Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Stock ya wiki tu hio,mie jana niliishiwa bando nikaunga la gb1 kumbe ndo nilikua naagana na my dear halopesa .

Ila kwa dae nilikua naongelea stock ya drama yaan kuanzia vitano complete
Nashukuru Mungu nilijiunga Jana 2000 kwa gb 3 nikiwa hapo nina gb 1.5 so kwa ujumla stock yangu imejaa.
 
Stock ya wiki tu hio,mie jana niliishiwa bando nikaunga la gb1 kumbe ndo nilikua naagana na my dear halopesa .

Ila kwa dae nilikua naongelea stock ya drama yaan kuanzia vitano complete
Pole Sana lakini kwa upande wangu gb 4+ yangu atleast itanisogeza Sana hapa nilipo najuuliza kama nisingejiunga Jana hali ingekuwaje? Ila hawa wakosoaji wanatuponza Sana hata wengine ambao hatuna itikadi za vyama.
 
Airtel gb 10 kwa 1500 kazi ya kuvuta stock unaanza saa tano usiku mpaka kumi na mbili kasoro moja asubh hope hawataibadilisha
Imebidi nijiunge GB 4 za bandika bandua leo walau niwe na stock.

Mkipata kwenye nafuu tustuane jaman Bila wakorea daah
 
Airtel gb 10 kwa 1500 kazi ya kuvuta stock unaanza saa tano usiku mpaka kumi na mbili kasoro moja asubh hope hawataibadilisha
Hivi ttcl watabadilisha nao au? Angalau kuna ka mteremko kidogo,dah kwahiyo kdrama tutaangaliaje sasa.Halotel walichokifanya ni kupandisha badalaa ya kushusha,

Ttcl[emoji116][emoji116]
Screenshot_20210401-202308.jpg
 
jamani amkeni, amkeni wizara mpya ishafanya ya kwake.
sasa ni rasmi tumestaafishwa kufuatilia movies, series na drama kwa njia ya mtandao.
  1. bando la usiku limeondoshwa
  2. kifurushi cha siku kwa GB 1 kimeondoshwa
  3. vifurushi vyenginevyo vimerambwa mnoooo
halotel hongereni kwa hichi mulichotufanyia
============

upande wa zantel kwa huku zanzibar
kutoka GB 3 kwa siku kwa shilingi 2000 hadi mb 900 kwa shilingi 2000
na mabadiliko mengineo
===========

watu wa Airtel na vodacom vipi huko tunaweza kuhamia?
sisi wengine tunahitaji japo kifurushi cha usiku
=========
kikao kimeanza rasmi chenye lengo la kujadili haya mabadiliko, kama huamini ingia kwenye menu yako.
aminas mlevi mwenzangu uliyebobea
Numbisa mlinzi mwenzangu wa usiku tunatokaje
talnam mfukuza upepo kimya kimya
missyrose mlevi mwengine wa korea
Great Conqueror huko kaskazini huduma zenu ni nzuri?
na malegendary wengineo mukipata wasaa muhudhurie kwenye kikao

dah! bye bye wakorea?
Apo Kwenye Mlevi Mwezangu Umeua Chingu.

Mi Nipo Na Voda Ninavyojiunga Mungu tu Anajua. Ila Si Uaga Wanatupa Ile Ya Kwako Tu Ndo Nayotumia Sa Sijajua Kama Nayo Washaibadirisha.
 
Hivi vifurushi ni hatar, kwakwel likiisha hili bundle kutakua hamna namna zaid ya kujisomea vitabu khaa. Yan Hata night pack wametoa huyu wazir alikua sawa kweli
Line za chuo za halotel zina unafuu, sh 1500 unapata gb 1 na mb 500 za youtube, namba za kjiunga *148*55#.
 
jamani amkeni, amkeni wizara mpya ishafanya ya kwake.
sasa ni rasmi tumestaafishwa kufuatilia movies, series na drama kwa njia ya mtandao.
  1. bando la usiku limeondoshwa
  2. kifurushi cha siku kwa GB 1 kimeondoshwa
  3. vifurushi vyenginevyo vimerambwa mnoooo
halotel hongereni kwa hichi mulichotufanyia
============

upande wa zantel kwa huku zanzibar
kutoka GB 3 kwa siku kwa shilingi 2000 hadi mb 900 kwa shilingi 2000
na mabadiliko mengineo
===========

watu wa Airtel na vodacom vipi huko tunaweza kuhamia?
sisi wengine tunahitaji japo kifurushi cha usiku
=========
kikao kimeanza rasmi chenye lengo la kujadili haya mabadiliko, kama huamini ingia kwenye menu yako.
aminas mlevi mwenzangu uliyebobea
Numbisa mlinzi mwenzangu wa usiku tunatokaje
talnam mfukuza upepo kimya kimya
missyrose mlevi mwengine wa korea
Great Conqueror huko kaskazini huduma zenu ni nzuri?
na malegendary wengineo mukipata wasaa muhudhurie kwenye kikao

dah! bye bye wakorea?
Nimeganda yani sijui pa kuanzia na hivi Penthouse 2 imeisha nataka ku download ila sasa mh..
 
Kama ni kofi tumepigwa lile la shavu na likafikia sehemu husika. Sio kwa maumivu haya. Mmmh sasa sie wavuta movies hali imekua hivi je wafanya online business kazi wanayo. Nawasubiria voda kesho sijui watapunguza mpaka wapi
Imekula kwetu labda wafanye mabadiliko siku za usoni
 
Nimeganda yani sijui pa kuanzia na hivi Penthouse 2 imeisha nataka ku download ila sasa mh..
Wote waliohusika na kifo Cha Mi seol ah pamoja na oh yoon hee wamehukumiwa kwenda jela Dan tae amehukumiwa kifungo Cha maisha huku oh yoon hee kifungo Cha miaka 3 kuna sababu zilizotajwa na mahakama mpaka kupunguziwa kifungo hicho japo aliua.
 
Back
Top Bottom