Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetzama episode mbili mpka sasa nimevutiwa nayo sana hii drama aseee shukranMerry Christmas ndugu zangu wakorea wa bongo.
Kwa hisani ya Racket boys. Vya bure raha sana yaani situlii na drama moja
Snowdrop ndo kitu yangu mpyaaa
Ila jaman vya bure gharama, wire tun inatesa na zile oops preparation went wrong, Bado uc haijajishut na kuji pause. Naomba nijaribu hizo mpya tu[emoji26]
Hahaha haya maelekezo ikifika chini yananchanganya zaidMie sio mtaalm wa technology hivyo sijui hayo ma namba juu yanamaanisha nini pale kwenye net ukitoa ile alama ya 3G au 4G. sasa hizo namba cheza nazo. kuna simu moja ukiunga zikacheza 1.02 na kuendelea mpaka 123,203 jua net ipo fireee ila ikianza 0.kadhaa net down. simu nyingine ukiunga tu zikacheza 800,900 ,2.1 jua net bomu(mchezo ni kudiconnect kisha connect),ila ikicheza 3,4,5 kisha 10, etc jua net firee. ukishaelewa flow ya net ya simu yako unakua unaivizia pale ipo stable ndipo unapoenda web kuvuta drama yako kisha unabaki kuibembeleza uc ikuletee kwa simu[emoji23][emoji23]
Tumia Ha tunnel na ilo file la Mr ochu utafurahia maisha ya kdrama land...
Si ya kukosa hiiWale wapenzi wa medical kdrama mzigo unaanza tar 3 january,,
Expectations zangu itakuwa drama kali kwa sababu tVN hawanaga kazi mbovu
Pia kuna mastaa kibao sana walishawahi cheza movie zngne kama vile Signal,Vagabond{kama sijakosea)
2022 watchlist
1.THE GHOST DOCTOR
2... [emoji116][emoji116] Add unazorecommend ziangaliweView attachment 2064633
Ndo kipindi cha kushusha mizigo yote kama TTCL hawajashtuka na kufunga servers zao [emoji3][emoji3][emoji3]Tumia Ha tunnel na ilo file la Mr ochu utafurahia maisha ya kdrama land...
12 hadi saa 3 lakin speed sio ya kutotoa
Shukran Mkuu frank
Sent from my Hisense T5 Plus using JamiiForums mobile app
Wazee wa The Red Sleeve tusaidiane hivi hii ya Deok Im kufariki ilikuwa ni ndoto tu ya Lee San ama tu wameamua kutupoza kwa hii sad moment
Currently watching
Snowdrop, now we are breaking up, racket boys.
Variety show: king of mask singer, baada ya kumaliza mountain playlist nimerudi kweny ulevi wangu.
Kwa msaada wa ha tunnel
Nina the one and only, reflection of you, artificial city na Jirisan Bado sijazianza.
Nipew nin[emoji1787]
Sent from my Hisense T5 Plus using JamiiForums mobile app
Drama tamu sana hiiNdo kwanza nipo episode ya tano. ila nshavuta hadi episode 17. Huku mwanzo ni tamu
HahahaNimenasa kwa wire mfano leo ipo kasi sana. kwa fujo nimevuta nyingine hata sizielewi elewi ili mradi niwe na akiba za kutosha