Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimejaribu kufatilia budget hizi korean dramas nikabaki mdomo wazi, yani series moja unakuta ina budget ya zaidi ya $13M na zaidi. Aiseeh nazungumzia dollars hapo ambazo ukizileta kwa hela ya kikwetu na hata kwa won za kikorea ni mabilioni ya pesa.

Mwenye jibu naomba asipite bila kunijibu, hizi pesa zote ni nani anaegharamika? Daaaah nimeuelewa ule msemo usemao "usiione vyaelea, vimeundwa".
 
historia ya uwepo wa heo jun haina tatizo lolote kwa sababu rekodi zote zinakubaliana na uwepo wake, kwa mfano ukisema heo jun hakuwepo tafsiri yake ni kwamba unapingana na uwepo wa kitabu cha tiba kinachotambuliwa na UNESCO alichokiandika mwenyewe kinachoitwa Dongui Bogam kikiwa na maana ya kiengereza Mirror of Eastern Medicine
heo jun alikuwepo nyakati za utawala wa mfalme seonjo (mfalme wa 14 wa Joseon) na chini ya utawala wake ndipo ulipotokezea uvamizi wa Japan (Imjin war).

Annals of the Joseon Dynasty ilifanikiwa kumtaja mara 10 dae jang geum kwa matukio aliohusika nayo, hivyo upo uwezekano naye jang geum alikuwepo kweli japokuwa kuna uhaba wa maandishi yanayomuhusu yeye kuanzia kuzaliwa kwake, mafanikio yake mpaka kifo chake.
rekodi za Annals of the Joseon Dynasty zinaonyesha uwepo wa jang geum chini ya utawala wa mfalme Jungjong (mfalme wa 11 wa Joseon)
Shukran master, mwanafunzi nishapata madini
 
Nimejaribu kufatilia budget hizi korean dramas nikabaki mdomo wazi, yani series moja unakuta ina budget ya zaidi ya $13M na zaidi. Aiseeh nazungumzia dollars hapo ambazo ukizileta kwa hela ya kikwetu na hata kwa won za kikorea ni mabilioni ya pesa.

Mwenye jibu naomba asipite bila kunijibu, hizi pesa zote ni nani anaegharamika? Daaaah nimeuelewa ule msemo usemao "usiione vyaelea, vimeundwa".
kampuni zinazozalisha movies (mfano studio dragon, JTBC studio, nk) pamoja na televisheni husika (SBS, KBS, MBC) wanashare pamoja gharama za uzalishaji, uelewa wangu unaishia hapo (ya ndani siyafahamu)

 
kampuni zinazozalisha movies (mfano studio dragon, JTBC studio, nk) pamoja na televisheni husika (SBS, KBS, MBC)
uelewa wangu unaishia hapo (ya ndani siyafahamu)
  1. Korean drama - Wikipedia
link namba 1 shuka mpaka kwenye production wamejaribu kuelezea kadri ya ufahamu wao


Nimeipitia link na imenipa majibu ya maswali yangu yote, kumbe gharama huw zinakuwa shared Kati ya broadcasting company na producing companies kwa 50% hulu hele nyingi zikirudi kupitia matangazo ambayo yatakuwa displayed katikayi ya seriess husika inaporushwa.

Link inasema kwamba kwa hizo budget kubwa hufaidiwa zaidi na leading actors, kwa mfano mwigizaji mmoja huweza kulamba hadi won 200million per episode kutokana na ukubwa wa msanii na project yenyewe 🤔 . Budget per episode huwa inarange kuanza won 350million na mda mwingine inazidi hapo kwa historical dramas, kwafano GU FAMILY BOOK iligharimu zaidi ya won 500million per episode😳.
 
Korean series were originally produced in house by the television channels themselves, but have been outsourced to independent production companies since the 2000s. In 2012, as much as 75% of all K-dramas were produced this way. Competition is fierce among these companies; out of 156 registered firms, only 34 produced dramas were actually aired in 2012.[30] The budget of the production is shared between the producing company and the broadcaster, with the broadcasting channel covering around 50% of expenses usually. If top stars and famous scriptwriters are employed, they may cover even more. The rest of the budget has to be brought in by the production company with the help of sponsors. In the case of product placements, income is shared by the producer and the channel. The channel keeps 100% of the advertisement income during airtime; this could amount to ₩300–400 million. A typical Korean drama may cost as much as ₩250 million per episode, and historical dramas cost more than that. For example, Gu Family Book cost ₩500 million per episode.[30]

In Korea, much of the budget is spent on the appearance fees of top stars since they are heavily dependent on celebrities' popularity.[2] In some cases, the actors may take up as much as 55–65% of the whole budget, while it is 20–30% in Japan, and roughly 10% in the United States as dramas there tend to avoid casting famous actors when starting off.[30] Everything else, including salaries of lesser-known actors, extras, and technical staff, location rent and other expenses, have to be covered from the remaining amount. Often, production companies overrun their budgets and cannot pay salaries. In 2012, actors held a demonstration in front of the headquarters of KBS, expressing their concerns. Actors are usually paid after the last episode is aired at the end of the month. In series made by smaller production companies for cable channels, there have been cases where the companies went bankrupt and could not pay their actors and crew, while the channel denied all responsibility, claiming all liability was with the bankrupt production firm.[31] Producer Kim Jong-hak spent as much as ₩10 billion on Faith, which was considered a commercial failure, resulting in the inability of Kim to pay crew salaries and other overheads. Kim, who had produced successful dramas such as Eyes of Dawn and Sandglass, committed suicide after he was accused of embezzlement.[32][33] The biggest stars may earn as much as ₩100 million per episode.[34] Bae Yong-joon, the star of Winter Sonata, reportedly received ₩250 million per episode for The Legend in 2007.[30]
 
Huu uzi nilikuwa nauchukulia Ni wa wanawake Na mash*ga lakini tokea wakorea waachie squid game nimeacha kuwachukulia simple
Kumbe sio ka Bollywood

Ngoja niingie APA nkiri.com
70% ya hizo kazi mnazoita za kiume (kwasababu ya ulimbukeni), zinasupport ushoga na lesbianism ila kwa kutokufatilia mambo unajikuta tu unaropoka.

Karibu kwenye guy uzi tukuokoe kutoka kwenye wimbi la ushoga na umama.
 
70% ya hizo kazi mnazoita za kiume (kwasababu ya ulimbukeni), zinasupport ushoga na lesbianism ila kwa kutokufatilia mambo unajikuta tu unaropoka.

Karibu kwenye guy uzi tukuokoe kutoka kwenye wimbi la ushoga na umama.
Sema 70% ya drama yoyote iwe Korean Indian Tanzanian American Ni kwaajili ya wanawake Na mash*ga
 
Back
Top Bottom