Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

MAMAMOO wameperform kwenye tuzo za sbs drama awards, muda huu wanaperform kwenye tuzo za MBC gayo daejun..
work hard play hard
hongera kwao wale madada wagumu kuliko wanajeshi..
sijui wamewahi kukoga?
1577806583379.png

1577806614668.png
 
awards zimekwisha....
happy new year 2020
sasa nawaomba munitafutie dawa ya kuacha kunywa ulevi wa korean drama
mwaka huu nataka nigombanie ubunge kwa tiketi ya chama

  1. jimbo la makunduchi = ccm
  2. jimbo la malindi = ACT
  3. jimbo lolote pemba - act
Chukua Iyo Ya Makunduchi Mi Nitakua Msaidizi Wako.
 
Back
Top Bottom