Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

iruhusu nafsi yako ikutawale na si kipande cha moyo wako.....
mwaka jana niliangalia search: www drama mpaka episode 4 nikashindwa kuiendeleza, mwaka huu nimeirudia mwanzo mwishoooooo.

moyo ulishindwa kuikubali project hiyo, nikairuhusu nafsi nayo iamini hivyo.

nilikuwa siwezi kuangalia family drama lakini kwa sasa nimejizowesha.
nilikuwa siangalii project za kimagharibi ila ndani ya mwaka huu nimeshangalia series 5 (changamoto kubwa ni mfumo wa series unanipa tabu, nahitaji niangalie series imalize na si kupigwa kalenda)
Nami pia kuna projects kadhaa za miaka ya nyuma ambazo kiukweli sikupendezwa nazo na zipo ambazo sikukamilisha kuzitazama lakini wakati mwingine baadaye huwa nafanya maamuzi magumu ya kuzitazama (kwa lazima) na bahati nzuri ninapomaliza kuzitazama, huwa napata kupendezwa na vitu fulani fulani ndani yake.

Kuna msemo fulani unasema "kisichokufaa leo huenda kikakufaa kesho".

Na hili nimelithibitisha kabisa na kwa muda mrefu tu katika projects kadhaa nilizowahi kuziweka pembeni hapo awali kisha nikaja kuzitazama hapo baadaye na kupendezwa na vitu kadhaa ndani yake. Moja wapo ya kazi hizo ni ile maarufu kabisa iitwayo Gu Family Book.
 
Nshaangalia project zake zote za huyo mama ukijumlisha reply zote pamoja na prison playbook ya 2017-2018... hii ya mwisho ukiangalia utacheka sanaaa na pia utajifunza mengi tu
pia ameandika:
  1. reply 1997 = (2012)
  2. reply 1994 = (2013)
  3. reply 1988 = hii ilifanya vizuri sana mnamo mwaka 2015 na takribani mashabiki wengi waliobahatika kuiangalia hii project waliipa rate kubwa sana ukilinganisha na hizo nyengine ila kiupande wangu ilikuwa hadithi tofauti, niliwahi kujaribu kuiangalia mwanzoni mwa mwaka huu lakini ilinishinda. labda sababu kubwa sikuwa tayari kupitia mboni zangu kushuhudia mfumo wao wa maisha ya kizamani uliojaribu kuzungumziwa ndani ya project hiyo kuanzia uvaaji, mfumo wao mzima wa maisha (ujamaa uliopitiliza, fujo za watoto), style zao nywele n.k
maisha yaliozungumziwa humo ndani yana ukweli kwa asilimia zote, binadamu tunapitia hatua tofauti za ukuaji na moja kati ya hatua muhimu zaidi ni ujana wetu (baleghe) na ndio hatua ambayo hushikilia kwa kiwango kikubwa sana mustakabali wa maisha yetu ya mbeleni japokuwa nyakati nyengine hali inakuwa ni tofauti (kwa mfano wapo wengi tu waliowahi kuwa na machaguo ovu ujanani kwao lakini baadae maisha yakawanyookea, hivyo hivyo wapo walionyesha njia njema tokea ujanani kwao lakini baadae wakabalidilika).

cha kuzingatia zaidi kwenye maisha yetu ni kuikumbuka expiry date ya kila unachokifanya au kukipitia, ufanye muda kama ndiye mwalimu wako wa darasa (mlezi bora) ili kujiepusha na majuto ya mbeleni.

nitakapokuwa fresh nitajaribu kuirudia tena kwa utulivu, dah niliipakua full drama lakini nili-ifuta (nilifika episode 5).

labda umeshawahi kuziangalia project zote za reply?
 
THE FIERY PRIEST
niko episode ya 33-34( ep.16)

Humo ndani, ni mwendo wa Vituko na Mkong'oto jazz band(action).
Hii ni kawaida ya Mkali wetu Kim Nam Gil a.k.a Bidam

touchmaster_1591984241978.jpeg
 
😆 😆 😆 😆 nilivuta episode nne hio. Tatizo nimepata hamu ya kujua nini kiliendelea je dokta alishinda au mchepuko ulibeba kombe. Ntakua navuta mbilimbili kila nikivuta drama nyingine mpaka ntaimaliza kibishi kibishi
The world of the married imenishinda pia..nimeishia episode ya 3. [emoji1787][emoji1787]
 
Nimeipenda hospital playlist tatizo wameikatisha panono. Tabu ya wakorea wanaiga balaa(kama bongo movies vile na part two zao). Enzi hizo ilikua mwendo wa episode 50 historical,from nowhere akaibuka mmoja kafupisha episode 30 au 20 wote wakaiga ikashuka episode 16 hewala wakahamia huko. Now ni mwendo wa seasons tu,wakati wanaweza imaliza drama kwa episode 20.

Family drama ndo kabisaa mambo yanavurugika,drama inavutwa mpaka episode 150 wakati episode 50 mambo yanaisha vizuri tu
 
Nimeipenda hospital playlist tatizo wameikatisha panono. Tabu ya wakorea wanaiga balaa(kama bongo movies vile na part two zao). Enzi hizo ilikua mwendo wa episode 50 historical,from nowhere akaibuka mmoja kafupisha episode 30 au 20 wote wakaiga ikashuka episode 16 hewala wakahamia huko. Now ni mwendo wa seasons tu,wakati wanaweza imaliza drama kwa episode 20.

Family drama ndo kabisaa mambo yanavurugika,drama inavutwa mpaka episode 150 wakati episode 50 mambo yanaisha vizuri tu
Kuna wengine tukiona drama ina episodes 50 hata hatuhangaiki nayo tunaiacha vitu vifupi ni vitamu...
 
Ukiianza mwanzo na ukaiona tamu au watu wengi wanaisifia utaivuta tu. Ila hospital playlist wangeiweka basi ikaishia episode 16 kwa season one tuone priest mpotevu alivyoendeleza alichokianza.
Kuna wengine tukiona drama ina episodes 50 hata hatuhangaiki nayo tunaiacha vitu vifupi ni vitamu...
 
ukimaliza utanambia kama niendelee au ni uharibifu wa mb..na hivi ina mbs nyingi
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] nilivuta episode nne hio. Tatizo nimepata hamu ya kujua nini kiliendelea je dokta alishinda au mchepuko ulibeba kombe. Ntakua navuta mbilimbili kila nikivuta drama nyingine mpaka ntaimaliza kibishi kibishi
 
Back
Top Bottom