Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimefika mwisho naona sio ndoto ni kweli ila ndo vile director aliogopa reactions za wadau akachanganya na ndoto
Yah kajaribu kutuliza mioyo still imeniacha na maumivu ila OST zake ndio zimenituliza ni matata sana hasa hii ya mwisho ya Lia wa Itzy inaitwa Always be your star
 
Weekend yako ili uende vizuri kabisa itafute drama ya Show window: The Queen's house utajuta kupoteza bando lako. Hii drama inahusiana na Jamaa mmoja alikuwa ana mke wake but anamchepuko pembeni yaani huyu mchepuko aliyocheza hii drama kama wewe unaangalia pia umeolewa utatamani uingie kwenye tv umuue huyo binti, huyu binti anajua kukera na kuumiza kweli kweli mke wa huyo jamaa kashi kashi aliyoipata kwa huyo mchepuko mpaka nikaanza kumuonea huruma aisee binti ni mpole ila vitu alivyokuwa anafanya ni balaa.
missyrose
Numbisa
DAEMUSHIN
Kheri007
Vagabond99
Franky Samuel
Mkuu tutajuta au hatutojuta
 
Asante..ikiisha nashusha. Kwa sasa nna stock tu nikitulia naanza moja moja
 
Back
Top Bottom