpeg
Screenshot_2018-07-28-08-57-27.jpeg
Screenshot_2018-07-18-14-54-03.jpeg
 
Back
Top Bottom