jumla ya drama 92 zimeonyeshwa mwaka huu ukiongezea drama mbili za mwisho wa mwaka zilizoanza mwanzoni mwa wiki hii (black dog na diary of prosecutor).
mwaka 2018 niliangalia project takribani 50 za wakorea ila mwaka huu nimepunguza dozi (going on drama kuzifuatilia zina faida na pia zina hasara nyingi sana)
kwenye hizo drama 92 zilizoonyeshwa mwaka huu na vituo takribani 9 nimeangalia project zifuatazo.
- Doctor Prisoner drama = KBS
- Angel’s Last Mission: Love drama = KBS
- When The Camellia Blooms drama = KBS
- The Tale Of Nokdu (historical drama) = KBS
- 9.9 Billion Woman drama = bado inaendelea kupitia KBS
- Item drama = MBC
- The Banker drama = MBC
- Different Dreams drama = MBC
- One Spring Night drama = MBC
- Extraordinary You drama = MBC
- Haechi drama = SBS
- The Fiery Priest drama =SBS
- Nokdu Flower drama = SBS
- Doctor John drama =SBS
- Secret Boutique drama = SBS
- Vagabond drama =SBS
- VIP drama = SBS
- Stove League drama = bado inaendelea kupitia SBS
- The Wind Blows drama = jtbc
- My Country: The New Age = jtbc
- Chocolate = bado inaendelea kupitia jtbc
- diary of prosecutor = bado inaendelea kupitia jtbc
- Romance Is A Bonus Book = tvN
- Touch Your Heart = tvN
- Arthdal Chronicles = tvN
- Designated Survivor: 60 Days = tvN
- Hotel del Luna = tvN
- When The Devil Calls Your Name = tvN
- Melting Me Softly = tvN
- Crash Landing On You = bado inaendelea kupitia tvN
- Black Dog = bado inaendelea kupitia tvN
- Graceful Family = MBN
dramas za miaka iliopita nilizobahatika kuziangalia kwa mwaka huu
- horse doctor (historical) = ni drama ya mwaka 2012
- beautiful mind drama (medical) = ni drama ya mwaka 2016
- brain drama (medical) = hii nimeitafuta usiku wa leo, I hope nitaiangalia
JUMLA = DRAMA 35.
usijaribu kunywa kama samaki ikiwa kichwa chako ni chepesi...
usijaribu ikiwa unaogopa maisha.......