Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Huyu mzee mkubwa karibia kila Drama nayomuona kacheza ni mzinguaji tu, Nikajua Damo hii ni ya zamani(2003) labda alikuwa jamaa ni mstaharabu lakini wapi.
Main character wa kwenye hii Damo ndio yule aliyecheza Empress Ki.
Muhuni( JUKBAN)wenu na yeye yumo.

View attachment 1354343

Unaweza kujiuliza kwanini Nchi yetu ( N.K) hatujatangaza kuwepo kwa virusi vya corona, ni kwa sababu serikali yetu imetoa bure Rare Ginseng za miaka 2000 kwa raia wote.
Ujue hizi Ginseng zimegawanyika mara 2 zipo ambazo ni,
Comphoric Ginseng & Rare Wild Ginseng
Karibuni sana ndugu tutupie hizi rare roots.
Simkumbuki vizuri nitajie uhusika wake kwenye the empress ki?
 
Inaitwa my heart kaitafsir Dj skills

Ebu Elezea Maelezo Mengine Ya Hiyo Drama, Ichi Ulichokielezea Kwangu Bado Sijakielewa.

Kuna Drama Nyingi Za Maudhui Haya, Kuijua Moja Kwa Moja Ni Ngumu Chingu Labda Unipe Jina La Mshiriki Mmoja Kwenye Iyo Drama.
[/QUOTE]
 
Simkumbuki vizuri nitajie uhusika wake kwenye the empress ki?
Ohoo main character wa Damo ( Ha ji won) pia ndiye👇 alikuwa Main character wa Empress Ki, akivaa uhusika wa Lady Ki.
images.jpeg
 
Ohoo main character wa Damo ( Ha ji won) pia ndiye👇 alikuwa Main character wa Empress Ki, akivaa uhusika wa Lady Ki.View attachment 1354826
Kama ha ji won yupo sitaichewesha hii kuangalia zingine zote nitaweka kapuni.Huyu dada ninavyompenda natamani kila mwaka awe anakuwa kwenye drama yoyote na anapokuwa anacheza za porini ndo anakuwa wa Moto kwelikweli pia na scene za kupigana Kama the empress ki ila walimkosea sana kumweka kwenye drama ya kiboya ya chocolate.Asante mkuu kwa taarifa hapa nilipo nimefurahi ile mbaya kwangu ha ji won ndio muigizaji ninayempenda kuliko wote.
 
black dog : ilinishinda njiani tokea episode 4 (niliamua nipambane na diary of prosecutor kwa lengo la kupunguza ulevi)

queen love: nimeipotezea kwa sababu ya lead actor (wangelitafuta matured actor ningelipoteza muda wangu, ukiangalia supporting actors hususani wazee wapo vizuri sana)

mwanamme amejaa dimples mashavuni utadhani andazi la bakhressa.
ananifanya niwe uncomfortable kama mdogo wako meok goo anaponyimwa fedha ya kununulia bakuli la wali na gavana
akinuna dimples
akicheka dimples

wengine dimples zetu zimeingia ndani zaidi kama vishimo vya kuchezea gololi
View attachment 1344569
U-Crezi.
 
Naam, umemuona huyo mtaalam kwenye hiyo cover pic. Ndiye aliyecheza Wind of the Palace akiwa kama Yi San, na alicheza kwenye Gybaek akiwa kama General Gybaek.
 
Black dog haina amsha amsha,mwanga wamebania,ina matukio mengi ya huzuni kuliko furaha,maisha magumu kwa wanandoa na wasio na ndoa. Changamoto nyingi kazini.
black dog : ilinishinda njiani tokea episode 4 (niliamua nipambane na diary of prosecutor kwa lengo la kupunguza ulevi)

queen love: nimeipotezea kwa sababu ya lead actor (wangelitafuta matured actor ningelipoteza muda wangu, ukiangalia supporting actors hususani wazee wapo vizuri sana)

mwanamme amejaa dimples mashavuni utadhani andazi la bakhressa.
ananifanya niwe uncomfortable kama mdogo wako meok goo anaponyimwa fedha ya kununulia bakuli la wali na gavana
akinuna dimples
akicheka dimples

wengine dimples zetu zimeingia ndani zaidi kama vishimo vya kuchezea gololi
View attachment 1344569
 
Naomba link nidownload episodes za hii drama yako ya Doma
 
Kijana MB zangu,SIMU yangu,Usingizi wangu na bado kiherehere cha kujua kilichomo ni changu. Huwa sina kawaida ya kuuliza uliza,navuta naangalia,kama mbaya naangalia mpaka mwisho kisha nalaumu kupoteza mb na muda inaisha ili mradi nimemaliza ile hamu ya kuiona movie husika

Jifunze kuishi bila maoni ya watu sio kila maoni ni mazuri,mengine yatakukosesha uhondo.
Ni kweli bwana kama ninyi mlivyotaka kunikosesha uhondo wa Bride of Water God

Sent using Jamii Forums mobile app
 
punguza kuvuta bangi iliyochanganywa na maji ya mafuriko yaliochukua ng'ombe kutoka kwa wasukuma.

haechi, dong yi, jackpot, jang ok jung, queen and I, jang hee bin 2002 and 1995.​
mfalme sukjong alikuwa na wanawake watatu kama sikosei walioleta athari tofauti kwenye utawala wake.

jang hee bin = anazungumzwa zaidi huyo mwanadada jang ok jung historia ya maisha yake mpaka kuwa mke wa sukjong, bila ya kusahau na vitimbwi vyake (power struggle)

dong yi = alikuwa ni binti aliyekuwa akifanya kazi royal palace, baadae akawa mke wa mfalme sukjong na akapata mtoto aliyebeba ufalme baada ya kufa kwa mtoto mwengine wa sukjong

jackpot = inamzungumzia zaidi mtoto wa dong yi kama nitakuwa nipo sahihi
haechi = nayo pia inamzungumzia zaidi mtoto wa dong yi (power struggle)

jang ok jung = inazungumzia stori ya huyo mwanamke aliyeitwa jang hee bin a.k.a jang ok jung

hizo drama zote utakapoziangalia utakutana na uhusika wa mfalme sukjong pamoja na hao wanawake (si lazima wawemo wote inategemea muandishi amebase upande gani)
Mimi nimesema hivyo kutokana na comment ya Numbisa, sijajua vinahusiana vipi na kuvuta bangi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Update:
“Arthdal Chronicles” Confirmed To Start Production On 2nd Season This Year

According to the report, “Arthdal Chronicles” will begin production on its second season in either September or October at the latest. Song Joong Ki, Jang Dong Gun, Kim Ji Won, and Kim Ok Bin are expected to reprise their roles, as well as all the other cast members who were not killed off in the first season. The production staff are reportedly working on coming up with a schedule that will accommodate the main actors.

The director, however, will reportedly be changed. The first season was directed by Kim Won Suk (“Incomplete Life,” “Signal,” “My Mister“) but he had stated from the beginning that he would only direct one season of the show.

Moreover, Kim Won Suk has left the production company Studio Dragon (which produces “Arthdal Chronicles”) and is now working with KakaoM, making the chance of his return to “Arthdal” even unlikelier.

Following the previous reports of a second season, another report stated that Kim Kyu Tae and Hong Jong Chan will be directing the second season. Kim Kyu Tae previously directed dramas including “It’s Okay, That’s Love,” “Iris,” “That Winter, The Wind Blows,” and “Scarlet Heart: Goryeo.”

Hong Jong Chan has worked on dramas such as “Dear My Friends,” “Life,” and “Her Private Life.”

The first season aired in three parts (six episodes per part) for a total of 18 episodes last year. It reportedly cost over 50 billion won (about $42.4 million) to produce.

View attachment 1356212
Asante kwa updates, mbali lakin

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nielekeze namna ya kudownload
 
Back
Top Bottom