Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Hawa mb zao zikojeNetnaija.com
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa mb zao zikojeNetnaija.com
Ngoja nimelizane na The Tragedy of one nitarudi huku.NETFLIX wanamaliza mchezo mapema kabisa hawapendi kuwaacha mashabiki na sonona, zipo episode 8
Ahsante mkuu. Naendelea kushusha mzigoNetnaija.com
Quality video alafu hazizid MB 100Hawa mb zao zikoje
Na kama unapenda subtitles piah wamekuwekea palepaleHawa mb zao zikoje
Wow huku kunanifaaQuality video alafu hazizid MB 100
Subtitles kwenye kdrama ni given mkuu, sasa unaweza kuangalia bila subtitles? Au ndio zile wameingizia sauti za kiingereza? Kama ni hizo sitaki hata kuzionaNa kama unapenda subtitles piah wamekuwekea palepale
Kwa sisi tunaopenda dubbed tunaweka, ila kama hupendi sio lazimaSubtitles kwenye kdrama ni given mkuu, sasa unaweza kuangalia bila subtitles? Au ndio zile wameingizia sauti za kiingereza? Kama ni hizo sitaki hata kuziona
Ahaa kwa hiyo mnaweka wenyewe...wenyewe wameupload za namna gani? Maana mie huwa sipendi kuhangaika nikipakua drama kinachofuata ni kuangalia sio kuanza kuhangaika tena kuingiza sijui mavitu ganiKwa sisi tunaopenda dubbed tunaweka, ila kama hupendi sio lazima
Wao wameweka original sound ya kikoreaAhaa kwa hiyo mnaweka wenyewe...wenyewe wameupload za namna gani? Maana mie huwa sipendi kuhangaika nikipakua drama kinachofuata ni kuangalia sio kuanza kuhangaika tena kuingiza sijui mavitu gani
Ooh shukrani. Btw mkuu HA tunnel ni ya motoooWao wameweka original sound ya kikorea
Unatumia cha asubuh???Ooh shukrani. Btw mkuu HA tunnel ni ya motooo
Yes, kuna kingine?Unatumia cha asubuh???
@Numbisa alisema ni nzuri mimi bado sijaionaMazeee hii "My Father is strange" kaliii au ntapoteza muda tu??
naona mzigo una episodes 50+
Anhaaa bs itakua nzuri acha niiichukue@Numbisa alisema ni nzuri mimi bado sijaiona
Mazeee hii "My Father is strange" kaliii au ntapoteza muda tu??
naona mzigo una episodes 50+
Netnaija.com nawakubal sana kwa file zao hazizid mb 120, alaf zina Quality ya ukweli, BUT hawana series zote au movie zote. Eg: The tears of the sun, Tribes and Empires the storm of Prophecy...Quality video alafu hazizid MB 100
Yes season za zaman hazipo sababu hiyo website imeanzishwa mwaka 2020 kwahiy movie au series zilizowekwa ni zile za mwaka huo na kuendeleaNetnaija.com nawakubal sana kwa file zao hazizid mb 120, alaf zina Quality ya ukweli, BUT hawana series zote au movie zote. Eg: The tears of the sun, Tribes and Empires the storm of Prophecy...