Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joseon Exorcist drama ilikatazwa kuendelea (ilifika episode 2), wananchi wa korea walipeleka malalamiko (petition) ikulu wakidai ya kwamba kumefanyika udanganyifu wa kihistoria (distortion of history) ndani ya drama huku wakiwa wametumia majina sahihi ya watu waliowahi kuwepo.Nani ameshaianza series ya Joseon Exorcist? Ni ongoing na nimeangalia synopsis yake inashawishi, nataka niivute nikamalizana na THE KINGDOM. Wazoefu naombeni mtie neno.
Wasije tu wakaleta mambo ya Vagabond..Squid game ni shida kule kuuana aisee ukute kuna watu wanaucheza in real life
Season 2 loading
Wasije tu wakaleta mambo ya Vagabond..
Hadi tushasahau imeishia wapi
Haya mambo ya kuunga unga sio yao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakorea wanafurahisha
Haya mambo ya kuunga unga sio yao [emoji23]
Hebu kuwa na adabu japo kidogo basiHuu uzi nilikuwa nauchukulia Ni wa wanawake Na mash*ga lakini tokea wakorea waachie squid game nimeacha kuwachukulia simple
Kumbe sio ka Bollywood
Ngoja niingie APA nkiri.com
Hebu kuwa na adabu japo kidogo basi
Kwani kukuita wewe mwanamke Ni kukukosea adabu??Kwanza cheo cha mwanamke Ni cheo cha mama, Ni cheo kikubwa mno
Unataka kusema mashoga hawapo Tanzania?au humu JF?Na ushoga pia ni cheo?
Unataka kusema mashoga hawapo Tanzania?au humu JF?
Wote tunaofatilia Kdrama either Ni wanawake au mashoga...fullstopWapo mmojawapo si wewe hapo naona unatafuta wanachama wapya
Achilia mbali usoshalist wangu, ukweli ni kwamba moja ya vitu vilivofanya niache kuangalia movie na series za kimagharibi ni mambo hayo ya jinsia moja wanayaonyesha sana, nadhani wanafanya hivyo kuzoesha akili za wafuatiliaji kuwa ushoga na ulesbian ni kitu cha kawaida na hata sheria hizo zikipitishwa ili usimaindi sana sababu akili yako itakuwa ishaaminishwa kuwa mashoga na malesbian ni watu wa kawaida mbali na hayo ya ushoga story nyingi za movie za kimagharibi ni za kusadikika. Lakin series za Asia Mashariki( hasa Korea) series na movie nyingi utapata mafunzo ya kiuchumi, kibiashara, ujaliamali & bunifu, falsafa, maisha n.k70% ya hizo kazi mnazoita za kiume (kwasababu ya ulimbukeni), zinasupport ushoga na lesbianism ila kwa kutokufatilia mambo unajikuta tu unaropoka.
Karibu kwenye guy uzi tukuokoe kutoka kwenye wimbi la ushoga na umama.
Hahahah Nitakata rufaaheshima ulionipa sistahili,
futa kauli yako kabla sijapeleka malalamiko kwa jaji sabaya.
nitakutia ndani miaka 30.