Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

kwa sababu hukufanya uchunguzi wa hadithi hizo mbili ndio maana nikasema upunguze kuvuta bangi ahjumma mtarajiwa.

jaribu siku moja kuiangalia hiyo project ya dong yi japo ep 5 utagundua nilichokizungumza.....
chengine waliosimamia project mbili hizo ni watu wawili tofauti.
Nielekeze mzee baba namna ya kudownload episode kwenye dramanice
 
I am crazy, lakini sijawahi kutembea nje na kichupi kama mpiganaji mieleka...

una jengine mshabiki wa mikia (wazee wa kuhonga marefa).

pole kwa kufichwa na haji manara
Kwanini Huwa Unafuta Unachokiandika??

Unaipenda Sana Simba Sema Ndo ivyo Unajaribu Kuficha Hisia Zako Nakuamua Kuzitoa Kupitia Mtindo Huu.
 
Siku hz wanatuletea vitu havieleweki eti ,,chocolate

Ila mwaka Jana walitoa inaitwa " my country ; the new age"japo sio Kali kama zile za king geunchoggo nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Drama ya chocolate ni kiboya Sana ingawa Ina best actress ha ji won huyu dada wameshindwa kumtumia vizuri mtu Kama ha ji won unampaje drama ya kiboya kiasi hicho honestly wame niangusha Sana nilikuwa naisubiri Sana kazi ya ha ji won kwa muda mrefu alafu wakampa drama ya kipuuzi.
 
Kwanini Huwa Unafuta Unachokiandika??

Unaipenda Sana Simba Sema Ndo ivyo Unajaribu Kuficha Hisia Zako Nakuamua Kuzitoa Kupitia Mtindo Huu.
Naomba unielekeze namna ya kudownload episode kwenye website ya dramanice please
 
Naona wafilipino nao wameirudia descendants of the sun. Stering senio wa kwenye mari mari
 
Jana nilijaribu application mpya ipo faster na inakubali kule dramanice ila sasa application yenyewe ina uzito wa gb 2(kama simu yako ina nafasi chache hii application haikufai maana ikivuta movie ,inafikia kwenye phone memory)

Hii hapa. Ipo play store
IMG_20200215_120143.jpg
kama upo tayari kuitumia sema nikuelekeze ukajivutie damo yako vizuri tu. Inaweza kuvuta drama episode nne kwa wakati mmoja
Ile ile ya Nova uliyoniambia.Je unajua jinsi ya kudownload kwenye dramacool?
 
Jana nilijaribu application mpya ipo faster na inakubali kule dramanice ila sasa application yenyewe ina uzito wa gb 2(kama simu yako ina nafasi chache hii application haikufai maana ikivuta movie ,inafikia kwenye phone memory)

Hii hapa. Ipo play storeView attachment 1358329kama upo tayari kuitumia sema nikuelekeze ukajivutie damo yako vizuri tu. Inaweza kuvuta drama episode nne kwa wakati mmoja
Kiukwel hiyo itakuwa ngumu gb 2 hapana aisee nipe tu njia nyingine mbadala
 
Back
Top Bottom