Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Naisubiria kwa hamu.

“Hospital Playlist” Reported To Begin Filming Season 2 This Year + tvN Responds​

  • According to the report, the production team is currently finalizing casting for supporting characters and extras.
  • Actor Kim Joon Han Confirms that He Won’t Be Returning in Season 2 😡😡
aliigiza uhusika wa Chi Hong (neurologist aliyempenda professor Chae Song Hwa
love triangle ndio imefifia.
acha nijipendekeze kwa winter couple na mama rosaaa
=========
“Hospital Playlist” is scheduled to premiere its second season sometime in 2021.
View attachment 1626290
 
wewe endelea kushabikia simulizi za kivita utadhani una vinasaba vya bwana yule genghis khan....
watu kama wewe ndio wale wanaowakilisha kundi lile linalojishindilia mapande ya sabuni ili wapate ugonjwa wa kuharisha pindi wanapotakiwa watoke mbele kwa dhumuni la kuipigania haki iliozimwa kama mshumaa.

waendeleaje na masomo yako muhuni wewe?
Nawaandalia wanorth korea wenzangu ripoti ya field niliyoifanya SK
 
Aisee, kunasiku kwenye kupita pita humu nikaona mtu ame suggest Gwangwaetto the great, aisee sijajutia muda wangu,namshukuru sana huyo mtu Mwenyezi Mungu amlipe.. members nipeni nyingine inayoendana endana na hii ukiacha hiz
jumong
kingdom of wind
queen sedouk
Shukran Mkuu,

Drama zingine 10 hizi hapa

King Dae Joyoung( ep. 130+)
Emperor Wang gun ( ep.200)
Age of warriors ( ep. 158)
Empress Chunchu(ep 78)
King's Dream ( Dream of Emperor 70)
King Geuchoggo
God of War
Jeong do Jeon
The Legend of four gods
Kim Suro
anza na Wang gun
Hii ni ASSIGNMENT ya Roho mbaya
 
Shukran Mkuu,

Drama zingine 10 hizi hapa

King Dae Joyoung( ep. 130+)
Emperor Wang gun ( ep.200)
Age of warriors ( ep. 158)
Empress Chunchu(ep 78)
King's Dream ( Dream of Emperor 70)
King Geuchoggo
God of War
Jeong do Jeon
The Legend of four gods
Kim Suro
anza na Wang gun
Hii ni ASSIGNMENT ya Roho mbaya
God of War....Kim sor nishaziona
Hizo zingine nazitafuta kwa udi na uvumba aseeee
 
Yang Kyung Won confirmed cast for tvN drama Vicenzo , he plays Lee Cheol-wook who runs a pawnshop with his wife at Geumga Plaza and she is ahead of his actions.
=========
huyu mwamba na vituko vyake ndani ya crashing landing
haters asiyeumiza
View attachment 1626353
🤣🤣🤣Huyu mwamba alifanya movie ichangamke sanaa na majibu yake ya papo kwa papo
 
Yang Kyung Won confirmed cast for tvN drama Vicenzo , he plays Lee Cheol-wook who runs a pawnshop with his wife at Geumga Plaza and she is ahead of his actions.
=========
huyu mwamba na vituko vyake ndani ya crashing landing
haters asiyeumiza
View attachment 1626353
🤣🤣🤣Huyu mwamba alifanya movie ichangamke sanaa na majibu yake ya papo kwa papo
 
siwezi kupingana na wewe kwa sababu sifahamu kilichopo nyuma ya makubaliano ya hizo taasisi mbili, lakini kwa fikra za kawaida sidhani kama netflix wana ubavu huo wa kuingilia mamlaka ya taasisi nyengine.

ni kama wao wasivyoingiliwa na project zao wanazozimiliki kwa 100%

Pia sidhani kama mwanzoni kabisa vagabond crew walijiandaa na muendelezo wa hii project bali responding ya mashabiki ndio imepelekea kuwepo kwa fununu za kuwepo muendelezo wake.

hata stove league drama na doctor prisoner kufanya kwao vizuri ndio kumevumisha tetesi za kurudi kwa season 2

halafu kuna ishu ya bajeti na ratiba za wasanii (wenzetu wana ratiba za mwaka mzima), unahitaji kuwa na strategies imara sana zitakazohakikisha wasanii wakuu hawaathiriki na muingiliano wa ratiba ya shooting na kazi zao nyenginezo (hususani kwa project zinazolazimu kusafiri nje ya korea)

kuna ishu ya COVID 19 ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa sana shughuli mbali mbali.
mfano mdogo ni arthdal chronicles season 2 wameshindwa kuingia mzigoni.
wameshindwa kwenda nje ya nchi kwa shooting, usisahau hii vagabond wameshooting maeneo ya morocco
Mkuu nitaifuatilia fresh nione kutoa kutoa anatoa nan
 
Back
Top Bottom