Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Yang Kyung Won confirmed cast for tvN drama Vicenzo , he plays Lee Cheol-wook who runs a pawnshop with his wife at Geumga Plaza and she is ahead of his actions.
=========
huyu mwamba na vituko vyake ndani ya crashing landing
haters asiyeumiza
1605358771032.png
 
Empress ki
Six flying dragons
The Return of Ilijimae
Bridal Mask
Great Queen
Jumong (1 and 2)
Baker King
God of War
The Hidden Root
A man called God
 
Hahahaaa, huyu mwamba kituko sana.

Kipindi Son Ye Jin amepata fahamu baada ya operesheni kisha Hyun Bin anakuja kumcheki wanapeana hug. Kina Yang Kyung Won na genge lake wanakuja chap ile wanamkimbilia Son Ye Jin ili na wao wamhug bwana mkubwa Bin anaona wivu anawazuia, sasa jamaa yako alivyo tafsiri hicho kitendo ndio kituko.
Yang Kyung Won confirmed cast for tvN drama Vicenzo , he plays Lee Cheol-wook who runs a pawnshop with his wife at Geumga Plaza and she is ahead of his actions.
=========
huyu mwamba na vituko vyake ndani ya crashing landing
haters asiyeumiza
View attachment 1626353
 
mabadiliko ya soko pamoja na gharama
Ila nilizipenda aseee
Walikuwa wanajitahidi.

Nilitamani waje wa-act kama vile ila kwa kutumia nyenzo za kisasa..
Mfano badala ya mikuki na sime watumie bastola na bunduki..badala ya punda watumie magari....
Badala ya kukaa vichakani wakae kwa nyumba za kisasa.....badala ya wafalme wawe na marais n.k.

Nadhani inaweza ikaleta hamasa mpya na burudani
 
Back
Top Bottom