Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Exo next door nimeivuta tu baada ya kuvutiwa na mb zakechache yaan episode moja ina mb 47 kushuka 30 au 28. Hope itakua nzuri. Wapenda hasara tuna kazi sana.(tunavuta yote kisha tunaanza kujilaumu)
 
currently watching:
uvivu umekuwa ni mwingi sana ila pia ni jambo zuri sana kwa sababu nazidi kupata muda wa kupunguza huu ulevi.
  1. wind cloud and rain (the king maker): ni mwendo wa kupeleka mbele, ukishaziangalia sana historical drama za joseon unajihisi kama unafanya mrejeo wa matukio ya zamani (steringi anauliwa baba yake kwa kusingiziwa uhaini, anateseka, baadae anapata nguvu ya kupambana na wapinzani wake, anakutana na binti wa kifalme anaogopa kumpiga busu..)
sijui wenzangu munafuatilia project zipi.
 
currently watching:
uvivu umekuwa ni mwingi sana ila pia ni jambo zuri sana kwa sababu nazidi kupata muda wa kupunguza huu ulevi.
  1. wind cloud and rain (the king maker): ni mwendo wa kupeleka mbele, ukishaziangalia sana historical drama za joseon unajihisi kama unafanya mrejeo wa matukio ya zamani (steringi anauliwa baba yake kwa kusingiziwa uhaini, anateseka, baadae anapata nguvu ya kupambana na wapinzani wake, anakutana na binti wa kifalme anaogopa kumpiga busu..)
  2. my unfamiliar family: hizi familia zetu zimejaa siri sirini.
sijui wenzangu munafuatilia project zipi.

Mimi niko na
My unfamiliar family
Dinner mate
Oh my baby
Na when my love blooms
 
Adjustments.jpg

Nazisubiria hizi project mbili kwa hamu
Hope sitakua disappointed
 
Maelezo yamekamilika vizuri. Shukrani.
sina uelewa mkubwa sana wa hizo ishu nyeti za uzalishaji ila:
ishu kubwa inakuwa ni gharama za uzalishaji ndio inayopelekea episodes kupungua, kuna utofauti mkubwa sana wa kigharama kati ya family drama na hizi drama tulizojijengea mazoea ya kuziangalia kila siku.
kwa mfano family drama na daily drama zinakuwa na gharama ndogo sana kiuzalishaji ndio maana si ajabu kuzikuta zinagonga mpaka episode 50 (film location kwanza hazibadiliki hata kama episode zitakuwa 10000).

  • pia drama nazo zina sifa ya betting, hakuna project yeyote ambayo kampuni au televisheni husika inakuwa na uhakika wa kufanya vizuri, imagine drama ina episode 40 au zaidi halafu ndio hivyo inafanya vibaya kila wiki, ina maana itawalazimu mashabiki wasubirie wiki 20 ili project hiyo imalizike......
  • wakati wewe unaendelea kusubiri project mbovu imalizike huku upande wa pili wenzako wanaingiza project mpya huku watazamaji na wafanya biashara wanakimbilia huko ili watangaziwe biashara zao. kwa mfano princess jamyung haikufanya vizuri kipindi kile jambo lililopelekea production team wapunguze kiwango cha episodes, mfano mwengine drama ya jumong ilipaswa iwe na episode 60 tu lakini baada ya kufanya vizuri kila wiki ilipelekea episodes ziongezwe mpaka kufikia 81 kwa sababu ya faida ya matangazo
  • risk factor: shirika la SBS walishindwa kuichukua project ya mr sunshine iliokuwa na episode 24 kwa sababu ya gharama zake kuwa kubwa (inasemekena gharama zake ilikuwa ni won billion 40, dollar millioni 36) ndipo TVN wakaichukua na baadae wakala shavu ya kuiuza Netflix ......kuna taarifa fulani nimeiona wameandika hivi: When combined with Netflix sales, VOD sales, and indirect advertising, "Mr. Sunshine" is estimated to have made 57 billion won in total revenue.(ina maana SBS hawakujiamini ya kwamba hiyo project itawalipa)
  • ratiba nayo pia ni kikwazo: ni ngumu sana kwa sasa kumshawishi muigizaji na wengineo kufanya kazi moja kwa takribani miezi 6 kama zamani, kibaya zaidi wakorea na wao wana tatizo kubwa sana la ulipaji baada ya kazi
usisahu wakorea wana sheria yao inasema:
siruhusa kuweka tangazo katikati ya kipindi ndio maana siku hizi ili kuweka balance ya gharama za uzalishaji mashirika ya korea (KBS, SBS, MBC) wameamua kuzifanya episode ziwe na dakika 30 (wanaweka matangazo) baadae wanamalizia part 2 ya episode.

wenzetu pindi wanapokumbwa na shida basi hutafuta njia ya kujiokoa na shida hizo tofauti na sisi wazee wa kutembeza bakuli na manang'uniko(migogoro yao ya mara kwa mara dhidi ya china na japan ambao ndio wateja wao wakubwa wa masuala yao ya kitamaduni ndio imewafanya watafute solutions zitakazowaokoa na utegemezi wa soko la majirani)
 
Nipo na
1.Hit the top
2.when my love blooms(nimebakiza episode moja)
3.good casting(nimekurupuka kuvuta mpaka episode 14)
4.exo next door(bado sijaangalia)
5.neighborhood hero(sijaangalia ila nina episode tano)
currently watching:
uvivu umekuwa ni mwingi sana ila pia ni jambo zuri sana kwa sababu nazidi kupata muda wa kupunguza huu ulevi.
  1. wind cloud and rain (the king maker): ni mwendo wa kupeleka mbele, ukishaziangalia sana historical drama za joseon unajihisi kama unafanya mrejeo wa matukio ya zamani (steringi anauliwa baba yake kwa kusingiziwa uhaini, anateseka, baadae anapata nguvu ya kupambana na wapinzani wake, anakutana na binti wa kifalme anaogopa kumpiga busu..)
  2. my unfamiliar family: hizi familia zetu zimejaa siri sirini.
sijui wenzangu munafuatilia project zipi.
 
Lee Seung-gi officially confirmed to star in tvN drama Mouth,
he will act as Jung Ba-reum who is a newly police constable of police substation. His life was totally changed after a confrontation with a natural Bourne psychopath killer.

lee hee joon will appear in the drama as detective Goo Moo-chi who is paired with Jung Ba-reum in investigations.
Broadcast in 1st half of 2021.
==================
nimeikumbuka comment ya member fulani, alizungumzia hii ishu ya waandishi wa korea kwenda na mdundo wa psycho

wale munaosubiria season 2 ya vagabond bado mupo?
teh teh teh
View attachment 1480939

Hakuna drama ilowahi kuni disappoint kama vagabond [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
🤣 🤣 🤣 😆 😆 😆 😆 muigizaji pekee wa kikorea ninayefahamu jina lake halisi ni lee miho pekee si unaona hata spelling nimekosea. Wengine wote nawafahamu kwa sura tu. Nikienda kwenye kuwafahamu zaidi ntajikuta nawaona kama domo na majamaa ya bongo movies. Hivyo huwa sichagui waigizaji

Tuje kwenye swali. Katika harakati za kusubiria ongoing ziishe huwa naingia google nagoogle best korean dramas kisha nachagua yenye cover picture nzuri

Mwaka hua nachagua japo kidogo sana ili mradi drama iwe nzuri.napenda za 2015 kwenda juu ila pia huwa nashuka zaidi ya hapo

2016 ni mwaka mzuri sana wa korean drama. Just google 2016 korean drama ujionee
teh teh teh
huwa huchagui genres, muigizaji mkuu wala mwaka husika pindi unapotafuta drama?

drama nyingi unazoangalia na ulizowahi kuziangalia basi kiupande wangu sijawahi kuzitazama (2016 kwenda chini)....
neighborhood hero na hit the top ndio kwanza nazisikia leo
 
Mi huwa napenda korean drama zenye bonge la action zaid ya six flying dragon season 1 kama ipo zaid ya hiyo nipe.
 
OB & GY

The drama depicts the difficult decisions and moving human stories that take place daily in the OB-GYN department, focusing in particular on Seo Hye Young, a talented and determined obstetrician who has just transferred from the prestigious Seoul base to the branch hospital. Her straightforward manner of handling her professional life is in contrast with her love life, which is marred by her relationship with a married man. This becomes even more entangled when she meets Lee Sang Shik, the chief of NICU, and her long-time friend Wang Jae Suk also shows his interest.

nimeiokota tu hata bado sijaivuta

Risky Romance(nimesahau kama nilishawahi kuiona au la uzeen unakuja kasi sana)ntatest episode moja

Don't Dare to Dream, also known as Jealousy Incarnate is a 2016 South Korean television series
 
Back
Top Bottom